Rais Ruto: Maadui wetu siyo Wakenya wala Watanzania, ni ajira na umasikini

Waulize wakenya
Hahahahaaa!!!
Hii mipimbi ya kitima na lissu' inajielewa basi. Yenyewe ipo kushangilia chochote kinachosemwa na mtu mwingine tofauti na Samia ili mradi tu eti kumuumiza Samia........wangejua basi mapimbi haya๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Nothing special
Kwa akili zako mbio za mwenge ndio special. Multi billion project ambayo itakuza uchumi wa Tanzania na kutoa ajira kwa maelfu ya vijana.sio chochote sio lolote. Umevurugwa weye.
 
Jamaa alijitahidi snaa kufikisha ujumbe with diplomacy
A leader should be an exemple . Bi mkubwa akisimama na marais wenzie yani huwa hanaga critical talks

Akili na elimu ni muhimu sana . Yani i am sure hawa jamaa wakiwa pembeni huwa wanajiulizaga sana Ilikuaje haka kamtu kakawa Rais in a big country like TZ ,
Mkutano wa Kenya kuja TZ ni kujadili uchumi, dola kupanda kushuka, cost importation while we are able to produce ourselves โ€”โ€” language of Ruto was economic trends and gap

While mtu wenu ๐Ÿคฃ anaongea mambo ya kuua watu :kunyuka watu
Ruto kampa majibu safi sana shida sio watu- ni sera mbovu za kiuchumi

Hajui kwamba TZ ni strategic area kwa nchi za SADC na EA, what would a country benefits from being strategic area kwa nchi? Those are the things Samia was supposed to address

Badala yake she went off the agenda as always, the blind leads the blind - what a shame

Ukweli CCM wame haribu snaa nchi
 
Kwa akili zako mbio za mwenge ndio special. Multi billion project ambayo itakuza uchumi wa Tanzania na kutoa ajira kwa maelfu ya vijana.sio chochote sio lolote. Umevurugwa weye.
Sina muda wa matusi but there is nothing spefial
 
Mnamuona mwamba wakati kaskazini mwa kenya watu wanaloweka mbegu za miti pori na kula kama chakula, ameshndwa kupeleka hata msaada wa chakula
Ana umindset gani?
ile mandhari mngepewa nyiny bas wangekuwa marehem maana nyiny hamjui kbs kuwajibika
 
Mnamuona mwamba wakati kaskazini mwa kenya watu wanaloweka mbegu za miti pori na kula kama chakula, ameshndwa kupeleka hata msaada wa chakula
Ana umindset gani?
Ni kweli kuna hiyo shida huko kaskazini mwa Kenya, na pia Ruto ana mapungufu mengi tu ILA amempiga chenga ya mwili SSH kukataa kutumia njia ya kikatili kudeal na genZ's. Shughulika na kiini cha tatizo na siyo matokeo.
 
Hahahahaaa!!!
Hii mipimbi ya kitima na lissu' inajielewa basi. Yenyewe ipo kushangilia chochote kinachosemwa na mtu mwingine tofauti na Samia ili mradi tu eti kumuumiza Samia........wangejua basi mapimbi haya๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
We mwehu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ