Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Huyu atakuwa amelewa. Hajui madaraka yakoje na tayari anaanza kuwa na akili za Kibeberu. Anaongea maneno gani haya?
Utamaduni huu wa kuiga kwa mabeberu. Ni utamaduni wa hovyo. Anataka alete machafuko Kenya na East Africa? Nadhani ameshachoka kuwa Rais. Au ameshiba wenzake wenye uzoefu na Urais hawawezi ongea takataka kama hizi. Huyu Ruto anawezaje ongea maneno haya? Au akili yake imedukuliwa?
Nimemsikiliza mara nyingi. Simwelewi. Sasa anataka Polisi wa Kenya wawe wanafanya nini kama hataki wakamate wapinzani na activitists? Anataka waote vitambi tu? Huyu jamaa amenibore sana. Huu si utamaduni wa marais wa nchi zetu za kiafrika. Nakataa.