Rais Ruto: Polisi inapaswa kuwalinda watu wote bila kujali vyama vyao

Sarcasm at its finest
 
Ruto ni mwelewa siasa sio uadui kwani kuna maisha baada ya utawala
 
Nimekuelewa unapinga kitu kipya kutoka kwa Ruto.Kwa kuwa serikali za kiafrika zinalindwa na Polisi.Sasa unashangaa kabisa mwelekeo wa huyu jamaa.
 
hao ndo viongozi kutoa uhuru kwa kila mtu kutoa mawazo yake
 
Kwa nini hakuna kiongozi wa Africa anayeza kumaanisha hivyo??
Amna kitu hapo ni siasa tu kuwa blackmail wajinga wajinga wasioelewa siasa.

Nyuma ya pazia atampigia mkuu wa polisi amwambie finya kunguni wote wanaojaribu kunisumbua.

Hakuna kiongozi wa afrika anaweza kukemea jambo hilo kwa kumaanisha, hakuna!
 
Hujaona zambia??
 
Hujaona zambia??
Usiwe mshamba wa siasa za kiafrika ebu fuatilia historia ya dikteta Mobutu, Sani Abacha, Museven nk. Walianzaje tawala zao kwa miaka ya mwanzo mwanzo zilianzaje na mwisho mwisho ziliishaje. Huyu wa Zambia ana mwaka 1 tu kwahiyo subiri miaka 3 ya mbele akishasuka team yake jeshini, polisi, mahakamani nk afu ndo uje useme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…