Rais Ruto wa Kenya alalamika ni vigumu sana kusifiwa na raia wa Wakenya!

Rais Ruto wa Kenya alalamika ni vigumu sana kusifiwa na raia wa Wakenya!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
It is very rare to get compliments from Kenyans - President Ruto
20250423_184524.jpg
 
Utamsifiaje mtu anayetimiza wajibu wake?wakenya wanaojitambua sana siyo watanzania wamejaa ujinga tu.Huwa nashangaa sana watanzania kumsifia rais eti amezindua vyoo vitatu vya shule ya msingi?Mambo ambayo yalitakiwa yawe yameisha miaka ya sitini Leo eti wanamsifu mtu wakati ni wajibu wake
 
Sisi tuna siasa za kistaarabu😁
 
Yani mkuu wewe ukiona siku mimi nimemsifia ⌚️ 100 Ujue kabisa Tanzania imejikomboa, kwani wanakupa sh ngap ambao mimi nashindwa kuwapa wewe na Tlaatlaah ?
MImi sisifii ila huwa nasema ukweli mimi sio mtu wa siasa hivyo nikiona watu wanajikita kwenye blah blah za utapeli wa siasa huwa sifagilii hata lissu akiacha upuuzi uongo na utapeli nitamsapoti!
 
Back
Top Bottom