Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Tatizo hakuna wa kuwawajibisha. Tunategemea zaidi huruma na utu wa amiri jeshi mkuu. Ndio mtindo wetu wa maisha na ikitokea kofia namba moja hana habari na wananchi basi ndio inakuwa kila kukicha bora ya jana.Mbinu zao za kijinga sana, kote kuwafanya wananchi wahangaike na maisha magumu tu
Kuna nchi huwezi kuona upumbavu huu
Umeme unaharibu vifaa ila huko hakuna wa kumdai
Wenzetu wana consumer protection bodies ambazo kiukweli zimesaidia sana kulinda maslahi ya walaji na kuwabana watoa huduma kuachana na uzembe. Hapa kwetu hakuna kitu kama hicho na hata kikiwepo mfumo wa kichawa unameza ufanisi wote. Mfano mzuri ni TAKUKURU tu. Hutasikia imemshika kiongozi yeyote wa kutoka CCM. Ila kajambanani fanya kosa watakutolea mfano.