AlphaMale_
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 246
- 552
Asante nitakaribia kumbe uko kwa Ruto Good for youKaribu tena Kenya kaka.
Asante nitakaribia kumbe uko kwa Ruto Good for youKaribu tena Kenya kaka.
Kenyan's are dope as FuuuuqIt is very rare to get compliments from Kenyans - President RutoView attachment 3313265
Tized ni unafiki tu ulioasisiwa na tabia ya "Mkubwa hakosei" huu upuuzi unatakiwa uondolewe kuanzia ngazi ya familia.Nimeishi Kenya last year Kenyans are so real ,they are intelligent tofaut na huku tz kila kitu ni Rais
Chanzo kilianzia pale kauli ya "Mkubwa hakosei" nyamaza.Hawana unafiki
Hapo ndio tatizo lilipoanzia,Chanzo kilianzia pale kauli ya "Mkubwa hakosei" nyamaza.
Kuongea ukweli haijawahi kuwa ukosefu wa adabu.
Hii inatakiwa ikemewe kuanzia ngazi za familia. Hakuna kuogopa kupingwa nashukuru baba yangu alikuwa anakubali challenges toka kwa watoto. Anaamini kila mtu ana mawazo yake.Hapo ndio tatizo lilipoanzia,
Yaani uwe mnyonge hata kama unaonewa
Ukubali kila kitu, hata ukidai mambo ya maana bado utapingwa tu
Kweli kabisa, ila kuna watu wanajiona kuwa akisema basi wengine wanyamazeHii inatakiwa ikemewe kuanzia ngazi za familia. Hakuna kuogopa kupingwa nashukuru baba yangu alikuwa anakubali challenges toka kwa watoto. Anaamini kila mtu ana mawazo yake.
Kabisa eti mzee hakosei mm nimewahi mjibu mtu mzima 😂😂 alihalibu kitu yeye akasema mm nikajibu hapo hapo akanifinyaTized ni unafiki tu ulioasisiwa na tabia ya "Mkubwa hakosei" huu upuuzi unatakiwa uondolewe kuanzia ngazi ya familia.
Let's create children with strong mental abilities na confidence ya kusema ukweli juu ya mambo ambayo hayako sawa. Najua hata kwenu hio character ilipigwa vita sana na kuitwa ujeuri na ukosefu wa adabu ila it all makes sense sasa ambapo tumekuwa na jamii ya ajabu.
KabisaHuku kusifia ni kazi,wanalipwa watu .
Huo ujinga sitaki kabisa katika familia yanguKabisa eti mzee hakosei mm nimewahi mjibu mtu mzima 😂😂 alihalibu kitu yeye akasema mm nikajibu hapo hapo akanifinya
Ni zaidi ya ushenzi mkuu, cha ajabu umeme wanakata maji wanakata wanavyojisikia ila wewe jaribu kulimbikiza bill uone balaa lake. Yani mwezi uishe usilipe kisha waje kusoma mita wakute una deni 😂!!!Kweli kabisa, ila kuna watu wanajiona kuwa akisema basi wengine wanyamaze
Hii tabia alikuwa nayo Magu na hata Mako hawa nimewaona sana na pia wakuu wa mikoa kwa kuwaweka ndani watu kisa hawakubaliani nao
Hìi ni njia moja ya kunyamazisha watu wasiongee
Tatizo linaanzia mashuleni wakati watoto badala ya kuelekezwa jambo ni kupigwa tu
Hili mimi sikubaliani nalo kabisa.
Mtoto anashindwa hata kuuliza kama hakuelewa swali akiogopa kupigwa
Hili nalikemea sana mpaka waalimu huwa naongea nao, waelewe wasielewe.
Ila nilipokuwa napata nafasi ya kuwaona huko basi nilikuwa nafikisha ujumbe
Uonezi umejaa sana nchi masikini
Huoni hata mkilalamika mwendokasi wala hawajali
Umeme unakata wala hawajali, mkikosa maji pia hamna haki ya kulalamika popote
Huu ni udhalili mkubwa
Mbinu zao za kijinga sana, kote kuwafanya wananchi wahangaike na maisha magumu tuNi zaidi ya ushenzi mkuu, cha ajabu umeme wanakata maji wanakata wanavyojisikia ila wewe jaribu kulimbikiza bill uone balaa lake. Yani mwezi uishe usilipe kisha waje kusoma mita wakute una deni 😂!!!
Ila wao wakikata maji wakakukosesha huduma huwa hawana maelekezo yeyote.