"Mambo kama ya Tanzania will inform Dubai in all other ports opportunities including Lakes hatuyataki.
Tanzania ni nchi huru na kubwa kupita UAE, hiyo minyororo haitakubalika.
Na hayo mengine unayajua"
Yaani Ruto ameahidi kupeleka wakenya milioni 1 utumwani Saudi Arabia?Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.
Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.
Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.
Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.
Ushahidi huu hapa:
Ila we manzi nakutamanigi sana nikupelekee moto wa baddest 47Unafikiri nakula pensheni ya kijinga ya Tanzania?Nakula pensheni ambayo inaniwezesha kuwaajiri Watanzania kibao tu wanitazamie bustani zangu na mifugo yangu. Njoo utembee Kwa Mkanada, Mkuranga ujionee penshen inavyofanya kazi.
"Mafundi wa Tabata " hahahaaaOdinga ni mjinga mjinga, hana tofauti na Mbowe ni "opportunists", sera zao ni kama mafundi wa tabata.
Sasa hivi wapo laki mbili, kaahidi million 1 ndani ya muda mchache, wa kila nyanja. Jisikilizie mwenyewe video hiyo, au lugha inakupiga chenga?Yaani Ruto ameahidi kupeleka wakenya milioni 1 utumwani Saudi Arabia?
maana mafundi wa tabata bila kuzusha matatizo yasiyokuwepo kwenye gari lako, pesa haziingiii."Mafundi wa Tabata " hahahaaa
Apambane nahali yake tu no way!! Ni anateseka sana anatamani hata ampoteze mwenzie!
Dada ugomvi ni wanini ?Kwa kauli yako hiyo unaonesha hujawahi kufanya biashara kabisa.
Mtu anakupa fursa kubwa namna hiyo unasema "hatuyataki"?
Hakika ujinga ni mzigo mzito sana.
Mtazame Ruto hapo juu anachokisema, ansema "chochote" mtakachotak kukifanya Kenya ruksa, akaanza kuwapa na fursa anazoziona yeye.
Watanzania ni majanga, hivi uoga wote huo wa nini? Unaogopa mashemeji wa Kiarabu?
Hakuna mkataba wa kazi uliosainiwa, wacheni kujijaza ujinga.Dada ugomvi ni wanini ?
Rekebisha huo mkataba mlete Mwarabu afanye biashara.
Tumechoka kuzilipa kampuni za nje kwa mikataba ya hovyo kama hii, inaturudisha nyuma kiuchumi.
Wengine huko wanavizia Ndege zetu ili wazikamate hadi leo hii ili kufidia hasara za kesi za mikataba feki kama hii
Waafrika Weusi ni lazima tuamke tunafanywa shamba la Bibi FaizaFoxy, kila kukicha.
Hizo haraka haraka ndizo zikizotupeleka huku. Ukiangalia kwa haraka haraka huu mkataba umetawaliwa na rushwa na milungula ambayo zitakuja kulipwa na vizazi vijavyo.
REKEBISHA MKATABI BIBI D.P WORLD IANZE KAZI YA KUSHUSHA MAKONTENA KATIKA BANDARI YA DARESALAAM TU.
KWA MIAKA 25 YA KUMTATHMINI. AKIFANYA VIZURI TUTAMPA BANDARI NYINGINE NA NYINGINE KADRI MUDA UTAKAVYO RUHUSU.
HIZO BANDARI NYINGINE HANA MAMLAKA NAZO.
UMEELEWA SASA WEWE BIBI [emoji849][emoji849][emoji849]
Hayatuhusu,kwanza alipata urais kwa Rushwa hivyo yeye yupo kibiashara zaidi na si mtumishi wa Wakenya.Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.
Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.
Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.
Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.
Ushahidi huu hapa:
Wewe kwa akili Yako unaona wale dada zetu wanaoishi ulaya,Omani,Saudia nk..wakifanya kazi ndani na kuzuiliwa uhuru wao wa kuchangamana,mawasiliaano au kuabudu sio utumwa kwa Kuna kaujira.Lazima unaroho mbaya😊😊Sasa hivi wapo laki mbili, kaahidi million 1 ndani ya muda mchache, wa kila nyanja. Jisikilizie mwenyewe video hiyo, au lugha inakupiga chenga?
Wewe unaita "utumwani" yeye kasema kufanya kazi.
Ujinga ni mzigo mzito sana.
Sasa hivi wamefilisika sana mpaka wanashindwa kuwalipa Watumishi wa Serikali mishahara.Sana, likija suala la uchumi Kenya hatuwapati kabisa. Wapo mbali sana na wakati sisi tunalumbana kijinga huku Waarabu na vigati vya bandarini, wao wanawatafuta Waarabu na wanawaambia njooni muwekeze mnachotaka hapa.
Tuambie wewe ni kesi ipi na ipi na wapi na ni kesi za nini,vipi TICS nao hawana kesi mahala popote duniani??Wana kesi zaidi ya 5 ktk nchi mbalimbali na hawa jamaa kwa rushwa hawajambo!
Ila sidhani kwa akili zako kama unaweza kugoogle na kusoma na huenda hutaelewa !
Umemwajiri nani na una kiwanda gani ututajie.Unafikiri nakula pensheni ya kijinga ya Tanzania?Nakula pensheni ambayo inaniwezesha kuwaajiri Watanzania kibao tu wanitazamie bustani zangu na mifugo yangu. Njoo utembee Kwa Mkanada, Mkuranga ujionee penshen inavyofanya kazi.
Sasa kipengele cha tukitaka kuwekeza Bandari ya ziwa Tanganyika kwanza tuutarifu mji wa Dubai kinaandikwa kwa maslahi ya nani ?Hakuna mkataba wa kazi uliosainiwa, wacheni kujijaza ujinga.
We kigagula hamia kenya bana kwan lazima uwe mbongo??? Tena mombasa itakufaa kwa makafri wenzakoLicha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.
Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.
Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.
Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.
Ushahidi huu hapa:
Hongera bi mkubwa ila leo ndio nimejua wewe ni mzaramoUnafikiri nakula pensheni ya kijinga ya Tanzania?Nakula pensheni ambayo inaniwezesha kuwaajiri Watanzania kibao tu wanitazamie bustani zangu na mifugo yangu. Njoo utembee Kwa Mkanada, Mkuranga ujionee penshen inavyofanya kazi.
Kama hutoweka hoja zinazofanya watanzania wapinge mkataba wa DP world bas wewe ndie mchawi to the extent ✔️kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.