Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

Kenya ni Kenya, Tanzania ni Tanzania.
Sio lazima kuigana.
 
Huku Tanzania tuna watu wana fikra za kichawi na hii imechangiwa na roho mbaya.

Watu wanawaza kukwamisha,kukomoa na kujitoa ufahamu tuu ili kuleta taharuki kwa jamii na mambo yakwame wafurahi, ni watu wa ajabu sana hawa wapinga maendeleo.
Unawapa sifa na jina zuri kuwaita watanzania,
Hao ni wageni na maadui wa Tanzania
Tuwe na tahadhari nao sana, wao wanawaza kuisambaratisha tz iwe kama inchi zao
 
Ukiona mtu anajidai kutetea tanganyika ujue huyo ni either mrundi, mnyarwanda au pengine hata sijui kafiri ka wapi huko,
Tanganyika haipo, iliyopo ni tanzania tu
Full stop
 
Wakenya wanajielewa,huwezi kulinganisha na mburula za Tanzania chini ya CCM.Wao kwanza walishaondoa CCM yao maarufu KANU.
 
Ukiona mtu anajidai kutetea tanganyika ujue huyo ni either mrundi, mnyarwanda au pengine hata sijui kafiri ka wapi huko,
Tanganyika haipo, iliyopo ni tanzania tu
Full stop
Kuzaliwa Dar es Salaam kusikufanye wewe kuwa mpumbavu na mjinga wa hali ya juu,Tanganyika ni eneo lote la Tanzania Bara na Dar es Salaam ikiwemo.Acha upumbavu maisha yasonge watu kutoka kila kona ya Tanganyika wameukataa huo mkataba wenu wa kiwizi.Songea,Bukoba,Shinyanga,Tabora,Kilimanjaro,Geita,Kigoma,Mwanza,Katavi,Mara,Mbeya,Sumbawanga,Njombe,Mtwara,Morogoro,Lindi,Dodoma,Arusha,Tanga,Manyara na Singida kote huko watu hawataki upumbavu wenu kwa hiyo hao wote ni Warundi na Wanyarwanda.
 
VP WAKATI WA MAGU ULIKAMATWA KWA HUJUMU UCHUMI MPAKA UKAKIMBIA KWA WAJOMBA ZAKO OMAN SAHV UMEKUJA NA DP NGOJA MAGU AFUFUKE UTAHAMA NCHI
Nilikuwa nawapa ushauri mabepari namna ya kuzikamata ndege.
 
Umefanya utafiti? Kwa hawa wa mtandaoni?
Ukweli mchungu, ni Tanganyika haipo, na watanzania waote wanajua hilo, kuirudisha Tanganyika ni kuifufua uhuru wa zanzibar huru na hilo hatutaki litokee

Ni tanzania tu
Full stop
 
Wagalatia watamaind
 
Ma Shaa Allah, hilo siyo nyuma ya pazia.

Nikikulingania Uislam elewa kuwa nakutakia mema. Unatakiwa uwahi kuukumbatia Uislam.
Mkishika Bandari zetu zote hadi za Maziwa na sisi kushindwa kuwatoroka na kuanza kututawala kidini linakuja kutumika hili andiko.

AL I'MRAN - 85 ]
Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake.
Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.

Na mwisho kusimika Islamic State.
Hapo Bibi FaizaFoxy, atakuwa amefikia kilele cha mafanikio na furaha yake.
 
Haswaaaa, nikiokoa mtu mmoja ni kama nimeuokoa Ulimwengu mzima. Njoo ujisalimishe kwa Muumba wako. Achana na kuabudu mzungu.
 
Hao ndio wanaume wanajali maslahi ya wananchi wao kwanza.
Nyie Tanzania sisi waarabu tumewaahidi nini?
Mmetoa tamu yenu bure na kutuhonga juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…