Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

Hapo hajapunguza kitu sema waimba sifa wamepata sababu kuimba.
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Pongezi Mama Samia
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Mkuu njoo sasa utup
Tofautisha kusifia na fact,

Hizi ni fact?

Nadhani hata wewe umeelewa namna tulivyo matajiri,

Umeleewa mikopo au misaada ni ziada kwetu,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
Mkuu njoo sasa utupe hiyo fact
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…