Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

Wachache sana wanufaikaji ndio huwa wanamfuatilia sisi tuliowengi tumeshajua tumepigwa kitambo. Roho ya Marehemu John Joseph Pombe Magufuli ipate REHEMA kwa MUNGU ipumzike kwa AMANI amina.
 
Unapenda kulalamika sana mkuu
Ni wajibu wangu kulalamika kama mlipa Kodi na katika nchi watu kama mimi tuna faida kama watawala wakishughulikia malalamiko yetu tofauti na watu wa kusifia hakuna value addition yoyote mnayoongeza sana sana mnaweza mkasababisha kilichotokea kwenye the Emperor has no Clothes
 
Wachache sana wanufaikaji ndio huwa wanamfuatilia sisi tuliowengi tumeshajua tumepigwa kitambo. Roho ya Marehemu John Joseph Pombe Magufuli ipate REHEMA kwa MUNGU ipumzike kwa AMANI amina.
mmepigwa wapi?
 
Wewe unalalamika zaidi mkuu
 
Wewe unalalamika zaidi mkuu
Na wewe njoo usaidie kulalamika wajibu wangu ni kulipa kodi na kuwakumbusha / kuwaambia ninaowalipa / niliowaajiri kuwaambia wapi hapako sawa..., hayo mambo ya kusifiwa watasifiwa na ndugu zao (after all ni wajibu wao ambao hawaufanyi) Sasa anayejenga ni nani kati yangu mimi na wewe ?

Ninayekumbushia wapi hapako sawa au wewe unayesema kila kitu ni shwari
 
Kazi ni nzuri mno
 
Hata Hayati alikopa tu
 
Kifo kilitudhulumu binadamu mwenye uzalendo wa kweli pamoja na mapungufu ya kibinadamu lakini mambo mengi yalikuwa yanaenda na tena hadharani sio ktk mitandao ya kijamii
Uzalendo kwa Mungu ni nini hata tumkosoe Mung?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…