Rais Samia aache kukwepa majukumu

shida yenu hamuoni mazuri yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka tuwe punguani tuone kuwa kuuza maliasili zetu kwa wajomba zake ni jambo zuri?
Mbaya zaidi wale wanaotumia jinsia yake kama ngao ya kumlinda! Tatizo la Samia sio jinsia yake bali ni uwezo wake mndogo ; mnamlazimisha tu na huo Urais! Passion yake ni uigizaji, kama alivyofanya kwenye documentary yake ya “Royal Tour “!
 
Yaani CDF na vyombo vinavyomsaidia huku chini vime collect information zao na kuzichakata wakajanna conclusion halaf unadai amekurupuka?

Seriously?
 
Unajua CDF ana unit ngapi jeshini zinazompa taarifa?
 
Kichwa cha kuku hakihimili kiremba
 
Hata JWTZ ni Rais pia anawahakiki, ndani ya JWTZ Rais ana watu wa usalama wengi tu, ama laaa, Mkuu wa Majeshi atuambie kwamba yeye Mkuu wa Majeshi ameyaona kwa wanasiasa tu na watendaji wa nje ya jeshi
Chiembe acha utoto kuwa mkubwa unaongea kma kwamba hujui
 
100%
 
Rais ana vyombo vingi vya kuhakiki taarifa, uongozi sio kukurupuka, lazima afanye due diligence ili asimuonee mtu kwa sababu tu kazaliwa Karagwe, Kigoma, Ngara, Mbeya, Mtwara
Kwa hiyo CDF alidanganya?!
 
Yaani CDF na vyombo vinavyomsaidia huku chini vime collect information zao na kuzichakata wakajanna conclusion halaf unadai amekurupuka?

Seriously?

Amekurupuka ndo maana boss wake amempuuza. Boss wake ana vyombo zaidi yake including jeshi lenyewe BTW.
 
Hivi unajua CDF ni nani kimamlaka ndani ya nchi ? Au unadhani CDF ni kama chawa wengine?

CDF ni mteule wa Rais kama Jokate, Makonda, Nikki wa pili, mkurugenzi au mkuu wa wilaya. Boss wake, CIC, anaweza mtengua muda wowote akitaka. Endeleeni kujazana ujinga huko vijiweni.
 
CDF ni mteule wa Rais kama Jokate, Makonda, Nikki wa pili, mkurugenzi au mkuu wa wilaya. Boss wake, CIC, anaweza mtengua muda wowote akitaka. Endeleeni kujazana ujinga huko vijiweni.
Ajaribu aone moto wake
 
Leta rejea tukuelewe;CDF ana mamlaka gani makubwa na hayo mamlaka yanapatikana wapi sheriani au katibani?

Hawa wabongo wanajazana ujinga vijiweni wanadhani CDF ni likitu likubwa kuliko Rais mwenyewe kumbe CDF anaweza tenguliwa muda wowote kama Makonda tu.
 
Rais ana vyombo vingi vya kuhakiki taarifa, uongozi sio kukurupuka, lazima afanye due diligence ili asimuonee mtu kwa sababu tu kazaliwa Karagwe, Kigoma, Ngara, Mbeya, Mtwara
Kwa hiyo cdf alimdanganya raisi au kama kuna vyombo vingi mbona wakimbizi kibao wamejaa maofisini, mitaani hivyo vyombo viko wapi.Mm niko hapa Kigoma kila kona wamejaa warundi mpaka kwenye mabaa sasa hivyo vyombo haviwaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…