Kilwa94
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,676
- 3,046
Leta rejea tukuelewe;CDF ana mamlaka gani makubwa na hayo mamlaka yanapatikana wapi sheriani au katibani?Hivi unajua CDF ni nani kimamlaka ndani ya nchi ? Au unadhani CDF ni kama chawa wengine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta rejea tukuelewe;CDF ana mamlaka gani makubwa na hayo mamlaka yanapatikana wapi sheriani au katibani?Hivi unajua CDF ni nani kimamlaka ndani ya nchi ? Au unadhani CDF ni kama chawa wengine?
Unataka tuwe punguani tuone kuwa kuuza maliasili zetu kwa wajomba zake ni jambo zuri?
CDF kapata wapi hii confidence
CDF alikurupuka. Hakuna mkimbizi aliyeteuliwa serikalini.
Mkimbizi akiwa naturalized ana haki ya kushika nafasi yeyote ile isipokuwa nafasi ya Rais na VP ambao ni lazima wawe watanzania by birth. Nafasi zingine zote sio lazima.
Mtu akiwa naturalized hakuna sababu ya kuendelea kubring up ukimbizi wake. Tatizo wabongo wengi wanaamini mtu akiwa mkimbizi anakuwa mkimbizi milele. Huu ni ujinga wa watanzania walio wengi.
Serikali haiwezi kuteua mkimbizi hata kama serikali ya bongo ni mbaya vp. Maza alimlindia heshima tu ila CDF alipuyanga.
CDF ni sehemu tu ya vyombo vya Rais, na Rais hawajibiki kumuamini CDF moja kwa moja, ndio maana ana taasisi zaidi ya moja za kumpa taarifa.
What if hata huyo CDF kapotoshwa?
Rais ana usalama wa taifa, ana uhamiaji, ana watu wa ofisi ya Rais, wakuu wa mikoa, wilaya, kata, tarafa, na kila aina ya taasisi za kumsaidia
Kichwa cha kuku hakihimili kirembaCDF alikurupuka. Hakuna mkimbizi aliyeteuliwa serikalini.
Mkimbizi akiwa naturalized ana haki ya kushika nafasi yeyote ile isipokuwa nafasi ya Rais na VP ambao ni lazima wawe watanzania by birth. Nafasi zingine zote sio lazima.
Mtu akiwa naturalized hakuna sababu ya kuendelea kubring up ukimbizi wake. Tatizo wabongo wengi wanaamini mtu akiwa mkimbizi anakuwa mkimbizi milele. Huu ni ujinga wa watanzania walio wengi.
Serikali haiwezi kuteua mkimbizi hata kama serikali ya bongo ni mbaya vp. Maza alimlindia heshima tu ila CDF alipuyanga.
Hama Tanzania unaemkubali ndio walio mteuwaMm ccm ila makonda ni simkubali
Anza kushangaaa sas hiv ili mpka muda kufika umeshazoea tayariKweli kabisa. Cheo chake kimemzidi uwezo. Ndio maana nitashangaa Sana Rais Samiah akichukua fomu ya Urais. Nitashangaa Sana.
Kule Zanzibar vipi? Au ni stori tu!Namuomba Rais asitumie vyama vya Upinzani Kama Chaka la kujifichia, kwani tumefanya chaguzi nyingi na JWTZ haijawahi kuhusishwa.
Chiembe acha utoto kuwa mkubwa unaongea kma kwamba hujuiHata JWTZ ni Rais pia anawahakiki, ndani ya JWTZ Rais ana watu wa usalama wengi tu, ama laaa, Mkuu wa Majeshi atuambie kwamba yeye Mkuu wa Majeshi ameyaona kwa wanasiasa tu na watendaji wa nje ya jeshi
100%Wakati akiwa kwenye mkutano wa JWTZ, Rais Samia alijulishwa na Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda kuwa Kuna wakimbizi wameteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi.
Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais Samia alipopewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huo, akaleta mada nyingine kwamba mwaka 2025 ni mwaka wa uchaguzi hivyo vyama vipo vingi na vingine havina Nia njema, hivyo jeshi liwe tayari kwa lolote.
Kauli ya Rais ilikuwa ya kinafiki na kujaribu kujenga taswira ya kwamba vyama vya Upinzani vinalenga kuleta fujo au kauli ya Rais ililenga kuwaingiza wanajeshi kwenye siasa za kuilinda CCM .
Namuomba Rais asitumie vyama vya Upinzani Kama Chaka la kujifichia, kwani tumefanya chaguzi nyingi na JWTZ haijawahi kuhusishwa. Yeye ajikite kushughulikia kauli ya CDF kuhusu wakimbizi kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa. Aache longolongo.
Kwa hiyo CDF alidanganya?!Rais ana vyombo vingi vya kuhakiki taarifa, uongozi sio kukurupuka, lazima afanye due diligence ili asimuonee mtu kwa sababu tu kazaliwa Karagwe, Kigoma, Ngara, Mbeya, Mtwara
Anateuliwa na rais na anaweza mtoa bila sababuHivi unajua CDF ni nani kimamlaka ndani ya nchi ? Au unadhani CDF ni kama chawa wengine?
Yaani CDF na vyombo vinavyomsaidia huku chini vime collect information zao na kuzichakata wakajanna conclusion halaf unadai amekurupuka?
Seriously?
Kwa hiyo CDF alidanganya?!
Hivi unajua CDF ni nani kimamlaka ndani ya nchi ? Au unadhani CDF ni kama chawa wengine?
Ajaribu aone moto wakeCDF ni mteule wa Rais kama Jokate, Makonda, Nikki wa pili, mkurugenzi au mkuu wa wilaya. Boss wake, CIC, anaweza mtengua muda wowote akitaka. Endeleeni kujazana ujinga huko vijiweni.
Leta rejea tukuelewe;CDF ana mamlaka gani makubwa na hayo mamlaka yanapatikana wapi sheriani au katibani?
Ajaribu aone moto wake
Kwa hiyo cdf alimdanganya raisi au kama kuna vyombo vingi mbona wakimbizi kibao wamejaa maofisini, mitaani hivyo vyombo viko wapi.Mm niko hapa Kigoma kila kona wamejaa warundi mpaka kwenye mabaa sasa hivyo vyombo haviwaoni?Rais ana vyombo vingi vya kuhakiki taarifa, uongozi sio kukurupuka, lazima afanye due diligence ili asimuonee mtu kwa sababu tu kazaliwa Karagwe, Kigoma, Ngara, Mbeya, Mtwara