Rais Samia aache kulalamika, achukue hatua mara moja

"Stupid"

Likaishia hapo.
Report ni mali ya CAG umma inatakiwa iende bungeni ijadiliwe na wawakilishi wa wananchi, waje na maazimio kwa serikali na mamlaka za uteuzi ili kuwawajibisha watakaoonekana kuhusika. Kwa hulka na silka ya Rais, si mtu wa kukurupuka na kuropoka ni mtu mtulivu anayependa kufuata utaratibu wa kisheria na kikatiba.

Ndio maana unaona hana watu wa atake asitake tutamuongezea muda wa kutawala hata baada ya muda wake wa kikatiba.
 
TUKIWASILIZA VIZURI NHIF WANAYO MAJIBU MAZURI

Nimeshuhudia vyombo vingi vya habari ikiwemo mitandao ya KIJAMII ikiandika mengi juu ya taarifa ya CAG, moja ya gazeti likasema"NHIF KINARA KATIKA MASHIRIKA YA UMMA KWA HASARA".

Inafikirisha sana ukisikia hivyo na hasa kile kiasi kilichotajwa cha zaidi ya Bilioni 200, unaweza ukaona Shirika lina matatizo au watendaji wake wameshindwa kufanya kazi lakini kumbe ukiwapa sikio wanazo hoja na majibu sahihi kabisa.

Nikafanya kazi ya ziara ya kupitia taarifa mbalimbali za NHIF juu ya namna inavyotoa huduma na namna inavyopambana katika suala zima la udanganyifu.
Nikabaini kuwa hiyo hasara iliyotajwa na CAG inatokana na madai ya watoa huduma kuwa kubwa ikilinganishwa na makusanyo yalitofanywa na Mfuko.

Nikachimbua kwa undani ili nijue sababu, nikarejea mpaka mwaka 2001 wakati Mfuko unaanzishwa nikabaini kuwa huduma zilizotolewa miaka hiyo zilikuwa chache sana ni kama mara kumi ya sasa lakini kiwango cha uchangiaji ni hicho hicho hakijaongezeka kwa wanachama wake.

Tunashuhudua huduma kubwa za kibingwa zikigharamiwa na NHIF ambazo awali hazikuwepo hivyo hapa moja kwa moja unaona kuna tatizo la msingi ambalo linajibu hiyo hasara ambayo leo tunaiona sisi ni kubwa.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, NHIF pamoja na changamoto zake lakini kuna mambo lazima yafanyiwe kazi na sisi wananchi tukubali hata kama kutakuwepo ongezeko la mchango ili waweze kugharamia hizi huduma bila kuingia hasara.

Baada ya udadisi nilioufanya binafsi NHIF nawapa pole na ninawaomba wananchi wenzangu tuwasikilize nao wanazo hoja.

Mkereketwa masuala ya Afya

Mbinga- Ruvuma
 
Mkiambiwa matibabu ni gharama hamsemi halafu mkisikia NHIF imelipa malipo makubwa kwa gharama hizo mnaanza kuishambulia lazima tukubali kuwa NHIF wanajitahidi sana hata hapo walipo pamoja na kwamba michango haijawahi kupanda
 
Jumatano ya Machi 29, mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan alipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Pamoia na mambo kadhaa, ripoti ya CAG kwa mwaka fedha wa 2021/22 iliyowasilishwa bungeni leo, inaonyesha UZEMBE MKUBWA KATIKA USIMAMIZI WA MALI ZA UMMA MIONGONI MWA WATENDAJI NA WATUELE WA MHESHIMIWA RAIS

Kwa ufupi tu ripoti ya CAG imeonesha kuwa:
1. Serikali inatumia TZS bilioni 5.68 kwa mwaka kuwalisha wahamiaji haramu 3,110 waliopo magereza kwa kipindi cha mwaka hadi miaka mitano, licha ya kumaliza vifungo.

2.Kwa miaka 22 (2000-2022), Tanzania imetumia TZS bilioni 6.69 kutunza vyura 500 iliowapeleka Marekani ili kuepuka hatari ya kupotea kutokana na utekelezaji mradi wa umeme wa Kihansi. Hata hivyo, idadi yao kwa sasa haijulikani, na mkataba wa kuwepo Marekani umekwisha

3. TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. (YAANI HAIJUI INAMDAI NANI)

4. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ulipata hasara TZS bilioni 204.65 mwaka 2021/22 kutokana na ongezeko la gharama za mafao ya matibabu na gharama za huduma kwa wanachama ambazo hazikulingana na mapato yaliyoongezeka.

5. Ripoti ya ukaguzi wa Ukaguzi Maalum wa CAG katika fedha za Uviko-19 imebainisha madudu kadhaa, ikiwemo kwamba bidhaa zenye thamani ya zaidi ya Sh50 bilioni zilizolipiwa fedha hazijapokewa.

Taarifa ya CAG na ile ya Takukuru imebaini na kuonyesha upotevu wa mabilioni ya fedha za umma ambazo zingetumika kutekeleza miradi ya maendeleo kuboresha huduma na maisha ya wananchi ambao ndio walipa kodi.

Kwa lugha rahisi, ripoti zote mbili zimeonyesha upigaji wa fedha za umma unaofanyika ama kwa uzembe

HII Inaumiza, na hakika haikubaliki hata kidogo.

Ni Muda sasa umefika kwa mamlaka husika kuanzia vyombo na taasisi za uchunguzi na hata Ofisi ya Rais kuanza kuchukua hatua stahiki dhidi ya wahusika kukomesha vitendo vya aina hii.

Rais Samia ameonyesha kukerwa na upotevu huu wa fedha za umma; sasa ni muda wa kuchukua hatua. tumeona uchungu wa Rais Samia, tumeona hasira yake, lakini yote hayo HAYATOSHI. HUU NI MUDA WA RAIS WA NCHI NA AMIRI JESHI MKUU KUCHUKUA HATUA

Umma hautarajii kumwona Rais waliyemkasimu dhamana ya kuongoza Ofisi Kuu ya nchi akiendelea kulalamika huku fedha za umma zikiendelea kutafunwa na wajanja wachache kila mwaka.​

Japo CAG hana madaraka ya kuchukua hatua, lakini tayari ametoa mapendekezo, ikiwemo hatua za kuchukua.
Sasa ni zamu ya Rais mwenyewe pamoja na mamlaka husika kuwachukulia hatua stahiki wahusika wote wanaotajwa kwenye ripoti ya CAG kuwa wamehusika kwa njia moja au nyingine kufanya au kusababisha upotevu wa fedha na mali ya umma.

Bila kuchukua hatua, ni dhahiri hali itaendelea kuwa hivyo hivyo katika ripoti zijazo za CAG na ile ya Takukuru.
Rais Samia akatae kushiriki dhambi ya baadhi ya viongozi na watendaji ya kutafuna nchi.
Raisi alijinasibu kuwa yeye sio mtu wa kufyoka bali ni mtu wa kalama naona hiyo kalamu yake imeisha wino kabisa
 
Rais samia ameshajipambanua katika kupambana na kila aina ya Ubadhirifu katika Serikali anayoiongoza. shida yenu watu wa mnataka kusikia Flani katumbuliwa sjui huyu kafanywa hivi, Hatua zinaendelea kuchukuliwa na tumeshuhudia maeneo yenye changamoto kulingana na Taarifa ya CAG.
 
Kuhusu NHIF inapaswa Tutambue kuwa Hatua kadhaa Zimeshachukuliwa kwanza NHIF imesitisha mkataba na vituo 32 vya matibabu vilivyobainika kuibia Mfuko huo na Waumishi wa Vituo vya matibabu 129 wameliobainika kuibia Mfuko wameripotiwa na Mfuko kwenye Mamlaka zao ili wachukulwe hatua
 
Lakini pia NHIF haifumbii macho watumishi wake wanaojihusisha na udanganyifu kwa Mfuko. Imeshachukua hatua za kinidhamu kwa watumishi 17 ikiwani pamoja na kufukuza kazi baadhi yao na tunajua changamoto zipo ila Mfuko unachukua hatua ila ni wajibu wetu sote kuulinda Mfuko na kuhakikisha unadumu
 
Raisi alijinasibu kuwa yeye sio mtu wa kufyoka bali ni mtu wa kalama naona hiyo kalamu yake imeisha wino kabisa
Tusiwe wepesi wa kukomaza Akili kwa kudhani Hatua Hazichukuliwi, ilihali mmeona TANOIL Imefutwa Wakurugenzi wake kwa wizi NHIF Imefungia Vituo kibao vilivyokua Vinaibia Mfuko na Wafanyakazi wake walihusika na wizi wamesimamaisha kazi, Tatizo lenu humu Mnataka kila kitu afanye Rais hii sio sawa Kabisa 🤣🤣🤣 Bi Mkubwa ana Wasaidizi aliowateua kila Idara hio kazi ya Kuchukua hatua wanaiweza wakiishindwa basi ataingia mwenye kumtimua huyo aliyeahindwa kuchukua hatua
 
Sisi ndio Wabongo!!! 😁😁😁😁😁Tukiambiwa Tulipe Bima tunadai gharama zipo juu ikitokea changamoto za hapa na pale inakua agenda ya Kitaifa. Ipo hivi licha ya changamoto za hapa na pale NHIF wamekua mstari wa mbele sana kuhakikisha hatua stahiki zinachukulia kwa watumishi wake wote wanaojaribu kufanya udanganyifu kwa namna moja ama nyingine, Watumishi zaidi ya 17 wamechukuliwa hatua za kinidhamu na baadhi wamefukuzwa kazi.
 
NHIF Wanafanya kazi kubwa kuhakikisha wananchi wanapata huduma za afya za uhakika, sisi wananchi tumekua mstari wa mbele kufanya udanganyifu katika matumizi ya bima zetu tulizonazo.

Tusiwadondoshee jumba bovu NHIF.
 
Jumatano ya Machi 29, mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan alipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Pamoia na mambo kadhaa, ripoti ya CAG kwa mwaka fedha wa 2021/22 iliyowasilishwa bungeni leo, inaonyesha UZEMBE MKUBWA KATIKA USIMAMIZI WA MALI ZA UMMA MIONGONI MWA WATENDAJI NA WATUELE WA MHESHIMIWA RAIS

Kwa ufupi tu ripoti ya CAG imeonesha kuwa:

1. Serikali inatumia TZS bilioni 5.68 kwa mwaka kuwalisha wahamiaji haramu 3,110 waliopo magereza kwa kipindi cha mwaka hadi miaka mitano, licha ya kumaliza vifungo.

2.Kwa miaka 22 (2000-2022), Tanzania imetumia TZS bilioni 6.69 kutunza vyura 500 iliowapeleka Marekani ili kuepuka hatari ya kupotea kutokana na utekelezaji mradi wa umeme wa Kihansi. Hata hivyo, idadi yao kwa sasa haijulikani, na mkataba wa kuwepo Marekani umekwisha

3. TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. (YAANI HAIJUI INAMDAI NANI)

4. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ulipata hasara TZS bilioni 204.65 mwaka 2021/22 kutokana na ongezeko la gharama za mafao ya matibabu na gharama za huduma kwa wanachama ambazo hazikulingana na mapato yaliyoongezeka.

5. Ripoti ya ukaguzi wa Ukaguzi Maalum wa CAG katika fedha za Uviko-19 imebainisha madudu kadhaa, ikiwemo kwamba bidhaa zenye thamani ya zaidi ya Sh50 bilioni zilizolipiwa fedha hazijapokewa.

Taarifa ya CAG na ile ya Takukuru imebaini na kuonyesha upotevu wa mabilioni ya fedha za umma ambazo zingetumika kutekeleza miradi ya maendeleo kuboresha huduma na maisha ya wananchi ambao ndio walipa kodi.

Kwa lugha rahisi, ripoti zote mbili zimeonyesha upigaji wa fedha za umma unaofanyika ama kwa uzembe

HII Inaumiza, na hakika haikubaliki hata kidogo.

Ni Muda sasa umefika kwa mamlaka husika kuanzia vyombo na taasisi za uchunguzi na hata Ofisi ya Rais kuanza kuchukua hatua stahiki dhidi ya wahusika kukomesha vitendo vya aina hii.

Rais Samia ameonyesha kukerwa na upotevu huu wa fedha za umma; sasa ni muda wa kuchukua hatua. tumeona uchungu wa Rais Samia, tumeona hasira yake, lakini yote hayo HAYATOSHI. HUU NI MUDA WA RAIS WA NCHI NA AMIRI JESHI MKUU KUCHUKUA HATUA

Umma hautarajii kumwona Rais waliyemkasimu dhamana ya kuongoza Ofisi Kuu ya nchi akiendelea kulalamika huku fedha za umma zikiendelea kutafunwa na wajanja wachache kila mwaka.

Japo CAG hana madaraka ya kuchukua hatua, lakini tayari ametoa mapendekezo, ikiwemo hatua za kuchukua.

Sasa ni zamu ya Rais mwenyewe pamoja na mamlaka husika kuwachukulia hatua stahiki wahusika wote wanaotajwa kwenye ripoti ya CAG kuwa wamehusika kwa njia moja au nyingine kufanya au kusababisha upotevu wa fedha na mali ya umma.

Bila kuchukua hatua, ni dhahiri hali itaendelea kuwa hivyo hivyo katika ripoti zijazo za CAG na ile ya Takukuru.

Rais Samia akatae kushiriki dhaUkweli ni kwamba Ripoti ya CAG imeonesha madai yasiyo ya kweli ya 14 bil ambayo yamewasilishwa na vituo vya matabu kwa kughushi na baada ya Mfuko kufanya uchunguzi na kubaini ilichukua hatua ya kuwataka warejeshe na pia kuchukua hatua za kusitisha mikataba ya vituo 32 na kuvifukisha kwa mamlaka husika.mbi ya baadhi ya viongozi na watendaji ya kutafuna nchi.

2. Kwa miaka 22 (2000-2022), Tanzania imetumia TZS bilioni 6.69 kutunza vyura 500 iliowapeleka Marekani ili kuepuka hatari ya kupotea kutokana na utekelezaji mradi wa umeme wa Kihansi. Hata hivyo, idadi yao kwa sasa haijulikani, na mkataba wa kuwepo Marekani umekwisha

4. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ulipata hasara TZS bilioni 204.65 mwaka 2021/22 kutokana na ongezeko la gharama za mafao ya matibabu na gharama za huduma kwa wanachama ambazo hazikulingana na mapato yaliyoongezeka.​

5. Ripoti ya ukaguzi wa Ukaguzi Maalum wa CAG katika fedha za Uviko-19 imebainisha madudu kadhaa, ikiwemo kwamba bidhaa zenye thamani ya zaidi ya Sh50 bilioni zilizolipiwa fedha hazijapokewa.

Taarifa ya CAG na ile ya Takukuru imebaini na kuonyesha upotevu wa mabilioni ya fedha za umma ambazo zingetumika kutekeleza miradi ya maendeleo kuboresha huduma na maisha ya wananchi ambao ndio walipa kodi.

Kwa lugha rahisi, ripoti zote mbili zimeonyesha upigaji wa fedha za umma unaofanyika ama kwa uzembe

HII Inaumiza, na hakika haikubaliki hata kidogo.

Ni Muda sasa umefika kwa mamlaka husika kuanzia vyombo na taasisi za uchunguzi na hata Ofisi ya Rais kuanza kuchukua hatua stahiki dhidi ya wahusika kukomesha vitendo vya aina hii.

Rais Samia ameonyesha kukerwa na upotevu huu wa fedha za umma; sasa ni muda wa kuchukua hatua. tumeona uchungu wa Rais Samia, tumeona hasira yake, lakini yote hayo HAYATOSHI. HUU NI MUDA WA RAIS WA NCHI NA AMIRI JESHI MKUU KUCHUKUA HATUA

Umma hautarajii kumwona Rais waliyemkasimu dhamana ya kuongoza Ofisi Kuu ya nchi akiendelea kulalamika huku fedha za umma zikiendelea kutafunwa na wajanja wachache kila mwaka.​

Japo CAG hana madaraka ya kuchukua hatua, lakini tayari ametoa mapendekezo, ikiwemo hatua za kuchukua.
Sasa ni zamu ya Rais mwenyewe pamoja na mamlaka husika kuwachukulia hatua stahiki wahusika wote wanaotajwa kwenye ripoti ya CAG kuwa wamehusika kwa njia moja au nyingine kufanya au kusababisha upotevu wa fedha na mali ya umma.

Bila kuchukua hatua, ni dhahiri hali itaendelea kuwa hivyo hivyo katika ripoti zijazo za CAG na ile ya Takukuru.

Rais Samia akatae kushiriki dhambi ya baadhi ya viongozi na watendaji ya kutafuna nchi.
 
Hadi leo watu wamemdindia na yeye kaamua kudinda Ikulu
 
Jumatano ya Machi 29, mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan alipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Pamoia na mambo kadhaa, ripoti ya CAG kwa mwaka fedha wa 2021/22 iliyowasilishwa bungeni leo, inaonyesha UZEMBE MKUBWA KATIKA USIMAMIZI WA MALI ZA UMMA MIONGONI MWA WATENDAJI NA WATUELE WA MHESHIMIWA RAIS

Kwa ufupi tu ripoti ya CAG imeonesha kuwa:

1. Serikali inatumia TZS bilioni 5.68 kwa mwaka kuwalisha wahamiaji haramu 3,110 waliopo magereza kwa kipindi cha mwaka hadi miaka mitano, licha ya kumaliza vifungo.

2. Kwa miaka 22 (2000-2022), Tanzania imetumia TZS bilioni 6.69 kutunza vyura 500 iliowapeleka Marekani ili kuepuka hatari ya kupotea kutokana na utekelezaji mradi wa umeme wa Kihansi. Hata hivyo, idadi yao kwa sasa haijulikani, na mkataba wa kuwepo Marekani umekwisha

3. TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. (YAANI HAIJUI INAMDAI NANI)

4. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ulipata hasara TZS bilioni 204.65 mwaka 2021/22 kutokana na ongezeko la gharama za mafao ya matibabu na gharama za huduma kwa wanachama ambazo hazikulingana na mapato yaliyoongezeka.

5. Ripoti ya ukaguzi wa Ukaguzi Maalum wa CAG katika fedha za Uviko-19 imebainisha madudu kadhaa, ikiwemo kwamba bidhaa zenye thamani ya zaidi ya Sh50 bilioni zilizolipiwa fedha hazijapokewa.

Taarifa ya CAG na ile ya Takukuru imebaini na kuonyesha upotevu wa mabilioni ya fedha za umma ambazo zingetumika kutekeleza miradi ya maendeleo kuboresha huduma na maisha ya wananchi ambao ndio walipa kodi.

Kwa lugha rahisi, ripoti zote mbili zimeonyesha upigaji wa fedha za umma unaofanyika ama kwa uzembe

HII Inaumiza, na hakika haikubaliki hata kidogo.

Ni Muda sasa umefika kwa mamlaka husika kuanzia vyombo na taasisi za uchunguzi na hata Ofisi ya Rais kuanza kuchukua hatua stahiki dhidi ya wahusika kukomesha vitendo vya aina hii.

Rais Samia ameonyesha kukerwa na upotevu huu wa fedha za umma; sasa ni muda wa kuchukua hatua. tumeona uchungu wa Rais Samia, tumeona hasira yake, lakini yote hayo HAYATOSHI. HUU NI MUDA WA RAIS WA NCHI NA AMIRI JESHI MKUU KUCHUKUA HATUA

Umma hautarajii kumwona Rais waliyemkasimu dhamana ya kuongoza Ofisi Kuu ya nchi akiendelea kulalamika huku fedha za umma zikiendelea kutafunwa na wajanja wachache kila mwaka.

Japo CAG hana madaraka ya kuchukua hatua, lakini tayari ametoa mapendekezo, ikiwemo hatua za kuchukua.

Sasa ni zamu ya Rais mwenyewe pamoja na mamlaka husika kuwachukulia hatua stahiki wahusika wote wanaotajwa kwenye ripoti ya CAG kuwa wamehusika kwa njia moja au nyingine kufanya au kusababisha

Rais Samia akatae kushiriki dhambi ya baadhi ya viongozi na watendaji ya kutafuna nchi.

Ninachokiona

Mimi nafikiri hawa NHIF

Umma hautarajii kumwona Rais waliyemkatusimu dhamana ya kuongoza Ofisi Kuu ya nchi akiendelea kulalamika huku fedha za umma zikiendelea kutafunwa na wajanja wachache kila mwaka.

Japo CAG hana madaraka ya kuchukua hatua, lakini tayari ametoa mapendekezo, ikiwemo hatua za kuchukua.

Sasa ni zamu ya Rais mwenyewe pamoja na mamlaka husika kuwachukulia hatua stahiki wahusika wote wanaotajwa kwenye ripoti ya CAG kuwa wamehusika kwa njia moja au nyingine kufanya au kusababisha upotevu wa fedha na mali ya umma.

Bila kuchukua hatua, ni dhahiri hali itaendelea kuwa hivyo hivyo katika ripoti zijazo za CAG na ile ya Takukuru.

Rais Samia akatae kushiriki dhambi ya baadhi ya viongozi na watendaji ya kutafuna nchi.

Nafikiri hawa NHIF tunatakiwa kuwatia moyo msaada wao mkubwa wanakwamishwa na watu wachache hasa hivi vituo 32 vilivyofanya ubadhilifu na kuitia doa taasisi hapana nawapongeza kwa kuchukua hatua lakini pole kwa CAG hajui haya

Asepe tu, haiwezekani muda wote kulalamika tu, sasa anatengeneza generation gani? Ila tutafika tu.
 
Back
Top Bottom