Hawana vyeti feki lete ushahidi.Mwanajeshi aweza foji cheti cha chuo cha polisi au chuo cha Jwtz au chuo cha uhamiaji au TISS ? Forgery zilikuwa za vyeti vyuo vya ualimu ,uhasibu ,na course za arts za ofisini nk za VETA nk vyeti vya vyuo vya jeshi ufoji? Utakitoa wapi wao ndio wanakupelekaWewe mataga Yehodada ushahidi unawekwa humu ? Kilichomfanya Jiwe asiguse jeshi , polisi , magereza ,uhamiaji , usalama wa taifa hukijui ? One does not have to be a genius to understand that .
Hee hili jambo la wanajeshi naomba msiendelee kulijadili.Hawana vyeti feki lete ushahidi.Mwanajeshi aweza foji cheti cha chuo cha polisi au chuo cha Jwtz au chuo cha uhamiaji au TISS ? Forgery zilikuwa za vyeti vyuo vya ualimu ,uhasibu ,na course za arts za ofisini nk za VETA nk vyeti vya vyuo vya jeshi ufoji? Utakitoa wapi wao ndio wanakupeleka
Mkuu hapa mbona tunazungumzia what is right and wrong hatuzungumzii falsafa za mtu.Unafanya makosa kwa kuhusisha swala la vyeti fake na Magufuli.Hebu panua mawazo kidogo.Nitakufa, lakini siabudu Mtu wala falfasa za Mtu! Matatizo ya elimu na vyeti yapo tele Tanzania, mfano mzuri ni sakata la Bashite, ambaye mwendazake alimkumbatia kama Luba, alafu Wewe unashangilia watu kupokwa stahiki zao, kisa makaratasi?!
Kuna udanganyifu wa vyeti kwa watu ambao hawajasoma wanatumia ujuzi na elimu ya Mtu, hao ni wadanyanyifu! Lakini Kwanini huzingatii watu kama madereva ambao hawakuwa na cheti cha form 4 tu lakini ameendesha gari miaka 30, leo unamnyima mafao aliyo fanyia kazi, kisa kikatarasi? Kwani ni cheti kinacho endesha gari? Na unajua pia kuna wenye vyeti halali kabisa lakini walifaulu kwa rushwa?! Na kuna wenye vyeti wazembe kazini?
Yehodaya hawa waovu wanajaribu kutetea uovu wao kwa nguvu zote.It's bad luck that the government is assisting people to commit prosecutable offences,Hawana vyeti feki lete ushahidi.Mwanajeshi aweza foji cheti cha chuo cha polisi au chuo cha Jwtz au chuo cha uhamiaji au TISS ? Forgery zilikuwa za vyeti vyuo vya ualimu ,uhasibu ,na course za arts za ofisini nk za VETA nk vyeti vya vyuo vya jeshi ufoji? Utakitoa wapi wao ndio wanakupeleka
Ni kwa sababu wana-legacy mnampambania mwendazake, mnaona madudu yake yakifichuliwa na kupanguliwa, u-mungu Mtu Mtu wake utapotea, na mtakuwa wrong kumwabudu, fact ni kwamba alikua wrong, mpo wrong na Mazaa anajaribu ku-mend majeraha yali sababishwa na huyo Baba yenu!Mkuu hapa mbona tunazungumzia what is right and wrong hatuzungumzii falsafa za mtu.Unafanya makosa kwa kuhusisha swala la vyeti fake na Magufuli.Hebu panua mawazo kidogo.
Naomba unielewe,simpambanii Magufuli,nampambania ili iweje?Discussion yetu ni what is right and wrong,that is all.Imetokea tu kwa bahati kwamba Magufuli ndiye kafanya hilo jambo,ndio maana nasema panua mawazo kidogo.Ni kwa sababu wana-legacy mnampambania mwendazake, mnaona madudu yake yakifichuliwa na kupanguliwa, u-mungu Mtu Mtu wake utapotea, na mtakuwa wrong kumwabudu, fact ni kwamba alikua wrong, mpo wrong na Mazaa anajaribu ku-mend majeraha yali sababishwa na huyo Baba yenu!
Mfukuzaji nae alifundishwa na walimu hao hao leo wanawaita feki.FekiWasakwe na wachunguzwe wote waliofundishwa na waalimu waliokuwa na vyeti feki wafukuzwe kazi kwa kufundishwa na waalimu wenye vyeti feki! ...... Atabaki mtu kweli!!!
Bado nchi yetu ipo kwenye viwango vya vyeti badala ya kuboresha ujuzi! Kuna watu ambao wana uwezo mkubwa lakini wanakwamishwa na vyeti!Naomba unielewe,simpambanii Magufuli,nampambania ili iweje?Discussion yetu ni what is right and wrong,that is all.Imetokea tu kwa bahati kwamba Magufuli ndiye kafanya hilo jambo,ndio maana nasema panua mawazo kidogo.
Hapa hatuzungumzii ulokole wa mtu mmoja mmoja bali sera umma katika ummoja wake. Kwamba Serikali ya kihalifu na iliyojitambua uharamu wake haikutumia njia halali kuajiri wafanyakazi wake. Kwamba kwa kuwa licha ya kuingia madarakani kwa njia haramu lakini serikali inakuwa halali baada ya kuingia madarakani, hata wafanyakazi walioingia kazini kwa njia haramu na kisha kukubaliwa na kufanyakazi kama wafanyakazi halali wa serikali, basi wanastahili kulipwa stahiki zao mara baada ya serikali kuwachisha kazi.Mwizi kufanikiwa kuiba haihalalishi umiliki halali wa kile alichokiiba.....
Tatizo linaanzia pale walipotumia udanganyifu kupata hiyo ajira ndio inawaondolea uhalali wa wao kupata mafao......chanzo cha pato lao ni haramu na mafao yao ambayo ni sehemu ya mshahara huo haramu pia ni haramu
Yaani wewe na umataga wako wote wa Jiwe kwa miaka yote na akili yako yote unaona aliefanya kazi ndio mhalifu , lakini mwizi wa tilioni moja na nusu sio mwizi , mbona husemi apelekwe mahakamani ? Ndio nyie mnaua mwizi wa kuku wa elfu kumi lakini mnawashangilia mafisadi wa matilioni , mabilioni , mamilioni huku nchi ikikosa huduma muhimu sababu yao , ila waliofanya kazi kwa miaka mingi wasilipwe haki zao ? , Hiyo akili matope ?Hawana vyeti feki lete ushahidi.Mwanajeshi aweza foji cheti cha chuo cha polisi au chuo cha Jwtz au chuo cha uhamiaji au TISS ? Forgery zilikuwa za vyeti vyuo vya ualimu ,uhasibu ,na course za arts za ofisini nk za VETA nk vyeti vya vyuo vya jeshi ufoji? Utakitoa wapi wao ndio wanakupeleka
Hii nguvu wewe na mataga wenzio mlioitumia kupinga watu wasilipwe haki zao , mngeitumia kupiga kelele wizi na mafisadi wa EPA , Deep Green , Escrow , Meremeta , Richmond , wizi wa tilioni moja na nusu , ununuzi usiofuata taratibu wa ndege , ujenzi wa uwanja chato , matumizi ya pesa bila idhini ya bunge , wizi na uporaji wa hela za wafanyabiashara wa bureau de change , uporaji wa TRA kwenye akaunti za wafabiashara ningekuona wewe na wenzio wa maana , lakini kushupalia watu wasilipwe haki zao huku wamefanya kazi miaka mingi , muda , jasho lao limechangia sana nchi hii na Wana mchango mkubwa na miaka mingi kuliko hata wa huyo aliyewafukuza , unaona wasilipwe kweli ? Muogopeni Mungu nyinyi anayefanya kazi ni binadamu sio cheti simple logic but very meaningful .Naomba unielewe,simpambanii Magufuli,nampambania ili iweje?Discussion yetu ni what is right and wrong,that is all.Imetokea tu kwa bahati kwamba Magufuli ndiye kafanya hilo jambo,ndio maana nasema panua mawazo kidogo.
Mpambanie tu labda atapancishwa cheo zaidi ya malaika mkuu alichokuwa anakililia muda mrefu .Naomba unielewe,simpambanii Magufuli,nampambania ili iweje?Discussion yetu ni what is right and wrong,that is all.Imetokea tu kwa bahati kwamba Magufuli ndiye kafanya hilo jambo,ndio maana nasema panua mawazo kidogo.
Exactly eti majizi ya kura ni serikali halali , huku walioingia kwa vyeti feki sio halali , mataga yana ji kompliketi kweli .Hapa hatuzungumzii ulokole wa mtu mmoja mmoja bali sera umma katika ummoja wake. Kwamba Serikali ya kihalifu na iliyojitambua uharamu wake haikutumia njia halali kuajiri wafanyakazi wake. Kwamba kwa kuwa licha ya kuingia madarakani kwa njia haramu lakini serikali inakuwa halali baada ya kuingia madarakani, hata wafanyakazi walioingia kazini kwa njia haramu na kisha kukubaliwa na kufanyakazi kama wafanyakazi halali wa serikali, basi wanastahili kulipwa stahiki zao mara baada ya serikali kuwachisha kazi.
Wajadiliwe tu haki itendeke , Jiwe si aliambiwa akawa mbishi , wafukuzwe tu nao wote , polisi , magereza ,uhamiaji , usalama wa taifa waende wakajiunge na alshababy , msumbiji cape Delgado huko ndio Jiwe na vibaraka wake waelewe .Hee hili jambo la wanajeshi naomba msiendelee kulijadili.
Iwe waliingia jeshi kwa vyeti vya majina ya watu wengine ama lah.
Lengo ni kuwa tayari kuwalinda watanzania wenzao. Wamejitoa muhanga.
Yaani hilo zee lilikuwa li Pimbi kweli .Mfukuzaji nae alifundishwa na walimu hao hao leo wanawaita feki.Feki
Tena sasa mama anatakiwa awarudishe wote kazini na mishahara yao yote walipwe bila chenga walifanyiwa dhuluma na mwendazake .Ni kwa sababu wana-legacy mnampambania mwendazake, mnaona madudu yake yakifichuliwa na kupanguliwa, u-mungu Mtu Mtu wake utapotea, na mtakuwa wrong kumwabudu, fact ni kwamba alikua wrong, mpo wrong na Mazaa anajaribu ku-mend majeraha yali sababishwa na huyo Baba yenu!
Vipi bado mnalipwa buku saba na kununuliwa simu ? .Hawana vyeti feki lete ushahidi.Mwanajeshi aweza foji cheti cha chuo cha polisi au chuo cha Jwtz au chuo cha uhamiaji au TISS ? Forgery zilikuwa za vyeti vyuo vya ualimu ,uhasibu ,na course za arts za ofisini nk za VETA nk vyeti vya vyuo vya jeshi ufoji? Utakitoa wapi wao ndio wanakupeleka
Huyu lazima atakuwa mhanga wa vyeti feki....yaaniPimbi ni ukoo wako wote,nimesema wasidhulumiwe walipwe haki yao ikiwezekana na fidia ya kuteseka kwa miaka sita kisha baada ya hapo sheria ya kughushi ichukue mkondo wake we kibakuli sijui kibakuza or whatever you call yourself!Roho nzuri ni kufumbia macho makosa ya jinai?Ngoja ukutwwe na vibaka wakule jicho alafu serikali ifumbie macho kama hujatulalmikia humu,Gwederamo Nyie!
Sijaelewa mantiki ya hoja yako......lakini tukija kwenye muktadha wa uharamu wa kughushi nyaraka ili ujipatie kitu.....inatoa uharamu wa malipo yote kwa ujumla......Hapa hatuzungumzii ulokole wa mtu mmoja mmoja bali sera umma katika ummoja wake. Kwamba Serikali ya kihalifu na iliyojitambua uharamu wake haikutumia njia halali kuajiri wafanyakazi wake. Kwamba kwa kuwa licha ya kuingia madarakani kwa njia haramu lakini serikali inakuwa halali baada ya kuingia madarakani, hata wafanyakazi walioingia kazini kwa njia haramu na kisha kukubaliwa na kufanyakazi kama wafanyakazi halali wa serikali, basi wanastahili kulipwa stahiki zao mara baada ya serikali kuwachisha kazi.
Shida yako ndugu huna fikra huru....unaamini kila anayekwenda kinyume na utashi wako ni mwana CCM.....changia mada ukiwa na fikra huru na hoja zenye kujenga na kuelimisha....achana na mihemko........Vipi bado mnalipwa buku saba na kununuliwa simu ? .
Mbona mnakuwa wagumu wa kuelewa?Nimesema simpambanii Magufuli,ili iweje na yeye kaishatangulia mbele za haki?Naomba uwe muelewa,tunachozungumzia hapa ni which is right and wrong.Don't be guided by malice.Mpambanie tu labda atapancishwa cheo zaidi ya malaika mkuu alichokuwa anakililia muda mrefu .