The Remaining Soldier
Member
- Feb 25, 2021
- 54
- 74
Mwendazake angeendelea kuwepo angeambukiza watu wengi Sana roho yake mbaya ya kihutu ndio maana Mungu akaamua ampe umalaika mkuu , ona majitu kwenye huu uzi yanavyoshabikia watu wasilipwe stahiki zao , ndio miaka mitano tu , je angekaa kumi atake asitake si angezalisha maakina Yehodaya mengi sana .uongo kwa hiyo kule mtu yeyote aweza kuwa daktari wa operation au rubani bila cheti? vyuo vikuu wanafundisha wasio na vyeti?
Sijui hapa ume-post nini mkuu.Nyinyi hebu acheni propaganda , watumishi wote wale waliofukuzwa serikali haina sababu zozote zile za kutowalipa haki zao na stahiki zao , Kama walifoji kwanini Jiwe hakuwapeleka mahakamani ? Alijua na aliambiwa mengi kuliko mnayoyajua , ila kwa kuwa alikuwa anatafuta hela kununulia ndege akawafukuza ili achukue mishahara yao , mbona aliyewafukuza kafa kawaacha ?
Umeongea ukweli kabisa kiongozi. Mwendazake asingekufa angezalisha majitu mengi sana yenye roho mbaya na yasiyozingatia utu wala haki za binadamu. Lazima angezalisha ma Idd Amini ya kutosha katika nchi hii na ipo siku watu wangekuja kuchinjana kuliko ilivyokuwa kwenye mauaji ya kimbari kule Rwanda. Mungu hadhihakiwi ndio maana aliamua kumuondoa duniani kwa maslahi mapana ya taifa hili.Mwendazake angeendelea kuwepo angeambukiza watu wengi Sana roho yake mbaya ya kihutu ndio maana Mungu akaamua ampe umalaika mkuu , ona majitu kwenye huu uzi yanavyoshabikia watu wasilipwe stahiki zao , ndio miaka mitano tu , je angekaa kumi atake asitake si angezalisha maakina Yehodaya mengi sana .
Kwa hili nadhani mama Samia ameliwazia kisiasa zaidi badala ya kiweledi.
Mtu aliyeghushi vyeti vya kitaaluma ni mhalifu na angetakiwa awe jela, wanasiasa wetu wana akili ndogo sana, daima wanawaza kutoa kauli na matamko yatayowafurahisha wapiga kura ili waendelee kubakia utawalani.
Mtu anayekalia nafasi ambayo ametumia njia za udanganyifu kuipata anazuia nafasi kwa wengine waliovuja jasho kwa ajili ya nafasi hiyo.
Wote ni wahalifu na wanatakiwa wawe jela ikithibitika kuwa ni kweli.....Je aliyegushi thesis akawa daktaribwa falsafa kwa njia za kiujanjaujanja ni muhalifu au malaika?
Wa thesis mlimfanyia Nini Kama hai wa vyeti feki mnawahukumu? Basa mmeshawatoa kazini walipeni mafao yao. Kumbuka ni wengi wameumia. Waliohusika na ambao hawakuhusika.Wote ni wahalifu na wanatakiwa wawe jela ikithibitika kuwa ni kweli.....
Nadhani hukuelewa andiko langu......kughushi nyaraka ni kosa kwenye macho ya kisheria haijalishi ni nani amefanya hivyo.......kulipwa au kutokulipwa hakuondoi uharamu wa walichokifanya......Wa thesis mlimfanyia Nini? Kuna siku utajikuta upo segerea. Endelea kuwaombea wenzako mabaya. Hata wa kisongo Arusha alikuwa anarukaruka.
Unachomwombea mwenzio kumbuka kipo nyuma yako. Kumbuka Mdomo unaumba.
Waliokaa wakaona kunaumuhimu wa Hawa watu kulipwa sio wajinga.
Sawa sikatai ila kutokana na kuwa wengi halikuwa tatizo lao. Lilikuwa tatizo la mfumo. Anza kunyooshea mfumo uliowaajiri Kwanza ndiyo uwanyooshee wao. Wangekuwa making wakati wanaajiri Hawa watu wasingekuwepo. Sasa tuangalie na aliewaajiri anapewa adhabu gani kwa kumpotezea muda?Nadhani hukuelewa andiko langu......kughushi nyaraka ni kosa kwenye macho ya kisheria haijalishi ni nani amefanya hivyo.......kulipwa au kutokulipwa hakuondoi uharamu wa walichokifanya......
Je mtu akikutapeli na akafanikiwa.....lakini baadae ukija kugundua kuwa alikutapeli ni nani kati yenu anayestahili adhabu.......??Sawa sikatai ila kutokana na kuwa wengi halikuwa tatizo lao. Lilikuwa tatizo la mfumo. Anza kunyooshea mfumo uliowaajiri Kwanza ndiyo uwanyooshee wao. Wangekuwa making wakati wanaajiri Hawa watu wasingekuwepo. Sasa tuangalie na aliewaajiri anapewa adhabu gani kwa kumpotezea muda?
Hayo ni maoni yangu ninajiuliza rohoni. Sheria ile pande zote mbili.
Naomba serikali ikubali kuwa kulikuwa na makosa na iwe ni mwanzo na mwisho. Wafunge macho wawalipe stahiki zao Kama mama alivyoagiza.
Umeshasema mtu. Semea wengi. Halafu kuna ukaguzi au uhakiki. Kumbuka walikuwa hawahakikiwi na mtu mmoja ni watu wengi walikuwa wanakagua. Bado akafanyakazi miaka 40.Je mtu akikutapeli na akafanikiwa.....lakini baadae ukija kugundua kuwa alikutapeli ni nani kati yenu anayestahili adhabu.......??
MDOGO WANGU UNA ROHO MBAYA SANA HAO WATU WAKILIPWA UTAPUNGUKIWA NINI?Kwa hili nadhani mama Samia ameliwazia kisiasa zaidi badala ya kiweledi.
Mtu aliyeghushi vyeti vya kitaaluma ni mhalifu na angetakiwa awe jela, wanasiasa wetu wana akili ndogo sana, daima wanawaza kutoa kauli na matamko yatayowafurahisha wapiga kura ili waendelee kubakia utawalani.
Mtu anayekalia nafasi ambayo ametumia njia za udanganyifu kuipata anazuia nafasi kwa wengine waliovuja jasho kwa ajili ya nafasi hiyo.
Mbona mimi sijazuia mtu kulipwa ndugu.....mimi nimetoa tu maoni yangu kama ambavyo wengine wamechangia kulingana na maoni yao.....kumbuka huu ni mjadala unaohusisha mawazo tofauti tofauti......don't take it personalMDOGO WANGU UNA ROHO MBAYA SANA HAO WATU WAKILIPWA UTAPUNGUKIWA NINI?