kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Kuwasamehe bila kuwafikisha mahakamani ni malipo tosha. Waliochukuliwa nafasi zao inabidi wawashtaki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ni dhahiri kwamba Wale walioondolewa kwenye ajira ya serikali kwa kile kilichoitwa vyeti vyao vya masomo ya sekondari ni feki , hawatolipwa chochote , hata ile michango yao tuliyoambiwa majuzi kwamba watalipwa ni hakika imeota mbawa .
Sitaki kurudia kulisema jambo hili kwa undani wake wote , maana linaeleweka na kila mtu .
Bali swali langu ni hili , Aliyewadanganya Wahanga hawa kwamba watalipwa michango yao , huku akijua kwamba SERIKALI HAINA PESA WALA HAINA NIA YA KUWALIPA ni nani ? Ni Mh Rais Dkt Samia ambaye alisikika akitamka hadharani kwamba walipwe kuanzia Novembba mosi , Ni Waziri wa Utumishi au ni CCM chama ambacho nguzo yake kuu ni Uongo ?
Lengo la kuwadanganya wahanga hawa walioridhika na dhuluma waliyofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 na kuamua kumuachia Mungu lilikuwa nini hasa ?

Swali langu daima limekuwa hili "Je wale wote waliofundishwa na wanaodaiwa kuwa na vyeti feki wakafaulu mitihani na wengine wana PHD wengine maofisa wakubwa nao waadhibiwe kama waalimu wao?" Mbona tunaangalia upande hasi pekee kwa nini hatuangalii na upande chanya pia kisha tukayapima na kutoa hukumu stahiki? Kuna watu walijiendeleza, wakafaulu mitihani, wakabobea katika fani zao, lakini kwa sababu ya jina tu wakapoteza haki zao bila kuangalia mazuri waliyoyafanya. Hiyo ni haki kweli?? Jamani angalieni na upande wa pili, msiwaumize kwa kuwa tu nyie mnadhani mko salama katika nafasi zenu. Maisha ni safari ndefu.Yani mtu alifeli sa saba au form four, akaamua kuchukua cheti cha ndugu au rafiki yake ambaye either hakutaka kuendelea na shule au alishasoma mda, akaingia chuo na kumaliza shule huku anaitwa Najenjwa badala ya Naomi, leo tumuite MUHANGA? Mtu mwizi, kaghushi vyeti anaitwaje MUHANGA?
Sisi tuendelee tu kuwa taifa la hovyo.
Hizi ni juhudi za kuendelea kumgombanisha Rais na wananchi. Hii ni mpango mahsusi ikiratibiwa na kijana wake mpenzi alie mpa wizara ya fedha akishirikiana kwa karibu sana na Sukuma gang ili Mama afeli yeye awe Rais.Sasa ni dhahiri kwamba Wale walioondolewa kwenye ajira ya serikali kwa kile kilichoitwa vyeti vyao vya masomo ya sekondari ni feki , hawatolipwa chochote , hata ile michango yao tuliyoambiwa majuzi kwamba watalipwa ni hakika imeota mbawa .
Sitaki kurudia kulisema jambo hili kwa undani wake wote , maana linaeleweka na kila mtu .
Bali swali langu ni hili , Aliyewadanganya Wahanga hawa kwamba watalipwa michango yao , huku akijua kwamba SERIKALI HAINA PESA WALA HAINA NIA YA KUWALIPA ni nani ? Ni Mh Rais Dkt Samia ambaye alisikika akitamka hadharani kwamba walipwe kuanzia Novembba mosi , Ni Waziri wa Utumishi au ni CCM chama ambacho nguzo yake kuu ni Uongo ?
Lengo la kuwadanganya wahanga hawa walioridhika na dhuluma waliyofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 na kuamua kumuachia Mungu lilikuwa nini hasa ?
Wewe ndiye wa hovyo!Yani mtu alifeli sa saba au form four, akaamua kuchukua cheti cha ndugu au rafiki yake ambaye either hakutaka kuendelea na shule au alishasoma mda, akaingia chuo na kumaliza shule huku anaitwa Najenjwa badala ya Naomi, leo tumuite MUHANGA? Mtu mwizi, kaghushi vyeti anaitwaje MUHANGA?
Sisi tuendelee tu kuwa taifa la hovyo.
[emoji120][emoji120][emoji120]Swali langu daima limekuwa hili "Je wale wote waliofundishwa na wanaodaiwa kuwa na vyeti feki wakafaulu mitihani na wengine wana PHD wengine maofisa wakubwa nao waadhibiwe kama waalimu wao?" Mbona tunaangalia upande hasi pekee kwa nini hatuangalii na upande chanya pia kisha tukayapima na kutoa hukumu stahiki? Kuna watu walijiendeleza, wakafaulu mitihani, wakabobea katika fani zao, lakini kwa sababu ya jina tu wakapoteza haki zao bila kuangalia mazuri waliyoyafanya. Hiyo ni haki kweli?? Jamani angalieni na upande wa pili, msiwaumize kwa kuwa tu nyie mnadhani mko salama katika nafasi zenu. Maisha ni safari ndefu.
Wakati wanaghushi vyeti hawakujua kuwa ni kosa kisheria. Unapoleta huruma zisizo na msingi katika vitu sensitive kama elimu unakosea sana mkuu.Swali langu daima limekuwa hili "Je wale wote waliofundishwa na wanaodaiwa kuwa na vyeti feki wakafaulu mitihani na wengine wana PHD wengine maofisa wakubwa nao waadhibiwe kama waalimu wao?" Mbona tunaangalia upande hasi pekee kwa nini hatuangalii na upande chanya pia kisha tukayapima na kutoa hukumu stahiki? Kuna watu walijiendeleza, wakafaulu mitihani, wakabobea katika fani zao, lakini kwa sababu ya jina tu wakapoteza haki zao bila kuangalia mazuri waliyoyafanya. Hiyo ni haki kweli?? Jamani angalieni na upande wa pili, msiwaumize kwa kuwa tu nyie mnadhani mko salama katika nafasi zenu. Maisha ni safari ndefu.
Tuliza hasira mkuu.Wewe ndiye wa hovyo!
Hujui hata unachopigia kelele!
Una roho ya korosho ya dhuluma.
Watalipwa na hilo halina ubishi sasa sijui wewe linakuuma nini.Sasa ni dhahiri kwamba Wale walioondolewa kwenye ajira ya serikali kwa kile kilichoitwa vyeti vyao vya masomo ya sekondari ni feki , hawatolipwa chochote , hata ile michango yao tuliyoambiwa majuzi kwamba watalipwa ni hakika imeota mbawa .
Sitaki kurudia kulisema jambo hili kwa undani wake wote , maana linaeleweka na kila mtu .
Bali swali langu ni hili , Aliyewadanganya Wahanga hawa kwamba watalipwa michango yao , huku akijua kwamba SERIKALI HAINA PESA WALA HAINA NIA YA KUWALIPA ni nani ? Ni Mh Rais Dkt Samia ambaye alisikika akitamka hadharani kwamba walipwe kuanzia Novembba mosi , Ni Waziri wa Utumishi au ni CCM chama ambacho nguzo yake kuu ni Uongo ?
Lengo la kuwadanganya wahanga hawa walioridhika na dhuluma waliyofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 na kuamua kumuachia Mungu lilikuwa nini hasa ?
matapeli waliopewa ajira na maccm ambayo ni majiz ya kuraHao sio wahanga hao ni wezi na matapeli
anaiponya kwenye mrengo upi walisemaHaa mama ndo alikuwa anawadanganya na CDM wakadai kuwa mama anaiponya nchi
Wakati ukishabikia, wenye akili tulikuonya ila kutokana na kibri chako cha uandishi wa habari na uchadema wako mbuzi, ukatuona juhaSasa ni dhahiri kwamba Wale walioondolewa kwenye ajira ya serikali kwa kile kilichoitwa vyeti vyao vya masomo ya sekondari ni feki , hawatolipwa chochote , hata ile michango yao tuliyoambiwa majuzi kwamba watalipwa ni hakika imeota mbawa .