High moral value ni kumuua Ben Saa8, kumpiga TAL risasi na ufisadi wa T1.5??! Au ni kukataa utaalamu wa Kisayansi kuhusu kuidhibiti corona? Kwako Wewe moral value ambayo ni very high, ni kuwaita wenzetu wa Magharibi ambao wametusaidia mengi, Mabeberu? Very high moral value ni kuunda task force ya kunyang’anya wafanyabiashara pesa zao kwa kisingizio cha kodi, na kuziweka kwenye akaunti binafsi?! Au moral value ni kununua upinzani? Ni kubaka na kuchafua uchaguzi?!
You have no morals nor any values, unafanana na jiwe Mtu unaloliabudu!