Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Rais Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kuhusu mtoto mwenye ulemavu wa mguu kufanyiwa mchakato wa kupewa mguu wa bandia kwa gharama ya Ofisi ya Rais.
Ametoa maelekezo hayo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, Mariam Chaurembo wakati aliposimama kuzungumza na Wananchi wa Momba, Wilaya ya Tunduma.