Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Ukitaka kujua rais wa Zanzibar si kitu nenda kwenye katiba uone ni watu gani wanaweza kushika madaraka iwapo rais wa muungano hayupo madarakani, hakuna sehemu waliyomtaja rais wa Zanzibar
 
Tatizo lenu mnalaumu matawi mnaacha shina cccm

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Karume alitaka nchi iwe moja, Nyerere alikataa kwani hakutaka.kuona Zanzibar inapoteza asili yake. Pia alitaka kizazi cha nne cha muungano baada ya kuona faida za muungano waje kudai kuwepo nq serikali moja. Kwa bahati mbaya maono yake yamekuwa tofauti kwani wanasiasa wamekuwa wanatumia muungano kama turufu ya kisiasa kwani Zanzibar ni sehemu yenye eneo dogo na pia limekuwa likimezwa na bahari kwa hiyo ilitegemewa kitendo cha wazanzibar kupata fursa ya kujenga, kulima na kufanya biashara lakini wazanzibar ndio walalamishi wakubwa.
 
Huwezi mtumbua Makamu wa Rais, hata jaji mkuu huwezi mtumbua.. Hata Spika
 
Tukiza matakle
 
Mshamba wewe
 
Mama anajisahau mapema mno ni vyema Bunge kumkemea kabla hajakemewa . Huu ni muendelezo wa Zanzibar Kwanza
 
Siyo jeshi hilo. Hao kmk
 
Ndani ya Zanzibar
 

Kiprotokali, Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ni mkubwa kuliko waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

Ila ni kweli makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ni mkubwa kuliko Rais wa Zanzibar, ila kimajukumu Rais wa Zanzibar ana majukumu makubwa zaidi kuliko makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
Wewe nawe ni zero brain. Mmoja anaitwa Rais na mwingine makamu wa rais bado huoni tofauti?
Makamu wa rais analinganishwa na makamu mwenzake.
Acha bangi..., kukimbilia kujibu tu bila hata kuwa na mantiki, eti majina...? Kwa Tanzania Makamu wa TANZANIA ni mkuu kiprotokali kuliko Rais wa Zanzibar
 
Umeeleza vizuri sana, hawa washabiki hawaelewi, kazi kupiga domo tu,

Muungano umekuwepo kwa sababu ambazo zipo wazi, haukujitokea tu, ndio maana tunaambiwa Muungano wetu ni wa kipekee duniani,kuna sababu nyingi na za maana kwa nini Muungano huu uliundwa,

Walipohitokeza wale wabunge 55 walioitaka Tanganyika Nyerere aliwambia kitu kimoja tu,HIYO SIO SERA YA CCM,kama wanataka serikali tatu watoke CCM waanzishe chama chao chenye sera ya serikali tatu, halafu warnde kuuza hiyo sera kwa wananchi, Kama watakubalika basi watashinda na hiyo sera yao ndio serkali itaifuata,
Mbona waliufyata mpaka leo kimya.

hivi huko Zanzibar si kuna vyama vya upinzani mbona hatuoni kunadi sera ya serkali moja au tatu na wananchi waiunge mkono, sini rahisi tu,

maana kikundi cha wabwabwaji wachache wanataka kuaminisha kuwa wananchi wote wapo nyuma yao
 
Tatizo kubwa ccm wanachukua wanachama ambao hata sera za chama hawazijui mfano polepole anasema ni muumini wa serikali tatu kiukweli hakutakiwa kuwa kiongozi wa ccm
 
in common sense it's very confusing.

Kuna shida mahali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…