Peasant educator
JF-Expert Member
- Mar 13, 2020
- 209
- 187
Aliongea lini hiko kitu. Ivi unajua kilichosababisha kifo cha karume kwanza? Karume alifika mda akawa anaongelea kuhusu kuvunja muungano hadharani kabisa ww jnaongea nn ???Karume alitaka nchi iwe moja, Nyerere alikataa kwani hakutaka.kuona Zanzibar inapoteza asili yake. Pia alitaka kizazi cha nne cha muungano baada ya kuona faida za muungano waje kudai kuwepo nq serikali moja. Kwa bahati mbaya maono yake yamekuwa tofauti kwani wanasiasa wamekuwa wanatumia muungano kama turufu ya kisiasa kwani Zanzibar ni sehemu yenye eneo dogo na pia limekuwa likimezwa na bahari kwa hiyo ilitegemewa kitendo cha wazanzibar kupata fursa ya kujenga, kulima na kufanya biashara lakini wazanzibar ndio walalamishi wakubwa.
Hivi Rais wa JMT akienda Zanzibar nani anakuwa mkubwa kati ya Rais wa Zanzibar na wa JMT?Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!
Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.
Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.
Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.
Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.
Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.
Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu
Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.
Mama umekua Rais kwa muujibu wa katiba bila katiba usingepata Urais wa dezo Tafadhali heshimu katiba.
Rais wa Zanzibar kiprotoko ni mdogo kuliko hata Waziri Mkuu.
Siku ya mashindano ya kusoma Quran eti Rais wa Zanzibar anaondoka uwanjani kabla ya Waziri Mkuu. Ndani ya eneo la Tanganyika Rais wa Zanzibar hana nguvu ni km mm tu.
Mama acha uzanzibar tunajua nyie wapemba wabaguzi sana.
Kipindi flani walikuzushia unataka Rais unataka kugombea Urais Zanzibar ulikataa ukasema Urais Zanzibar ni mdogo kuliko cheo chako cha Makamu Rais naona leo umesahau..! Maliza miaka 4 iloyobaki tuachie Nchi yetu.
Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Tuna wabara wengi Tu kwenye kaZi za public ZanzibarNimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.

Hapana. Wewe na yeye mpate hii elimu. Msitafute logic zenu. Toka mwaka 1992 utaratibu ni Rais wa Jamhuri, Makamu wa Rais wa Jamhuri, Rais wa Zbar, Waziri Mkuu, Makamu wa 1wa Rais Zbar, Makamu wa 2 wa Rais Zbar, in that order. Hii order ndiyo muhimu. Rais wastaafu wanafuata hapo kama wapo, au kabla ya wale makamu wa Zbar kwa heshima tu maana hawana vyeo serikalini. Kisha Spika na Jaji Mkuu. Hawa wa vyombo vya usalama ni uoga tu ndio unawafanya kutajwa; si lazima! Kwa kujipendekeza kama vile ni kampeni za uchaguzi utaona hata mtendaji wa kata anatajwa, na kila anayehutubia anataja hiyo orodha ndefu. Kwingine wasio na woga wanataja watu wawili watatu halafu wanalonga!Muulize mbunge wako uliyemchagua hayo maswali. na kwa Maneno ya Kiswahili Raisi ni Mkubwa kuliko makamo wa raisi hata ukubadilisha kwa lugha za kigeni, hata kwenye hafla za kimataifa ndio utaratibu
Rais wa JmT,Wewe nawe ni zero brain. Mmoja anaitwa Rais na mwingine makamu wa rais bado huoni tofauti?
Makamu wa rais analinganishwa na makamu mwenzake.
Mhhh wewe naweKwani sheria ya protokali kama ipo inasemaje?
Anavyotaka raisi kupanga protokali yake ndiyo hivyohivyo, Yeye ndo ana maamuzi ya mwisho ya protokali nzima ya utendaji mambo ya serikali yake!
Akiamua kuanza kumsalimia Katibu kata kabla ya waziri mkuu hakuna wa kumpangia, yeye ndo mwenye protokali yake!
Wazanzibar ni kitu kimoja na lao ni moja.Damu nzito kuliko maji
Kwa hiyo imemalizwa ?Nafikiri hii isue sio kubwa kihivyo. Inamalizika kirahisi tusikuze sana mambo. After all, katiba ni katiba. Lazima iheshimiwe. Bila katiba hata Mama asingesimama alipo. Kwahiyo anaiheshimu sana.
Tumsaidie Mama yetu aongoze nchi vizuri. Tumshauri kwa staha. Tumpe nafasi ya kuongoza kama alivyojaariwa na Mwenyezi Mungu
Si mlikimbia bunge la katiba ?Kikubwa ni katiba mpya ndo tutaacha kujicontradict. Wapinzani walipokuwa wakidai katiba mpya wakati ww uongozi wa jiwe mlikuwa mkiwa tukana,sasa hivi ndo mnaanza kulaumu.
Acha ujinga,kasome katiba,rais wa zanzibar ni mjumbe wa baraza la mawaziriMuulize mbunge wako uliyemchagua hayo maswali. na kwa Maneno ya Kiswahili Raisi ni Mkubwa kuliko makamo wa raisi hata ukubadilisha kwa lugha za kigeni, hata kwenye hafla za kimataifa ndio utaratibu
SWAUMU KALI AU K VANTNimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!
Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.
Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.
Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.
Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.
Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.
Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu
Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.
Mama umekua Rais kwa muujibu wa katiba bila katiba usingepata Urais wa dezo Tafadhali heshimu katiba.
Rais wa Zanzibar kiprotoko ni mdogo kuliko hata Waziri Mkuu.
Siku ya mashindano ya kusoma Quran eti Rais wa Zanzibar anaondoka uwanjani kabla ya Waziri Mkuu. Ndani ya eneo la Tanganyika Rais wa Zanzibar hana nguvu ni km mm tu.
Mama acha uzanzibar tunajua nyie wapemba wabaguzi sana.
Kipindi flani walikuzushia unataka Rais unataka kugombea Urais Zanzibar ulikataa ukasema Urais Zanzibar ni mdogo kuliko cheo chako cha Makamu Rais naona leo umesahau..! Maliza miaka 4 iloyobaki tuachie Nchi yetu.
Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nenda kawaulize km wao ni wenzetu