Peasant educator
JF-Expert Member
- Mar 13, 2020
- 209
- 187
Tusibishe vitu wakati huna facts!! Ukiongea na mtu aliusoma muungano akakuelewesha historia ya tanganyika na zanzibar kama huna facts nenda maktaba kasome alaf uje hapa na facts ndo ubishe. Siku izi hatubishi bila facts wala kwa kuhemka. Zanzibar in nguvu kiuchumi na ina maendeleo mengi kuliko bara na dola yake ilikuwa kubwa na unkweli angalia architecture ya ikulu ya dar es Salaam na zanzibar utaona naongea nn. Lakini pia unajua maana ya Dar Es Salaam? Jina hilo limetoka wapi aya asili take ni ipi? Na aliyejenga ikulu ya dar ni nani? Fatilia hivi vitu kwanza alaf tuje tubishane.