Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Nilidhani rais wa Zanzibar ana hadhi Kama ya mkuu wa mkoa wa Mbeya.
Mkuu wa mkoa wa Dar anatawala watu wengi kuliko rais wa Zanzibar.
Kumbe kajamaa kana wsdhifa mkubwa kuliko Mpango?
 
Hii ni km Ile ya kuhamishia Ikulu kule Chattle. Tanzania tulikuwa na Ikulu 3.
 

Hayo hayana tuja kwetu sisi wananchi.

Tunamtaka mama yetu mpendwa atuletee maendeleo sio mambo ya Protocal ambaya hata kikatiba hayapo.
Kwa Mujibu wa katiba ,Zanzibar ni nchi.
Na yule ni Rais na ana makamu wake wa Rais.
Makamu wa Rais ni msaidizi tu wa Rais ndio maana hana Teuzi.

Rais wa Zanzibar ni Rais Kamili ndio maana anaendelea kupangua na kuinyoosha Zanzibar kama Rais.

Kama unabisha kuwa yule ni Rais basi nenda pale kwenye Ikulu yake umuite mjumbe!

Kwanza ukumbuke kuwa nkataba wa Muungano unampa Rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa Rais. Ni uhuni huni tu na woga wa CCM ulioondoa hadhi kubwa ya Rais wa Zanzibar baada ya kuja kwa mfumo wa vyama vingi. Enzi za Karume Nyerere mwenyewe alikua anakaa.
Usicheze na Nchi kongwe yenye Karne nyingi kama Zanzibar.

Mwinyi ni Mzalendo wa kweli.
Samia ni Mzalendo wa kweli.
Wale wapiga propaganda ni wazalendo wabinafsi wanaojipendelea kikanda. Sasa woga umewajia mana mwizi siku zote ana hofu na hana imani na mtu.

Mama chapa kazi ikiwemo kuwasukuma ndani wale wasiota kwenda na mziki wako.
Ngoa viziki vyote vilivyoachwa na wazalendo feki vitakusumbua wakati wa ujenzi wa nchi.
 
Acha dharau !
Eti kama sio katiba Mama asingekua Rais !!

Hivi mnapoambiwa kuwa Demokrasia ni muhimu mnafikiri ni jambo la kuchezea tu.

Hivi kama sio Katina Sabaya angekua anaga watu kwa sababu tu amechaguliwa na mwenyekiti wa CCM?
Hivi huoni kuwa bila katiba nchi yoyote inaongozwa kijeshi!

Unafukiri pangekua hakuna katiba halafu yakatokea yaliyotokea ,bashiru na Polepole wangeweza kuitisha kikao cha chama?
Wangekua wako kizuizini na Jeshi lingeshika hatamu.
Mawaziri wote weka kizuizini na jeshi linashika nchi.

Kwa hiyo kumsumanga Mama yetu hatutaki kabisa. Mama Samia ameliletea taifa letu jeshima Kubwa sana.
Hayo mambo yenu mliyokua mmeyapanga yamefeli . Uovu wenu Mungu hajakubaliana nao.
Mungu amemchagua Mama Samia kuwa mkuu wa nchi. Alijishusha na Mungu amemuinua .
Nyie mliojikweza kwa uwezo na nguvu za Mwanadamu mlisahau kuwa binadamu ni mavumbi tu.

Mama yetu mama Samia aheshimiwe na katiba iheshimiwe. Tutampigania bila ajizi.
 
Mama sio mpemba,hatufuati umwzaluqa mkoa upi,bali baba yako ni kabila gani,mama baba yake ni mmakunduchi
 
Umeandika pumba tupu tena kurasa nyingi sana kwa kujibu paragraph yenye sentensi zisizozidi tatu. Zanzibar yote pamoja na Pemba zote kwa pamoja sawa na visiswa vya Ukara, Ukerewe, Kome, Maisome na Lubondo mkoani Mwanza. Sumu ya ubaguzi ndiyo inayokusumbua, na huko zanzibar ubaguzi umeshamiri sana.
 
 
Mkataba wa Muungano (kama upo) ulisainiwa na Nyerere na Karume. Haukusainiwa na Nyerere na Kawawa. Rais wa Zanzibar atabakia kuwa mkubwa tu naturally mbele ya Makamo wa Rais wa JMT. Kuepuka huu mtafaruki, kuwe na serikali 3!
 
Rais akiwa mgonjwa au akifariki Line of succession iko ivi
-Vice President
-Prime Minister
Katiba imekuwa revised 2015 na kuwatoa hao wakuu wa mihimili mingine kuhold iyo position when The post became vacant
 
Hapo kwenye ununuzi wa viwanja umedanganya mzee...usiseme usilolijua

Binafsi mwenye nyumba wangu ni Mkinga na juz kanunua viwanja vingine viwili na ana mwaka wa tano yupo zenj
 
Wakati mwingine sio lazima kila kitu ucoment,kama hujui chochote juu ya mada inayojadiliwa,ni vzr ukakaa kimya,kwanza kikatiba hakuna rais wa zanzibar,ila kuna mwenyekiti wa baraza la mapinduzi zanzibar,
Katiba ipi hamna raisi wa Zanzibar na wewe sasa mbona hujui vilevile hajah
 
Mkoa utabaki kuwa mkoa tu hata iweje. Zaidi, Zanzibar ni semi-autonomous, ila Tanzania bara imejichimbia kwenye autonomy ya union.
 
PEASANT!
 
Tuliambiwa kuna watu wa aina fulani sijui ipi wakipata basi kuna kitu hulia mbwata! Kwa kutambua population dynamics siasa za namna hii hazisaidii kwa vile zinaanza kuangalia kinguzi huyo katoka wapi; yaani karne ya ishirini na moja tunaaza kupanda mabasi haya tena?
 
Mnatia hasira tatizo, nimespend all day nawaelimisha kuhusu jambo hilo nyie mmeshika makam wa rais ni mkubwa kuliko rais wa nchi. Nani mbaguzi??? Protocol my ass!!!
 
Who started this? Sasaivi sio mda wa kutuonea tena. We can fight back hatuko 80s tena watu wanafikia kuua rais ikulu alaf kitu hakiongelewi!!! Sio haki so you PEASANTS mnaolazimisha protocol over haki ni tuwaite nani. PEASANTS!! Leo watu wanacomplain raisi kueka sawa, yani haiwezekani rais awe chini ya makam hata siku moja kisa ukubwa wa eneo lake. Kwani mini maana ya nchi yani ni civic 1.0 lkn bado mnakuwa wabishi nyie mue right kisa. PHEASANTS!!! KITAELEWEKA MWAKA HUU PEASANTS!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…