Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Nilidhani rais wa Zanzibar ana hadhi Kama ya mkuu wa mkoa wa Mbeya.
Mkuu wa mkoa wa Dar anatawala watu wengi kuliko rais wa Zanzibar.
Kumbe kajamaa kana wsdhifa mkubwa kuliko Mpango?
 
Hii ni km Ile ya kuhamishia Ikulu kule Chattle. Tanzania tulikuwa na Ikulu 3.
 
Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.

Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!

Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.

Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.

Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.

Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.

Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.

Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu

Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.

Mama umekua Rais kwa muujibu wa katiba bila katiba usingepata Urais wa dezo Tafadhali heshimu katiba.

Rais wa Zanzibar kiprotoko ni mdogo kuliko hata Waziri Mkuu.
Siku ya mashindano ya kusoma Quran eti Rais wa Zanzibar anaondoka uwanjani kabla ya Waziri Mkuu. Ndani ya eneo la Tanganyika Rais wa Zanzibar hana nguvu ni km mm tu.
Mama acha uzanzibar tunajua nyie wapemba wabaguzi sana.

Kipindi flani walikuzushia unataka Rais unataka kugombea Urais Zanzibar ulikataa ukasema Urais Zanzibar ni mdogo kuliko cheo chako cha Makamu Rais naona leo umesahau..! Maliza miaka 4 iloyobaki tuachie Nchi yetu.

Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.

Hayo hayana tuja kwetu sisi wananchi.

Tunamtaka mama yetu mpendwa atuletee maendeleo sio mambo ya Protocal ambaya hata kikatiba hayapo.
Kwa Mujibu wa katiba ,Zanzibar ni nchi.
Na yule ni Rais na ana makamu wake wa Rais.
Makamu wa Rais ni msaidizi tu wa Rais ndio maana hana Teuzi.

Rais wa Zanzibar ni Rais Kamili ndio maana anaendelea kupangua na kuinyoosha Zanzibar kama Rais.

Kama unabisha kuwa yule ni Rais basi nenda pale kwenye Ikulu yake umuite mjumbe!

Kwanza ukumbuke kuwa nkataba wa Muungano unampa Rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa Rais. Ni uhuni huni tu na woga wa CCM ulioondoa hadhi kubwa ya Rais wa Zanzibar baada ya kuja kwa mfumo wa vyama vingi. Enzi za Karume Nyerere mwenyewe alikua anakaa.
Usicheze na Nchi kongwe yenye Karne nyingi kama Zanzibar.

Mwinyi ni Mzalendo wa kweli.
Samia ni Mzalendo wa kweli.
Wale wapiga propaganda ni wazalendo wabinafsi wanaojipendelea kikanda. Sasa woga umewajia mana mwizi siku zote ana hofu na hana imani na mtu.

Mama chapa kazi ikiwemo kuwasukuma ndani wale wasiota kwenda na mziki wako.
Ngoa viziki vyote vilivyoachwa na wazalendo feki vitakusumbua wakati wa ujenzi wa nchi.
 
Acha dharau !
Eti kama sio katiba Mama asingekua Rais !!

Hivi mnapoambiwa kuwa Demokrasia ni muhimu mnafikiri ni jambo la kuchezea tu.

Hivi kama sio Katina Sabaya angekua anaga watu kwa sababu tu amechaguliwa na mwenyekiti wa CCM?
Hivi huoni kuwa bila katiba nchi yoyote inaongozwa kijeshi!

Unafukiri pangekua hakuna katiba halafu yakatokea yaliyotokea ,bashiru na Polepole wangeweza kuitisha kikao cha chama?
Wangekua wako kizuizini na Jeshi lingeshika hatamu.
Mawaziri wote weka kizuizini na jeshi linashika nchi.

Kwa hiyo kumsumanga Mama yetu hatutaki kabisa. Mama Samia ameliletea taifa letu jeshima Kubwa sana.
Hayo mambo yenu mliyokua mmeyapanga yamefeli . Uovu wenu Mungu hajakubaliana nao.
Mungu amemchagua Mama Samia kuwa mkuu wa nchi. Alijishusha na Mungu amemuinua .
Nyie mliojikweza kwa uwezo na nguvu za Mwanadamu mlisahau kuwa binadamu ni mavumbi tu.

Mama yetu mama Samia aheshimiwe na katiba iheshimiwe. Tutampigania bila ajizi.
 
Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.

Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!

Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.

Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.

Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.

Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.

Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.

Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu

Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.

Mama umekua Rais kwa muujibu wa katiba bila katiba usingepata Urais wa dezo Tafadhali heshimu katiba.

Rais wa Zanzibar kiprotoko ni mdogo kuliko hata Waziri Mkuu.
Siku ya mashindano ya kusoma Quran eti Rais wa Zanzibar anaondoka uwanjani kabla ya Waziri Mkuu. Ndani ya eneo la Tanganyika Rais wa Zanzibar hana nguvu ni km mm tu.
Mama acha uzanzibar tunajua nyie wapemba wabaguzi sana.

Kipindi flani walikuzushia unataka Rais unataka kugombea Urais Zanzibar ulikataa ukasema Urais Zanzibar ni mdogo kuliko cheo chako cha Makamu Rais naona leo umesahau..! Maliza miaka 4 iloyobaki tuachie Nchi yetu.

Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Mama sio mpemba,hatufuati umwzaluqa mkoa upi,bali baba yako ni kabila gani,mama baba yake ni mmakunduchi
 
Uyu mwengine bado yupo na protocol yeye ata kama ina makosa? Haya kwahiyo kama kitu sio sawa twende nacho hivohivo mpaka umaiti utukute? Nyie vp ndugu zetu mbona waroho ivo mnatustaajabisha yani!!! Vunjeni huu muungano sisi wazanzibari hatuutaki ili muweke rasi msukukuma, makam mpare, waziri mkuu mhaya mawaziri wote mueke mandereko, wanyaturu, wala panya kule, wamasai, wamangati na wenginewo alaf muone kama zanzibar tutashindwa endelea au tutakufa na njaa kisa muungano umeivunjika. Let's us set the records clear muungano muda wake ulishaisha mda sana na ulitakiwa kuwa renewed na wazenji waligoma kufanya hivyo na ndo mana mkataba wa muungano hauwekwi bayana mana kaa sasa muungano huu sio halali. Na sisi wazenji we are ready kukaa chini na kuvunja kabisaaaaaaaaa huu muungano ili mkija kwetu mje na passport na sisi vile vile tuje na passport. Mana kikubwa tunachofaidika nacho kutoka kwenye huu muungano ni uwepo na wamachinga tu mijini kwetu na kutupigia kelele kwa kurandisha mavyombo na bidhaa mitaani basi na tumewachoka kila siku kushuka boti mnaacha kulima kwenu na mieka yenu mingimingi mnakuja znz kupiga debe na kutuchafuliwa miji yetu. Si mkae kwenu mlime sie tukae kwetu tule urojo tu huku na kuchanana marinda kwa bustarehe mana ndo mnavyo tutusi hivo mkikosa cha kuongea. Miili yetu sasa ndo starehe zetu izo mtuache kwa amani na marinda yetu , urojowetu, mafuta na gesi yetu, utalii wetu ,karafuu zetu, spices zetu na kanda ya bahari yetumnayo ing'ang'ania.

We are very contents without you wabongo, and we really dont need you and we can sustain life with out you na infact mnatubebesha zigo kubwa ilo la tanganyika amablo tumechoka kulibeba mana halina manufaa yoyote yale kazikutuekea vikwazo vya maendeleotuna kutunyanyasana kutaka kututawala. Mana nyie ndo mnakataa uwepo wa serekali 3. Kila mmoja awe na yake iyo ya muungano ikiwepo sawa isipokuwepo sawa mana haina faida yoyote kwetu na tumeichoka kwakweli na ndomana mmeeka mashekhe wetu, freedom fighter wetu rumande kwa kesi za uhaini ila evidence hamna kwasababu you are very selfish and very short & narrow minded people ambao mnahindwa kuendeleza sehemu zenu na kuleta tija kwa wananchi wenu. Eneo kubwa la kulima ila tija mbovu, yield mbovu uchumi mbovu na watu wenu maskini wa kutupwa mnabakia wote mnakimbilia dar es salaam badala ya kuendeleza mikoa yenu yote mnaona dar haitoshi na zenji mnaitaka kwa tamaa zenu wakati mna eneo hata kulimwa halija limwa. Yani you people are so selfish ata matajiri wenu wote ni wahindi na waarabu, farming estates ni zao, ranches ni zao, biashara ni zao mnabaki kulipwa 5000tsh per day km dayworker. Na huu ndo uhalisia wa mambo nyinyi wabongo madegree mingi, maPHD na maprofe. Wengi na mnajaza vitabu ila hamna kitu kichwani mnakuja kutawalwa na mtu mmoja annawapelekesha weeee mpaka anakufa hampewi taarifa sasaivi Maprof. Wenu wanapayuka na kudemka bungeni as if miaka 5 ilopita walikw wamelala. We dont need you guys naomba icho kitu kiwe clear na mleta mada ajue kuwa WE DONT FUCKING NEED YOU PEASANTS!!!

ila tukihitajiana na kuheshimiana tukashirkiana tuko pamoaj nanyi nduguzetu regardless ya tofauti za kidini.
Umeandika pumba tupu tena kurasa nyingi sana kwa kujibu paragraph yenye sentensi zisizozidi tatu. Zanzibar yote pamoja na Pemba zote kwa pamoja sawa na visiswa vya Ukara, Ukerewe, Kome, Maisome na Lubondo mkoani Mwanza. Sumu ya ubaguzi ndiyo inayokusumbua, na huko zanzibar ubaguzi umeshamiri sana.
 
Ivi utaratibu wa kununua ardhi kenya ukoje? Kama zanzibar ni nchi huru na ina watu wake kisheria, kwanini ww mbongo iwe rahisi kwenu kupata ardhi wakati ww sio raia wa zanzibar? Wazanzibari ni raia wa jamhuri ya muungano ya Tanzania? Jibu hayo maswali utamaliza utata mana huwezi mlinganisha VP wa JMT ambayo kwa mujibu wa katiba mbovu ya JMP inayomfanya awe puppet wa rais na rais wa nchi huru. Ukweli wabongo ni waroho wa madaraka that's why kukaa Meza moja na nyinyi unakuwa ngumu kuongea na kuelewana. Ma PHD mengi lkn hamna maana ata na hamjui kuyatumia kuwaletea maendeleo. Ata maana ya nchi hamujui Ola mna question uhalali wa zanzibar kuitwa nchi. For the record zanzibar ni nchi huru na sio kama mafia kuwa ww sio mzanzibar uingie na kumilik ardhi bila kufata taratibu. Semeni mnataka beach plot mnaekewa ngumu basi hamna jengine, kuwa raia zenji rahisi tia mimba wife aya hawara alaf mlete zenji kujifungua!huo ndo ujanja wazenji walitumia kuingia UK na US na sio kulazimisha zenji sio nchi wakati lesotho ni nchi ndani ya nchi na eneo lake, population ni ndogo zaidi ya unguja, let alone zanzibar. Unaofanyika ni ukoloni na tanganyika kutaka kuitawala zanzibar wakati ata tanganyika mnashindwa kuiendeleza mnataka eneo jengine kwasababu lina oil and gas potential ambayoiligundulika tokea wengine hatujazaliwa. Walokuwa hawaelewi waelewe hiyo ni baadhi ya sababukubwa ya tanganyika kulazimisha muungano haramu uloosha mda wake kwa mujibu wa mkataba. Yani mnaleta propanganda za meko na nyerere kujifanya wao wanajua kila kitu, yani mtu anaponda mradi wa bandariqa babagamoyo, Ola hawapi undani watz na kuleta mkataba hadharani au walau ata bungeni alaf anafelisha mradi na nyinyi mko kidedea kumsapoti wakati ata kilichoandikwa hamkijui. Anakufa apa chawa ndugai anaanza kudemka kuhus bagamoyo na kusema hrais kashauriwa vibaya. Swali kashauriwa na nani wakati yeye ndo mshauri na msimamizi wa serekali mkuu? Huu no upumbavu na uroho wa madaraka. Question your own issues kwanza ,yank mnakaq bungeni kudiscuss na kutetea legacy ya mpuuzi mekoalienunua ndege sio kihalali bila kufata taratibu za nchi,bila kuweka bayana kiasi haswa kilichotumika kununulia hiyo midege, akafanya ulaghai wa kupokea gawio for 5 consecutive years wakati shirika linakula hasara alaf mnakuwa kimyaa mnafurahia ujinga. Baasa ya kuongelea hizo ishu mnamquestion mama samia, who by the way mbobezi wa diplomacia na amesoma historia ya nchi yetu na anajua haswa manununguniko ya muungano how to navigate tena anaweka vitu bayana kwakiasi na kuficha na kujitwisha aibu za meko, mnaquestion intentions zake kweli kisa amemtanguliza rais wa nchi over a puppet VP ambae kupatikana Kwame kutokana na uroho wa madaraka ambayo alivuliwa wadhfa rasi wa zanzibar akapewa VP huyu puppet ambaye ata hajui kazi yake ni nini haswa kwenye serekali, yani kweli? Em ongeleeni kuhusu magu mana legacy lake ni changu na hakufa kama ilivotangazwa alaf mkalieni kooni mama samia asifiche report ya CAG ya BOT kwa mda wa miezi 3 na kipindi cha mtafaruku wa magu yukowapi tuone kama kuna panya hawatajiuzulu fasta ila bado mnaquestion vitu havina mana? Mwambieni ripoti isomwe mana tumechoka kiibiwa na sio kulinganisha rais wa nchi anaelindwa na mjeda nyuma na kakarogosi ambae hana kazi wala mamlaka kisheria na kikatiba? Au ndo katiba nayo hamjui inaongeleaje juu ya kazi za makam wa rais wa tz?
Haya jisomeeni majukumu ya VP kwa mujibu wa katiba yetu mbovu hii..

View attachment 1765239

View attachment 1765240

View attachment 1765241acha ubaguzi
 
Mkataba wa Muungano (kama upo) ulisainiwa na Nyerere na Karume. Haukusainiwa na Nyerere na Kawawa. Rais wa Zanzibar atabakia kuwa mkubwa tu naturally mbele ya Makamo wa Rais wa JMT. Kuepuka huu mtafaruki, kuwe na serikali 3!
 
Kasome katiba usiwe unasubiri kusimuliwa hata kiti kingekaa pembeni au chumbani kwa rais.
Hivi unafahamu ni kina nani wanateuliwa kukaimu nafasi ya rais endapo rai wa muungano ni mgonjwa au amepata matatizo, ukishajua utaelewa kwanini yule ni waziri kwa sababu hajatajwa kuna spika, jaji mkuu lakini yeye hayumo.
Mnataka katiba mpya wakati hii iliyopo hamuielewi.
Rais akiwa mgonjwa au akifariki Line of succession iko ivi
-Vice President
-Prime Minister
Katiba imekuwa revised 2015 na kuwatoa hao wakuu wa mihimili mingine kuhold iyo position when The post became vacant
 
Hapo kwenye ununuzi wa viwanja umedanganya mzee...usiseme usilolijua

Binafsi mwenye nyumba wangu ni Mkinga na juz kanunua viwanja vingine viwili na ana mwaka wa tano yupo zenj
 
Wakati mwingine sio lazima kila kitu ucoment,kama hujui chochote juu ya mada inayojadiliwa,ni vzr ukakaa kimya,kwanza kikatiba hakuna rais wa zanzibar,ila kuna mwenyekiti wa baraza la mapinduzi zanzibar,
Katiba ipi hamna raisi wa Zanzibar na wewe sasa mbona hujui vilevile hajah
 
Mkoa utabaki kuwa mkoa tu hata iweje. Zaidi, Zanzibar ni semi-autonomous, ila Tanzania bara imejichimbia kwenye autonomy ya union.
 
Umeandika pumba tupu tena kurasa nyingi sana kwa kujibu paragraph yenye sentensi zisizozidi tatu. Zanzibar yote pamoja na Pemba zote kwa pamoja sawa na visiswa vya Ukara, Ukerewe, Kome, Maisome na Lubondo mkoani Mwanza. Sumu ya ubaguzi ndiyo inayokusumbua, na huko zanzibar ubaguzi umeshamiri sana.
PEASANT!
 
Tuliambiwa kuna watu wa aina fulani sijui ipi wakipata basi kuna kitu hulia mbwata! Kwa kutambua population dynamics siasa za namna hii hazisaidii kwa vile zinaanza kuangalia kinguzi huyo katoka wapi; yaani karne ya ishirini na moja tunaaza kupanda mabasi haya tena?
 
Mnatia hasira tatizo, nimespend all day nawaelimisha kuhusu jambo hilo nyie mmeshika makam wa rais ni mkubwa kuliko rais wa nchi. Nani mbaguzi??? Protocol my ass!!!
 
Tuliambiwa kuna watu wa aina fulani sijui ipi wakipata basi kuna kitu hulia mbwata! Kwa kutambua population dynamics siasa za namna hii hazisaidii kwa vile zinaanza kuangalia kinguzi huyo katoka wapi; yaani karne ya ishirini na moja tunaaza kupanda mabasi haya tena?
Who started this? Sasaivi sio mda wa kutuonea tena. We can fight back hatuko 80s tena watu wanafikia kuua rais ikulu alaf kitu hakiongelewi!!! Sio haki so you PEASANTS mnaolazimisha protocol over haki ni tuwaite nani. PEASANTS!! Leo watu wanacomplain raisi kueka sawa, yani haiwezekani rais awe chini ya makam hata siku moja kisa ukubwa wa eneo lake. Kwani mini maana ya nchi yani ni civic 1.0 lkn bado mnakuwa wabishi nyie mue right kisa. PHEASANTS!!! KITAELEWEKA MWAKA HUU PEASANTS!!!
 
Back
Top Bottom