Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!
Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.
Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.
Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.
Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.
Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.
Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu
Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.
Mama umekua Rais kwa muujibu wa katiba bila katiba usingepata Urais wa dezo Tafadhali heshimu katiba.
Rais wa Zanzibar kiprotoko ni mdogo kuliko hata Waziri Mkuu.
Siku ya mashindano ya kusoma Quran eti Rais wa Zanzibar anaondoka uwanjani kabla ya Waziri Mkuu. Ndani ya eneo la Tanganyika Rais wa Zanzibar hana nguvu ni km mm tu.
Mama acha uzanzibar tunajua nyie wapemba wabaguzi sana.
Kipindi flani walikuzushia unataka Rais unataka kugombea Urais Zanzibar ulikataa ukasema Urais Zanzibar ni mdogo kuliko cheo chako cha Makamu Rais naona leo umesahau..! Maliza miaka 4 iloyobaki tuachie Nchi yetu.
Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Mama sio mpemba,hatufuati umwzaluqa mkoa upi,bali baba yako ni kabila gani,mama baba yake ni mmakunduchiNimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.

Umeandika pumba tupu tena kurasa nyingi sana kwa kujibu paragraph yenye sentensi zisizozidi tatu. Zanzibar yote pamoja na Pemba zote kwa pamoja sawa na visiswa vya Ukara, Ukerewe, Kome, Maisome na Lubondo mkoani Mwanza. Sumu ya ubaguzi ndiyo inayokusumbua, na huko zanzibar ubaguzi umeshamiri sana.Uyu mwengine bado yupo na protocol yeye ata kama ina makosa? Haya kwahiyo kama kitu sio sawa twende nacho hivohivo mpaka umaiti utukute? Nyie vp ndugu zetu mbona waroho ivo mnatustaajabisha yani!!! Vunjeni huu muungano sisi wazanzibari hatuutaki ili muweke rasi msukukuma, makam mpare, waziri mkuu mhaya mawaziri wote mueke mandereko, wanyaturu, wala panya kule, wamasai, wamangati na wenginewo alaf muone kama zanzibar tutashindwa endelea au tutakufa na njaa kisa muungano umeivunjika. Let's us set the records clear muungano muda wake ulishaisha mda sana na ulitakiwa kuwa renewed na wazenji waligoma kufanya hivyo na ndo mana mkataba wa muungano hauwekwi bayana mana kaa sasa muungano huu sio halali. Na sisi wazenji we are ready kukaa chini na kuvunja kabisaaaaaaaaa huu muungano ili mkija kwetu mje na passport na sisi vile vile tuje na passport. Mana kikubwa tunachofaidika nacho kutoka kwenye huu muungano ni uwepo na wamachinga tu mijini kwetu na kutupigia kelele kwa kurandisha mavyombo na bidhaa mitaani basi na tumewachoka kila siku kushuka boti mnaacha kulima kwenu na mieka yenu mingimingi mnakuja znz kupiga debe na kutuchafuliwa miji yetu. Si mkae kwenu mlime sie tukae kwetu tule urojo tu huku na kuchanana marinda kwa bustarehe mana ndo mnavyo tutusi hivo mkikosa cha kuongea. Miili yetu sasa ndo starehe zetu izo mtuache kwa amani na marinda yetu , urojowetu, mafuta na gesi yetu, utalii wetu ,karafuu zetu, spices zetu na kanda ya bahari yetumnayo ing'ang'ania.
We are very contents without you wabongo, and we really dont need you and we can sustain life with out you na infact mnatubebesha zigo kubwa ilo la tanganyika amablo tumechoka kulibeba mana halina manufaa yoyote yale kazikutuekea vikwazo vya maendeleotuna kutunyanyasana kutaka kututawala. Mana nyie ndo mnakataa uwepo wa serekali 3. Kila mmoja awe na yake iyo ya muungano ikiwepo sawa isipokuwepo sawa mana haina faida yoyote kwetu na tumeichoka kwakweli na ndomana mmeeka mashekhe wetu, freedom fighter wetu rumande kwa kesi za uhaini ila evidence hamna kwasababu you are very selfish and very short & narrow minded people ambao mnahindwa kuendeleza sehemu zenu na kuleta tija kwa wananchi wenu. Eneo kubwa la kulima ila tija mbovu, yield mbovu uchumi mbovu na watu wenu maskini wa kutupwa mnabakia wote mnakimbilia dar es salaam badala ya kuendeleza mikoa yenu yote mnaona dar haitoshi na zenji mnaitaka kwa tamaa zenu wakati mna eneo hata kulimwa halija limwa. Yani you people are so selfish ata matajiri wenu wote ni wahindi na waarabu, farming estates ni zao, ranches ni zao, biashara ni zao mnabaki kulipwa 5000tsh per day km dayworker. Na huu ndo uhalisia wa mambo nyinyi wabongo madegree mingi, maPHD na maprofe. Wengi na mnajaza vitabu ila hamna kitu kichwani mnakuja kutawalwa na mtu mmoja annawapelekesha weeee mpaka anakufa hampewi taarifa sasaivi Maprof. Wenu wanapayuka na kudemka bungeni as if miaka 5 ilopita walikw wamelala. We dont need you guys naomba icho kitu kiwe clear na mleta mada ajue kuwa WE DONT FUCKING NEED YOU PEASANTS!!!
ila tukihitajiana na kuheshimiana tukashirkiana tuko pamoaj nanyi nduguzetu regardless ya tofauti za kidini.
Ivi utaratibu wa kununua ardhi kenya ukoje? Kama zanzibar ni nchi huru na ina watu wake kisheria, kwanini ww mbongo iwe rahisi kwenu kupata ardhi wakati ww sio raia wa zanzibar? Wazanzibari ni raia wa jamhuri ya muungano ya Tanzania? Jibu hayo maswali utamaliza utata mana huwezi mlinganisha VP wa JMT ambayo kwa mujibu wa katiba mbovu ya JMP inayomfanya awe puppet wa rais na rais wa nchi huru. Ukweli wabongo ni waroho wa madaraka that's why kukaa Meza moja na nyinyi unakuwa ngumu kuongea na kuelewana. Ma PHD mengi lkn hamna maana ata na hamjui kuyatumia kuwaletea maendeleo. Ata maana ya nchi hamujui Ola mna question uhalali wa zanzibar kuitwa nchi. For the record zanzibar ni nchi huru na sio kama mafia kuwa ww sio mzanzibar uingie na kumilik ardhi bila kufata taratibu. Semeni mnataka beach plot mnaekewa ngumu basi hamna jengine, kuwa raia zenji rahisi tia mimba wife aya hawara alaf mlete zenji kujifungua!huo ndo ujanja wazenji walitumia kuingia UK na US na sio kulazimisha zenji sio nchi wakati lesotho ni nchi ndani ya nchi na eneo lake, population ni ndogo zaidi ya unguja, let alone zanzibar. Unaofanyika ni ukoloni na tanganyika kutaka kuitawala zanzibar wakati ata tanganyika mnashindwa kuiendeleza mnataka eneo jengine kwasababu lina oil and gas potential ambayoiligundulika tokea wengine hatujazaliwa. Walokuwa hawaelewi waelewe hiyo ni baadhi ya sababukubwa ya tanganyika kulazimisha muungano haramu uloosha mda wake kwa mujibu wa mkataba. Yani mnaleta propanganda za meko na nyerere kujifanya wao wanajua kila kitu, yani mtu anaponda mradi wa bandariqa babagamoyo, Ola hawapi undani watz na kuleta mkataba hadharani au walau ata bungeni alaf anafelisha mradi na nyinyi mko kidedea kumsapoti wakati ata kilichoandikwa hamkijui. Anakufa apa chawa ndugai anaanza kudemka kuhus bagamoyo na kusema hrais kashauriwa vibaya. Swali kashauriwa na nani wakati yeye ndo mshauri na msimamizi wa serekali mkuu? Huu no upumbavu na uroho wa madaraka. Question your own issues kwanza ,yank mnakaq bungeni kudiscuss na kutetea legacy ya mpuuzi mekoalienunua ndege sio kihalali bila kufata taratibu za nchi,bila kuweka bayana kiasi haswa kilichotumika kununulia hiyo midege, akafanya ulaghai wa kupokea gawio for 5 consecutive years wakati shirika linakula hasara alaf mnakuwa kimyaa mnafurahia ujinga. Baasa ya kuongelea hizo ishu mnamquestion mama samia, who by the way mbobezi wa diplomacia na amesoma historia ya nchi yetu na anajua haswa manununguniko ya muungano how to navigate tena anaweka vitu bayana kwakiasi na kuficha na kujitwisha aibu za meko, mnaquestion intentions zake kweli kisa amemtanguliza rais wa nchi over a puppet VP ambae kupatikana Kwame kutokana na uroho wa madaraka ambayo alivuliwa wadhfa rasi wa zanzibar akapewa VP huyu puppet ambaye ata hajui kazi yake ni nini haswa kwenye serekali, yani kweli? Em ongeleeni kuhusu magu mana legacy lake ni changu na hakufa kama ilivotangazwa alaf mkalieni kooni mama samia asifiche report ya CAG ya BOT kwa mda wa miezi 3 na kipindi cha mtafaruku wa magu yukowapi tuone kama kuna panya hawatajiuzulu fasta ila bado mnaquestion vitu havina mana? Mwambieni ripoti isomwe mana tumechoka kiibiwa na sio kulinganisha rais wa nchi anaelindwa na mjeda nyuma na kakarogosi ambae hana kazi wala mamlaka kisheria na kikatiba? Au ndo katiba nayo hamjui inaongeleaje juu ya kazi za makam wa rais wa tz?
Haya jisomeeni majukumu ya VP kwa mujibu wa katiba yetu mbovu hii..
View attachment 1765239
View attachment 1765240
View attachment 1765241acha ubaguzi
Alihamia Unguja alizaliwa PembaMama sio mpemba,hatufuati umwzaluqa mkoa upi,bali baba yako ni kabila gani,mama baba yake ni mmakunduchi
Rais akiwa mgonjwa au akifariki Line of succession iko iviKasome katiba usiwe unasubiri kusimuliwa hata kiti kingekaa pembeni au chumbani kwa rais.
Hivi unafahamu ni kina nani wanateuliwa kukaimu nafasi ya rais endapo rai wa muungano ni mgonjwa au amepata matatizo, ukishajua utaelewa kwanini yule ni waziri kwa sababu hajatajwa kuna spika, jaji mkuu lakini yeye hayumo.
Mnataka katiba mpya wakati hii iliyopo hamuielewi.
Katiba ipi hamna raisi wa Zanzibar na wewe sasa mbona hujui vilevile hajahWakati mwingine sio lazima kila kitu ucoment,kama hujui chochote juu ya mada inayojadiliwa,ni vzr ukakaa kimya,kwanza kikatiba hakuna rais wa zanzibar,ila kuna mwenyekiti wa baraza la mapinduzi zanzibar,
Kwani mpaka tuwaulize!Kabla ya kuendelea kulalamika kinafki, mmewahi kuwauliza kama wanautaka huu muungano??
PEASANT!Umeandika pumba tupu tena kurasa nyingi sana kwa kujibu paragraph yenye sentensi zisizozidi tatu. Zanzibar yote pamoja na Pemba zote kwa pamoja sawa na visiswa vya Ukara, Ukerewe, Kome, Maisome na Lubondo mkoani Mwanza. Sumu ya ubaguzi ndiyo inayokusumbua, na huko zanzibar ubaguzi umeshamiri sana.
Tuliambiwa kuna watu wa aina fulani sijui ipi wakipata basi kuna kitu hulia mbwata! Kwa kutambua population dynamics siasa za namna hii hazisaidii kwa vile zinaanza kuangalia kinguzi huyo katoka wapi; yaani karne ya ishirini na moja tunaaza kupanda mabasi haya tena?PEASANT!
Who started this? Sasaivi sio mda wa kutuonea tena. We can fight back hatuko 80s tena watu wanafikia kuua rais ikulu alaf kitu hakiongelewi!!! Sio haki so you PEASANTS mnaolazimisha protocol over haki ni tuwaite nani. PEASANTS!! Leo watu wanacomplain raisi kueka sawa, yani haiwezekani rais awe chini ya makam hata siku moja kisa ukubwa wa eneo lake. Kwani mini maana ya nchi yani ni civic 1.0 lkn bado mnakuwa wabishi nyie mue right kisa. PHEASANTS!!! KITAELEWEKA MWAKA HUU PEASANTS!!!Tuliambiwa kuna watu wa aina fulani sijui ipi wakipata basi kuna kitu hulia mbwata! Kwa kutambua population dynamics siasa za namna hii hazisaidii kwa vile zinaanza kuangalia kinguzi huyo katoka wapi; yaani karne ya ishirini na moja tunaaza kupanda mabasi haya tena?
PEASANTS!!!Mkoa utabaki kuwa mkoa tu hata iweje. Zaidi, Zanzibar ni semi-autonomous, ila Tanzania bara imejichimbia kwenye autonomy ya union.