Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

shosti kwani kuna sehemu nimelalamika au ndo marinda yanakuwasha?
 
Makamu wa rais, waziri mkuu hawana wajibu wwt watakaoweza kuufanya znz. Na raid wa znz hana wajibu wet kwa Serikali ya JMT.

Pale raid wa znz atakapotambulika kama gavana wa znz kama ilivyo marekani ndio atakuwa chini ya makamu
 
Kwenye isaue ya Muungano Mama hajakoaea ila kwenye iasues zingine sawa... Raisi wa Zanzibar ndio mhusika mkuu wa kwanza wawili ambao ni Raisi wa Tanganyika na Raisi wa Zanzibar ambapo kwa sasa Tanganyika haipo na wala haina Raisi so wahusika wawili wanaounganisha nchi ndio uwepo wao wa kwanza mwenza.. Makamu si lolote kwenye issue hiyo ya muungano
 
Bro usiseme hivi, Mungu asije akaingilia kati...
 
Mkuu hio mbona ishavunjwa Kitambo.. Toka miaka ya 90?
Ndio imeleta huu mtafaruku mpaka mleta mada analalamika. Na hatuishii hapo tu, mfumo wa muungano una flaws nyingi. Imagine leo hii kabudi anaongea vitu ambavyo mimi na ww km sio wafuatiliaji wa vitu hatuvijui. Yani historia ya nchi hatufundishi na tukifundishwa inapambwa sana ili tuone vitu viko perfect na ukweli ukisemwa km ulikw unamuheshimu nyerere utaacha sababu hata uchumi wa Tanzania kushuka miaka ya 70 na 80 ulichangiwa na uongozi mbovu wa nyerere uliopelekea kutuingiza kwenye vita vya kijinga vya Uganda lakni hii topic nyengine sasa. Tusi deviate na mada watz hawajui historria yao, yani kiutawala pwani yote ya tanganyika ilikw ni himaya ya zanzibar ila usisome vitabu ww peruzi porno alafu ita watu wajinga.
 
Usilolijua zanzibar ni nchi kule hata ukitaka fungua kampun wana system kampun sahau kabisa habar za TRA.TBS nk wana ZRA na ZBS nk

Ila kijesh bado wanategemea JWTZ

Ki utawala katika UN ni part ya tanzania so popote pale ukisikia Tanzania imealikwa UN jua zanzibar himo umo

Wana katiba yao wale japo ki protocol wapo chin ya tanzania

Na kwa kukudokeza tu Rais wa zanzibar hawez kutumbuliwa ila makamu wa rais anaweza kutumbuliwa kwa mantiki io tu Rais wa zanzibar ni mkubwa
 
Mkuu umenunua simu mpya nini, naona spelling error kibao. Au uko kwenye bodaboda?
 
Yaani unataka rais wa nchi inayounda muungano awe nyuma kiprotokali kwa Makamu wa Rais?

Mwishowe mtasema hata Majaliwa Kiprotokali ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar eti kwa kuwa ni waziri mkuu wa nchi nzima ya Tanzania
Baada ya Magufuli kufariki alieshika madaraka ya Urais wa Tanzania ni nani?!!ukilielewa hilo ndio utajua kiprotoko nani ni mkubwa!!
 
Manina,wasukuma mtatafuna magodoro safari hii, vipi kuhusu chato alivyokuwa anaipendelea yule mfu wenu!!!!?
 
Yaani unataka rais wa nchi inayounda muungano awe nyuma kiprotokali kwa Makamu wa Rais?

Mwishowe mtasema hata Majaliwa Kiprotokali ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar eti kwa kuwa ni waziri mkuu wa nchi nzima ya Tanzania
Mkuu kulingana na Muundo wa Nchi zetu huku upande wa Tanganyika hatuna Rais,na ukumbuke vitu viwili vikubwa katika Muungano wa Nchi kwa Nchi ni upande wa Fedha,Jeshi na Mwisho ni Siasa.
Hivyo tuna Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ni Makubwa kuliko Rais wa Zanzibar, Rais Samia anakosea sana tena sana.by the way matatizo haya yote ameyasababisha Nyerere na kutokana na viongozi walafi wapenda madaraka kuliko Nchi hawataki kabisa kuyatatua.
 
Kwa mujibu wa katiba ya sasa rais samia anaweza tenda kama meko nyie endeleeni kumpima joto tu. Akiturudisha kule ndo mtaelewa kwa nn katiba mpya ni muhimu kwa taifa letu. Rais wa nchi anatakiwa asimamiwe na chama ila flaw ya katiba ni kw anaweza kuwa juu ya chama chake kitu kinachomfanya ata mijadala ya bunge anaamua yy iende vp. Hawa wabunge wanaompima joto ni kwamba kwa mujibu wa katibu anaweza wavua ubunge kwa kuwafukuza chama tu na anaweza pale atakapopewa uenyekiti wa chama na ndohapo tutakapomkumbuka JPM SAS. Endeleeni kupima joto na yeye aanze kujihami wasiojulikana warudi ndo kitaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…