Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Muulize mbunge wako uliyemchagua hayo maswali. na kwa Maneno ya Kiswahili Raisi ni Mkubwa kuliko makamo wa raisi hata ukubadilisha kwa lugha za kigeni, hata kwenye hafla za kimataifa ndio utaratibu
Huna akili tuliza takle
 
Hujaelewa ndugu, kunatakiwa kuwe na serekali moja ya JMT, na kila mkoa uwe na governor yani kwa upande wa znz kuweka governor wawili mmoja unguja na mwengine pemba. Hivyohivyo na bara mikoa yote iwe na magovernor ili maendeleo yawe jumuishi na sio baadhi ya mikoa inaachwa nyuma. Nadhani nitakuwa nimerekebisha kauli.



Hizo ndo kero za muungano ndugu yangu. Nilikuwa nishazaliwa na siyo hiyo tu ata zanzibar kujiunga FIFA tuliekewa ngumu
Umekubali kwamba Rais kachanganya madawa?
 
Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.

Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!

Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.

Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.

Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.

Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.

Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.

Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu

Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.

Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Zanzibar ni inchi ambayo ina katiba yake na wimbo pia
 
Rais Samia
Rais Mwinyi
Makamu wa Rais Mpango
Makamu wa kwanza wa Rais
Makamu wa Pili wa Rais
Jaji Mkuu to
Jaji mkuu zanzibar
Spika wa bunge to
Spika wa balaza la Mapinduzi
Manaibu Spika
Viongozi wa ulinzi na Usalama
Viongozi wa dini
Mabalozi
Wakuu wa mashirika
Itifaki imezingatiwa
PM je
 
Rais Samia
Rais Mwinyi
Makamu wa Rais Mpango
Makamu wa kwanza wa Rais
Makamu wa Pili wa Rais
Jaji Mkuu to
Jaji mkuu zanzibar
Spika wa bunge to
Spika wa balaza la Mapinduzi
Manaibu Spika
Viongozi wa ulinzi na Usalama
Viongozi wa dini
Mabalozi
Wakuu wa mashirika
Itifaki imezingatiwa
Safi
 
Mama ana taka kumfa ya rais wa zenji kama msaidizi wake
 
... nilishangaa sana kilichowapeleka rais na makamu wa rais Znz Bungeni Dodoma wakati wa hotuba ya Madam President!

Zanzibar katika Bunge la Jamhuri ya Muungano unaishangaa, mimi nashangaa kwanini Bunge la Muungano lijivishe joho la Bunge la Tanganyika.

Ingependeza Bunge la Muungano liwe linafanya vikao kwa zamu kikao cha 11 Dodoma, Kikao cha 12 Zanzibar yaani kupokezana ili sehemu hizi za muungano kufaidi pesa za hoteli, nyama choma,bia , utalii nk badala ya choyo ya Tanganyika kungangania vikao vyote vya Bunge hili la muungano kufanyika Tanganyika tu.
 
Hivi nani huwa anawapotosha kuwa mbara huruhusiwi kununua uwanja Zanzibar?

Taarifa umesema pesa za sherehe ya muungano zigawanywe haijasema zigawanywe Kwa uwiano gani.

Hata ikiwa nusu Kwa nusu sawa tu maana muungano ni wa nchi mbili zilizokuwa na hadhi Sawa.
Mm nilitaka kununua nikashindwa
 
Kimuungano Mwinyi ni namba tatu.
Rais Jmhr no 1.
Makamu wa Rais no 2.
Rais Zanzibar no 3.
Spika no 4.
Jaji mkuu no 5.
Jaji mkuu Zanz no 6
Waziri mkuu no 7.
Makamu wa 1 zanzibar no 8
Makamu wa 2 zanzibar no 9
Naibu spika Tz no 10
Spika baraza la mapinduz no 11
Katibu mkuu kiongoz bara 12.
Katibu mkuu kiongoz zanz 13

Ila tukiwa huku Tz
Rais no 1
Makamu no 2
Spika no 3
Jaji mkuu no 4
Wazir mkuu no 5
Katibu mkuu kiongoz no 6

Marekebisho nipo tayari.
Kusema kweli mama anaona Mwinyi ni Rais ni kama hivo kuna kujisahau tu atajirekebisha.
Si kweli...
 
Nilihoji kwanini Samia amteue Mwinyi kuwakilisha mkutano wa SADC wakati mwinyi anaingia kwenye serikali ya muungano kama waziri, pia tuna makamu wa rais, waziri mkuu na waziri wa mambo ya nje. Kwa kifupi asituletee uzanzibar wake atabaki one term president

Wakati wa sherehe za Mapinduzi Zanzibar rais wa SMZ huingia uwanja wa Amaani Unguja wa mwisho huku Rais JMT na Makamu wa rais JMT wakiwa tayari uwanjani.

Shughuli ikiisha rais wa serikali ya SMZ huondoka wa kwanza uwanjani akiwaacha rais wa Muungano na makamu wa rais wa JMT uwanjani.

Protokali hii ina maanisha rais wa SMZ ni mkubwa kuliko makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Nipo naye hapa, nimemueleza yote uliyoandika...anasema sawa atayatendea kazi...
 
Anatakiwa awe governor wa unguja na governor wa pemba, governor wa pwani (yani dar na pwani) na kuwepo magovernor kila mkoa wa tanzania na mamayor. Tatizo waasisi wa nchi walikuwa wezi wa madaraka. Walibadilisha mifumo baada ya independence ili raisi awe na mamlaka yote. Yani walikw waroho wa madaraka
Tatizo unaongea kiushabiki hujui chochote kuhusu nini ilikuwa lengo la Muungano huu na ni nini kimeufanya mpaka leo uwepo pamoja na mapungufu yake.

hayo unayozungumza wewe wenye akili zao walishayaona na kuyafanyia kazi, lakini sio kwa namna unavyoshabikia wewe, kwa sababu waliona hatari yake,

kikubwa waliutaka muungano lakini sio kwa Zanzibar kumezwa na Bara, ndio maana Zanzibar ikiachwa na uhuru wake kidogo,

unachokitaka wewe kwamba Zanzibar iwe kama mkoa tu, usizani kinakubalika huko Zanzibar,

ila kuna clip alizungumza vizuri sana Mwal Nyerere, nadhani ni kipindi anapangua hoja za lile group la 55 ambalo lilikuwa linadai serikali ya Tanganyika na wakaufyata mpaka leo.

mwenye ujuzi wa kutowekea hiyo clip anawaeza kuweka hapa
 
Back
Top Bottom