Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3516][emoji3516]Mmoja wa HAMNAZO!!!yaaani uzi mreeeefu hivyo pumba tupu hana uwezo wa kuzuia mbona jpm alipozuia hamkufanya mikutano hiyo ndiyo maana ya kuwa anao uwezo wa kuzuia na usimfanye kitu chochote
Ukisikia ujinga wa kipaji ndio huo, alichokuwa akifanya Magufuli ni kuvunja katiba, na alitengeneza mazingira ya wengine kutokutii katiba. Pamoja na dhalimu magu kuvunja katiba, aliishia kunyenyekewa na watu wa aina yako hadi akaishia kupora uchaguzi.Acha upofu wako wa akili hapa wewe .awamu ya Hayati Daktari Dkt Magufuli mlifanyi wapi hiyo mikutano?mbona mlinywea na kufunga midomo yenu kwa gundi? Mbona hamkunya chochote? Mbona mliishia kuweka mikono nyuma kama mahalifu? Mkifanya nini cha kuitisha serikali? Nani aliwaunga mkono au kuwapigania?
Hata leo Rais Samia alitaka kupiga marufuku mikutano yote ya hadhara anaweza kufanya hivyo na wala hakuna mmachoweza kufanya wala kuitikisa serikali. Kwani nchi kama Marekani iliyoendelea kidemokrasia ni wapi mliona ikifanya mikutano muda wote?
Mikutano yenyewe mnashindwa kujenga hoja nakushia kutunga uzushi na uongo tu .ndio maana mnapuuzwa sana.
Hata angekutana na hoja za msingi kama utakavyo, hakuna lolote angefanya kuleta mabadiliko, maana tatizo sio hoja za msingi, bali ni kugoma kubadilika ama kutoka madarakani kwa hiari.Issue Raisi Samia kama mlinzi wa katiba anajaribu kuwaambia upinzani kuwa Tanzania inahitaji upinzani wenye tija wenye hoja za kitaifa sio za personal Interest za ohh Mama Abdul hajanipa Pesa zangu nimemwambia Abdul kamwambia mama Yako anipe Pesa zangu washenzi nyie wewe Abdul na mama yako
Viongozi wa ccm wanajionaga kama Makamu wa MunguLeo amesikika Rais Samia akisema kuwa aliruhusu mikutano ya vyama vya siasa. Hiyo sentensi moja tu inamaanisha Rais Samia hajui katiba inasema nini juu ya mikutano ya vyama vya siasa?
Mikutano ya vyama vya siasa kwa vyama vyote vya siasa ni haki ya kikatiba, na wala siyo hisani ya Rais au CCM.
Tunachojua ni kuwa ofisi ya Rais ilikengeuka na kukiuka katiba ya nchi kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, baadaye ofisi hiyo ya Rais ilerejewa na ufahamu na kufuta amri batili.
Kama anaamini ana mamlaka ya kufuta haki za kikatiba, afute, afanye kila kitu kwa matakwa na utashi wake. Watu nao wapambane kwa namna wanazojua dhidi ya mkiukaji wa katiba.
Rais anasema kuwa eti wenzake ndani ya CCM walimshauri asiruhusu mikutano ya vyama vya siasa. Kama kweli kuna majitu ya namna hiyo ndani ya CCM basi hayo ni majuha na maadui wakubwa wa Taifa. Kila mzalendo, bila ya kujali ni wa chama gani au hana chama, ni lazima apiganie utekelezaji wa haki za kikatiba.
Kama Rais anaona kweli anatukanwa kupitia mikutano ya vyama vya siasa, sheria zipo. Kwa nini wanaomtukana wasishtakiwe? Lakini kamwe asiseme kuwa eti yeye ndiye ameruhusu mikutano ya vyama vya kisiasa. Mikutano ya kisiasa imeruhusiwa na katiba, haijaruhusiwa na Rais. Marehemu kwa ubabe tu aliamua kukiuka katiba, na Samia alipochukua madaraka akaendeleza ukiukaji wa katiba kwa muda.
Labda kwa sababu Rais alisema kuwa katiba ni kajitabu tu, ndiyo maana anaona yupo juu ya katiba.
Tukikubali kauli potofu kama aliyoitoa leo Rais Samia, kuna siku tutaweza hata kuambiwa kuwa, nimewaruhusu muendelee kuishi, lakini mnanikosoa!!
Wewe unataka chama kilichokufa CDM kijenge hoja gani?Acha upofu wako wa akili hapa wewe .awamu ya Hayati Daktari Dkt Magufuli mlifanyi wapi hiyo mikutano?mbona mlinywea na kufunga midomo yenu kwa gundi? Mbona hamkunya chochote? Mbona mliishia kuweka mikono nyuma kama mahalifu? Mkifanya nini cha kuitisha serikali? Nani aliwaunga mkono au kuwapigania?
Hata leo Rais Samia alitaka kupiga marufuku mikutano yote ya hadhara anaweza kufanya hivyo na wala hakuna mmachoweza kufanya wala kuitikisa serikali. Kwani nchi kama Marekani iliyoendelea kidemokrasia ni wapi mliona ikifanya mikutano muda wote?
Mikutano yenyewe mnashindwa kujenga hoja nakushia kutunga uzushi na uongo tu .ndio maana mnapuuzwa sana.
Mikutano ya kisiasa imeruhusiwa na katiba ya TZ simple tuLeo amesikika Rais Samia akisema kuwa aliruhusu mikutano ya vyama vya siasa. Hiyo sentensi moja tu inamaanisha Rais Samia hajui katiba inasema nini juu ya mikutano ya vyama vya siasa?
Mikutano ya vyama vya siasa kwa vyama vyote vya siasa ni haki ya kikatiba, na wala siyo hisani ya Rais au CCM.
Tunachojua ni kuwa ofisi ya Rais ilikengeuka na kukiuka katiba ya nchi kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, baadaye ofisi hiyo ya Rais ilerejewa na ufahamu na kufuta amri batili.
Kama anaamini ana mamlaka ya kufuta haki za kikatiba, afute, afanye kila kitu kwa matakwa na utashi wake. Watu nao wapambane kwa namna wanazojua dhidi ya mkiukaji wa katiba.
Rais anasema kuwa eti wenzake ndani ya CCM walimshauri asiruhusu mikutano ya vyama vya siasa. Kama kweli kuna majitu ya namna hiyo ndani ya CCM basi hayo ni majuha na maadui wakubwa wa Taifa. Kila mzalendo, bila ya kujali ni wa chama gani au hana chama, ni lazima apiganie utekelezaji wa haki za kikatiba.
Kama Rais anaona kweli anatukanwa kupitia mikutano ya vyama vya siasa, sheria zipo. Kwa nini wanaomtukana wasishtakiwe? Lakini kamwe asiseme kuwa eti yeye ndiye ameruhusu mikutano ya vyama vya kisiasa. Mikutano ya kisiasa imeruhusiwa na katiba, haijaruhusiwa na Rais. Marehemu kwa ubabe tu aliamua kukiuka katiba, na Samia alipochukua madaraka akaendeleza ukiukaji wa katiba kwa muda.
Labda kwa sababu Rais alisema kuwa katiba ni kajitabu tu, ndiyo maana anaona yupo juu ya katiba.
Tukikubali kauli potofu kama aliyoitoa leo Rais Samia, kuna siku tutaweza hata kuambiwa kuwa, nimewaruhusu muendelee kuishi, lakini mnanikosoa!!
Acha ujinga we dogo.......usijifanye mjanja sana.HUYO BIBI KIZEE NAMCHUKIA SANA QMMMKE
Pamoja na kwamba ipo kwa mujibu wa Katiba Hatuwezi kuacha kumshukuru kwa Nia njema yake Dr Samia kuiruhusu.Mikutano ya kisiasa imeruhusiwa na katiba ya TZ simple tu
Mamlaka ndio yeye sasaLeo amesikika Rais Samia akisema kuwa aliruhusu mikutano ya vyama vya siasa. Hiyo sentensi moja tu inamaanisha Rais Samia hajui katiba inasema nini juu ya mikutano ya vyama vya siasa?
Mikutano ya vyama vya siasa kwa vyama vyote vya siasa ni haki ya kikatiba, na wala siyo hisani ya Rais au CCM.
Tunachojua ni kuwa ofisi ya Rais ilikengeuka na kukiuka katiba ya nchi kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, baadaye ofisi hiyo ya Rais ilerejewa na ufahamu na kufuta amri batili.
Kama anaamini ana mamlaka ya kufuta haki za kikatiba, afute, afanye kila kitu kwa matakwa na utashi wake. Watu nao wapambane kwa namna wanazojua dhidi ya mkiukaji wa katiba.
Rais anasema kuwa eti wenzake ndani ya CCM walimshauri asiruhusu mikutano ya vyama vya siasa. Kama kweli kuna majitu ya namna hiyo ndani ya CCM basi hayo ni majuha na maadui wakubwa wa Taifa. Kila mzalendo, bila ya kujali ni wa chama gani au hana chama, ni lazima apiganie utekelezaji wa haki za kikatiba.
Kama Rais anaona kweli anatukanwa kupitia mikutano ya vyama vya siasa, sheria zipo. Kwa nini wanaomtukana wasishtakiwe? Lakini kamwe asiseme kuwa eti yeye ndiye ameruhusu mikutano ya vyama vya kisiasa. Mikutano ya kisiasa imeruhusiwa na katiba, haijaruhusiwa na Rais. Marehemu kwa ubabe tu aliamua kukiuka katiba, na Samia alipochukua madaraka akaendeleza ukiukaji wa katiba kwa muda.
Labda kwa sababu Rais alisema kuwa katiba ni kajitabu tu, ndiyo maana anaona yupo juu ya katiba.
Tukikubali kauli potofu kama aliyoitoa leo Rais Samia, kuna siku tutaweza hata kuambiwa kuwa, nimewaruhusu muendelee kuishi, lakini mnanikosoa!!
Acha ujinga we dogo.......usijifanye mjanja sana.
Kuwa na Adabu.
Muambieni huyu naye azuie maana hakuna atakalofanywa.yaaani uzi mreeeefu hivyo pumba tupu hana uwezo wa kuzuia mbona jpm alipozuia hamkufanya mikutano hiyo ndiyo maana ya kuwa anao uwezo wa kuzuia na usimfanye kitu chochote
Kusimamia katiba ni wajibu wa kila mtu! Personally nita- appreciate akikubali mchakato kwa katiba mpya.Binaadamu hamna shukurani, kuna viongozi hata haki yako anakunyima pia anakufunga na kukufunga.......let us appreciate our madam president.
mkuu ccm ni janga la taifa hiliLeo amesikika Rais Samia akisema kuwa aliruhusu mikutano ya vyama vya siasa. Hiyo sentensi moja tu inamaanisha Rais Samia hajui katiba inasema nini juu ya mikutano ya vyama vya siasa?
Mikutano ya vyama vya siasa kwa vyama vyote vya siasa ni haki ya kikatiba, na wala siyo hisani ya Rais au CCM.
Tunachojua ni kuwa ofisi ya Rais ilikengeuka na kukiuka katiba ya nchi kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, baadaye ofisi hiyo ya Rais ilerejewa na ufahamu na kufuta amri batili.
Kama anaamini ana mamlaka ya kufuta haki za kikatiba, afute, afanye kila kitu kwa matakwa na utashi wake. Watu nao wapambane kwa namna wanazojua dhidi ya mkiukaji wa katiba.
Rais anasema kuwa eti wenzake ndani ya CCM walimshauri asiruhusu mikutano ya vyama vya siasa. Kama kweli kuna majitu ya namna hiyo ndani ya CCM basi hayo ni majuha na maadui wakubwa wa Taifa. Kila mzalendo, bila ya kujali ni wa chama gani au hana chama, ni lazima apiganie utekelezaji wa haki za kikatiba.
Kama Rais anaona kweli anatukanwa kupitia mikutano ya vyama vya siasa, sheria zipo. Kwa nini wanaomtukana wasishtakiwe? Lakini kamwe asiseme kuwa eti yeye ndiye ameruhusu mikutano ya vyama vya kisiasa. Mikutano ya kisiasa imeruhusiwa na katiba, haijaruhusiwa na Rais. Marehemu kwa ubabe tu aliamua kukiuka katiba, na Samia alipochukua madaraka akaendeleza ukiukaji wa katiba kwa muda.
Labda kwa sababu Rais alisema kuwa katiba ni kajitabu tu, ndiyo maana anaona yupo juu ya katiba.
Tukikubali kauli potofu kama aliyoitoa leo Rais Samia, kuna siku tutaweza hata kuambiwa kuwa, nimewaruhusu muendelee kuishi, lakini mnanikosoa!!
We juha kweliBinaadamu hamna shukurani, kuna viongozi hata haki yako anakunyima pia anakufunga na kukufunga.......let us appreciate our madam president.
Let us appreciate kwa Rais kujitambua kuwa anatakiwa kuitii katiba kuhusiana na haki ya mikutano kwa vyama vya siasa, na siyo kwa kutoa ruhusa. Hana mamlaka ya kutoa au kuzuia haki ambazo tayari katiba imekwishazitoa.Binaadamu hamna shukurani, kuna viongozi hata haki yako anakunyima pia anakufunga na kukufunga.......let us appreciate our madam president.