Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
- Thread starter
- #41
Kikatiba sawa,
Ila kwa Tz raisi akiamua hakuna mkutano wa siasa utakaofanyika,
Refer kipind cha JPM,
Kila nyakati na mambo yake.
Alichokifanya marehemu wakati ule, ni ushetani, hatitakiwi kumung'unya maneno. Na Rais Samia alipopewa uongozi, aliuendeleza ushetani ule alipufanya marehemu kwa muda. Lakini nikuhakikishie, muda ulovyoenda, Samia hakuwa na chaguo jingine zaidi ya kutii takwa la katiba. Na kama unadhani ni rahisi kuishi kwenye ushetani ule, mshauri azuie sasa hivi.