Rais Samia Aambiwe Ukweli, Hana Mamlaka ya Kuzuia Au Kuruhusu Mikutano ya Vyama Vya Siasa

Issue Raisi Samia kama mlinzi wa katiba anajaribu kuwaambia upinzani kuwa Tanzania inahitaji upinzani wenye tija wenye hoja za kitaifa sio za personal Interest za ohh Mama Abdul hajanipa Pesa zangu nimemwambia Abdul kamwambia mama Yako anipe Pesa zangu washenzi nyie wewe Abdul na mama yako
 
Katiba ndio msingi yeye hayo maneno anatoa wapi?? Nyerere alikosea sana setting ya nchi useless kabisa fikiria katiba ya ccm mgombea wa bara lazima awe na mzanzibar ,tunataka katiba mpya ambayo itasema Rais aliyeko madarakani akifariki lazima tufanye uchaguzi mpya lakini katiba hii inampa mende,samaki,mlawiti kuongoza Raia.
 
Ukisikia ujinga wa kipaji ndio huo, alichokuwa akifanya Magufuli ni kuvunja katiba, na alitengeneza mazingira ya wengine kutokutii katiba. Pamoja na dhalimu magu kuvunja katiba, aliishia kunyenyekewa na watu wa aina yako hadi akaishia kupora uchaguzi.

Huyu mama akitaka naye anaweza kufuata ushauri wenu wa kuzuia mikutano, lakini hakuna atakayemnyenyekea, sana sana nyie chawa ndio mtaishia kumsifia maana hamuwezi kumudu spana. Ni hivi, mikutano haiko kwa hisani ya rais, labda kwa watu wajinga ndio hudhani hiyo ni hisani ya rais.
 
Hata angekutana na hoja za msingi kama utakavyo, hakuna lolote angefanya kuleta mabadiliko, maana tatizo sio hoja za msingi, bali ni kugoma kubadilika ama kutoka madarakani kwa hiari.
 
Viongozi wa ccm wanajionaga kama Makamu wa Mungu
 
Wewe unataka chama kilichokufa CDM kijenge hoja gani?
 
Mikutano ya kisiasa imeruhusiwa na katiba ya TZ simple tu
 
Mamlaka ndio yeye sasa
 
yaaani uzi mreeeefu hivyo pumba tupu hana uwezo wa kuzuia mbona jpm alipozuia hamkufanya mikutano hiyo ndiyo maana ya kuwa anao uwezo wa kuzuia na usimfanye kitu chochote
Muambieni huyu naye azuie maana hakuna atakalofanywa.
 
Binaadamu hamna shukurani, kuna viongozi hata haki yako anakunyima pia anakufunga na kukufunga.......let us appreciate our madam president.
Kusimamia katiba ni wajibu wa kila mtu! Personally nita- appreciate akikubali mchakato kwa katiba mpya.
 
mkuu ccm ni janga la taifa hili
 
Donald Trump kasha wahi sema kwamba "shida kubwa ambayo dunia inapitia kwa sasa ni kuwa na viongozi wajinga"

Kauli hii iko sambamba na nguri wa fasihi Afrika Mashariki hayati Shaaban Robert kuwa
"Kuna karne itakuja kwa wajinga kuwa viongozi na werevu kuwa wafuasi,Nadhani karne yenyewe ndo hii"

Kuna nyakati ukisikiliza maneno ya viongozi wetu,unatamani kutapika,kwa namna ambavyo wanavyo jinasibisha kwa kulewa madaraka na upumbavu.
 
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mamluki na vibaraka wa mabeberu wanateseka sana. CHADEMA ikiwa namba moja.

Yashindwe na yalegehe.
=================

Mikutano imeruhusiwa, wamesema nini huko majukwaani zaidi ya uzushi, kebehi, na siasa za majitaka?

Mwenye clip yeyote ile ikionyesha CHADEMA ikitoa sera zake mbadala na CCM aiweke hapa-ni HAKUNA.
 
Binaadamu hamna shukurani, kuna viongozi hata haki yako anakunyima pia anakufunga na kukufunga.......let us appreciate our madam president.
Let us appreciate kwa Rais kujitambua kuwa anatakiwa kuitii katiba kuhusiana na haki ya mikutano kwa vyama vya siasa, na siyo kwa kutoa ruhusa. Hana mamlaka ya kutoa au kuzuia haki ambazo tayari katiba imekwishazitoa.

Hivi mtu akiwa jambazi, akawa anapora mali za watu. Siku akiacha, na akasema kuwa nimewapa upendeleo wa kutoiba mali zenu kuanzia sasa, mnatakiwa kumshukuru na kumsifu maana amewapa upendeleo wa kutoiba mali zenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…