Kikatiba sawa,
Ila kwa Tz raisi akiamua hakuna mkutano wa siasa utakaofanyika,
Refer kipind cha JPM,
Sasa subiri mapigo atakayo pata kwa kauli za kijinga namna ile. Hivyo vimaneno vyake vitadadavuliwa vizuri kwa wananchi nao wauone ujinga alionao rais wa nchi yao.Kama Rais mtu mkubwa hajui hayo watu wake inakuwaje. Mpaka naogopa, akiambiwa ignorant anasema katukanwa
Najuwa mama yenu hana akili kama mlivyo nyinyi, lakini msije mkamdanganya aige aliyofanya Magufuli.yaaani uzi mreeeefu hivyo pumba tupu hana uwezo wa kuzuia mbona jpm alipozuia hamkufanya mikutano hiyo ndiyo maana ya kuwa anao uwezo wa kuzuia na usimfanye kitu chochote
Kwenye hili, naamini anasema kweli, ingawa simpi sifa ya kuwakatalia hao majambazi ndani ya chama chake, kwani naye aliitumia hila hiyo akidhani itamletea manufaa na sifa, siyo hapa nchini tu, bali hata nje ya nchi.Rais anasema kuwa eti wenzake ndani ya CCM walimshauri asiruhusu mikutano ya vyama vya siasa. Kama kweli kuna majitu ya namna hiyo ndani ya CCM basi hayo ni majuha na maadui wakubwa wa Taifa. Kila mzalendo, bila ya kujali ni wa chama gani au hana chama, ni lazima apiganie utekelezaji wa haki za kikatiba.
Kushukuru kwa kurudishiwa haki yako ulioporwa ni utumwa. CCM iliiaga demokrasia miaka mingi tangu enzi za TANU, na jamii yote ikiwa kama wewe ya kumwona mdhurumu haki yako yuko sahihi tutaishi utumwani milele.Binaadamu hamna shukurani, kuna viongozi hata haki yako anakunyima pia anakufunga na kukufunga.......let us appreciate our madam president.