Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #121
Acha utotoUna*go*ngw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha utotoUna*go*ngw
CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa ni miaka mingi kwa kadri ya uhai wa Taifa letu.huwezi na haiwezekani kuitenganisha Tanzania na CCM.Km watu wenyewe wa kumsemea mama ndo kina kaka Luka kwann tusitawaliwe kwa miaka mingine zaidi ya 100?!!
Kaka Luca unazingua, najua kuna muda ukipitia nyuzi zako huwa unajicheka 😂😂😂CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa ni miaka mingi kwa kadri ya uhai wa Taifa letu.huwezi na haiwezekani kuitenganisha Tanzania na CCM.
Mimi ni msema kweli. ephen wifi yako alishasema niwe naandika UKWELI tu hata kama watu watanishambulia.Kaka Luca unazingua, najua kuna muda ukipitia nyuzi zako huwa unajicheka 😂😂😂
Ukoo tutakutenga unawaponza watanzania 😂😂Mimi ni msema kweli. ephen wifi yako alishasema niwe naandika UKWELI tu hata kama watu watanishambulia.
Mimi ni mzalendo.lakini hata mkinitenga na nikabaki na ephen inatoshaUkoo tutakutenga unawaponza watanzania 😂😂
Na wewe nenda ukawalipie basi ndugu yangu.Mtu anafurahia kulipiwa sh. 13,000/- na rais.
Jamaaa unajua kujikomba hd bx huenda kuna siku unalala bila mlo lkn ....Wivu utawaueni mwaka huu .kutoa ni moyo na siyo utajiri. Rais wetu ana moyo wa upendo na huruma na ndio maana anasaidia sana watu mbalimbali kwa kadri awezavyo
Anakimaa kuomba mikopo ili aje awalipie watu nauli ya train, nchi ngumu hii!!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Daktari Samia Suluhu Hasssan ameibua shangwe na kuteka hisia za watanzania wengi sana, baada ya Rais wetu mpendwa kwa moyo wake wa upendo, huruma, ukarimu na unyenyekevu.
kuamua kwa dhati ya Moyo wake na kwa pesa zake binafsi zinazotokana na jasho lake. Kuamua kuwalipia tiketi abiria wote waliokuwa wamefanya safari kwa mara ya kwanza na treni ya kisasa kabisa kutoka Dar kwenda Morogoro na Morogoro kwenda Dar.
Rais wetu anafanya hivyo kuwapa hamasa Watanzania kutumia usafiri huo wa kisasa, mzuri,salama,nafuu,wa haraka na wenye utulivu wa hali ya juu sana .ambao watu watakaa vizuri pasipo kuchoka wala uchovu wala bughudha wala hofu huku wakifurahia mazingira mazurii ya njiani na hali ya hewa nzuri na safi sana kwa afya ya Mwanadamu..
Rais wetu Anaendelea kugusa na kuteka mioyo ya Watanzania ,kwa matendo yake ya huruma na upendo kwa watu wote . Niambie ni kiasi gani furaha waliyo nayo abiria hao ambao wamepewa ofa hiyo buree kabisa na mama yao mpendwa mwenye moyo wa huruma kwa watu wake. Wameokoa kiasi gani cha pesa ndugu zangu Watanzania?
Hii ndio raha ya kuongozwa na Mama, raha ya kuwa na kiongozi mwenye upendo na ukarimu kwa watu,raha ya kuwa na kiongozi anayewajali na kuwathamini watu wake. Najisikia fahari sana na mwenye bahati sana kuongozwa na Rais Samia .ni historia kwagu nitakayoisimulia miaka ya baadaye panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Imefika wakati watanzania raha zimewazidi mpaka wakifika mahali na wakiona mabango ya Rais wetu njiani yenye picha yake ,wanasimama kwa bashasha na tabasamu na kujipiga picha mbele ya mabango hayo huku wakifurahia na kumuombea Maisha marefu yeye heri na baraka tele kwake..
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kukopa ni miongoni mwa njia zinazokubalika kiuchumi.ndio maana hata Japani yenyewe inadaiwaAnakimaa kuomba mikopo ili aje awalipie watu nauli ya train, nchi ngumu hii!!
Mimi sijikombi bali naongea UKWELIJamaaa unajua kujikomba hd bx huenda kuna siku unalala bila mlo lkn ....
NdioUnahisi kwa kile alichokifanya ni Uzalendo?!
Ndo ukope ulipie watu nauli SGR?, hujui hata wanaenda kufanya nn? Shame!!Kukopa ni miongoni mwa njia zinazokubalika kiuchumi.ndio maana hata Japani yenyewe inadaiwa
Rais wetu kalipia kwa kutoa pesa yake binafsi .kama umeumia basi na wewe kawalipieNdo ukope ulipie watu nauli SGR?, hujui hata wanaenda kufanya nn? Shame!!
Anatusaidia kweli kwa pesa zetu wenyewe za kodi,atoe za mshahara wake nitampongezaWivu utawaueni mwaka huu .kutoa ni moyo na siyo utajiri. Rais wetu ana moyo wa upendo na huruma na ndio maana anasaidia sana watu mbalimbali kwa kadri awezavyo
Hivi we jamaa mbona hupati uteuzi,au ni kwa sababu huna elimu?Wivu utawaueni mwaka huu .kutoa ni moyo na siyo utajiri. Rais wetu ana moyo wa upendo na huruma na ndio maana anasaidia sana watu mbalimbali kwa kadri awezavyo