GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali inapopandisha mishahara inaangalia zaidi kima cha chini na kwamba asilimia 23 iliyosemwa na Rais Samia Suluhu siku ya Mei Mosi iliwalenga zaidi wenye kipato cha chini.
Majaliwa ameyasema hayo leo Julai 29, 2022 akitoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara ya watumishi wa serikali ambayo hivi karibuni imezua mjadala mkubwa.
Mei 14 mwaka huu Rais Samia aliridhia mapendekezo ya nyongeza ya mishahara kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa asilimia 23.3 ambayo yameanza katika mshahara wa mwezi Julai.
Taarifa: habarileo_tz
Yaani Premier Majaliwa Yeye kila wakati ( 24/7 ) ni Mtu wa kutoa 'Maboko' tu kwa Watanzania utadhani labda kuna tulichomkosea hivyo anatulipizia Kisasi na Kinachoniuma na Kunisikitisha zaidi GENTAMYCINE ni kwamba huyu pia ni mwana Lunyasi FC Mwenzangu.
Premier Majaliwa hebu sometimes jishtukie basi na hata labda huwa Unalazimishwa Kuongea nasi ( Wananchi ) na ukiona huna uhakika au Data za maana nakushauri uwe Unajivunja ( Unadanganya ) tu kuwa Unaumwa na Jukumu hilo ( hili ) awe anapewa Mtu Mwingine na nionavyo Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa is better than you in either delivering or manouvering the Facts kiasi cha Kueleweka na kutuliza Sintofahamu ya Masuala Mtambuka ya nchini.
Premier Majaliwa Taarifa ya Awali iliyotolewa na Serikali ilisema hiyo 23.3% ni kwa Wafanyakazi wote cha Kushangaza tena kama Kawaida yako kupenda Kukurupuka kama ulivyokurupuka Siku Tatu kabla ya Tukio Kubwa la Nchi tarehe 17 Machi mwaka Jana ( 2021 ) na Kutudanganya Watanzania na Leo umefanya muendelezo wa kile kile.
Premier Majaliwa hebu badilika Kaka.