Umesikia walivyosema leo asubuhi? wanataka mtoa maamuzi aseme sio anaowatuma, jana tulikuambia ukawa unajibu kama umekatwa kichwa!Hizo ndio fact hakuna uchawa hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesikia walivyosema leo asubuhi? wanataka mtoa maamuzi aseme sio anaowatuma, jana tulikuambia ukawa unajibu kama umekatwa kichwa!Hizo ndio fact hakuna uchawa hapo
siamini kama una akili timamuMheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF
Me naona nimeseme neno moja tu
Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi
Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?
Kuwadekeza hawa kutaibua migomo mingi sana ya kila sehemu
Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kazi sasa kila mtu agome?
Jana usiku tumevuka kigamboni kwa sh elf 5, because usiku pantoni haikuwepo mpaka saa kumi alfajiri kwaiyo na Sisi tugome?
Mheshimiwa kaa kimya kabisa waache na wasifungue tena
Tena kama inawezekana tuvunje maduka yote tujenge stend ya mikoani pale
kichaa namba moja ni wewe mkuu. unastahili kufanyiwa ya kenyaBecause to you mtu mwenye akili timamu ni Yule anaewaza kama ww
Una dalili zote za uganjwa wa kichaa
kichaa namba moja ni wewe mkuu. unastahili kufanyiwa ya kenya
watu wana kero zao wewe unawakebehi
Unamlipa Rais mshahara,then unajipa kazi ya kumshauri bure?Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF
Me naona nimeseme neno moja tu
Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi
Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?
Kuwadekeza hawa kutaibua migomo mingi sana ya kila sehemu
Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kazi sasa kila mtu agome?
Jana usiku tumevuka kigamboni kwa sh elf 5, because usiku pantoni haikuwepo mpaka saa kumi alfajiri kwaiyo na Sisi tugome?
Mheshimiwa kaa kimya kabisa waache na wasifungue tena
Tena kama inawezekana tuvunje maduka yote tujenge stend ya mikoani pale
Rais ni muajiriwaNdio maana anaitwa Rais wa Tanzania, means na Mimi nipo
Rais ni muajiriwa
Wewe na mimi ndio tunaomlipa mshahara na stahiki zake za ufanyakazi
Sisi ni maboss wake
Wewe kujipa kazi tena ya kumshauri wakati hiyo kazi tumeshampa atupe majawabu ni ukichaa.
Ushampa kazi,then unaifanya tena wewe wewe,maana yake huna akili sasa.
Wewe umemuajiri kwa kazi ya kufikiri na kuleta solutions ili wewe ufanye mambo mengineNa kazi yake anaifanya vizuri
Ushauri ni Jambo la kawaida Tu
Hata wewe unaweza kumshauri Mzee wako
Haimaanishi Kwa vile yeye ndio amekuleta duniani basi asiambiwe chochote
Na mambo hubadilika
Wewe umemuajiri kwa kazi ya kufikiri na kuleta solutions ili wewe ufanye mambo mengine
Cha ajabu unarudi nyuma eti wewe ndio "mshauri"...kazi zako utafanya lini?
Stop this lamba matako politics!
Hiyo kazi ya ushauri sasa ndio tuna tatizo nayoNamshauri achaane na wazee wa migomo isiyo na maana
Hiyo kazi ya ushauri sasa ndio tuna tatizo nayo
Badala ujishauri mwenyewe maana huku tayari ushatoa kazi na mshahara unalipa
Migomo isiyo na maana kwako wewe sio kwa anaegoma
Maajabu unapangia wanaogoma anaegomewa cha kufanya