Rais Samia achana na wafanyabiashara wa Kariakoo, wasikupe presha!

Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF

Me naona nimeseme neno moja Tu

Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi

Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?

Kuwadekeza hawa kutaibua migomo mingi sana ya kila sehemu

Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kazi sasa kila mtu agome?

Jana usiku tumevuka kigamboni kwa sh elf 5, because usiku pantoni haikuwepo mpaka saa kumi alfajiri kwaiyo na Sisi tugome?

Mheshimiwa kaa kimya kabisa waache na wasifungue tena

Tena kama inawezekana tuvunje maduka yote tujenge stend ya mikoani pale
Akili za hivi hazifai kwa chochote.

Akili yoyote yenye kisirani huwa imejazwa laana na haifai kwa ushauri na haifai kwa uongozi hata wa familia ya mtu mmoja.
 
Tindo serikali imeshaongea nao Jana Bungeni, mwakilishi wa Rais ameenda Jana na Leo

And bado wamegoma hawa sio wa kuwaendekeza?

Kesho watagoma wanataka jf ifungwe inawachafulia biashara zao
Kuongea nao si hoja, hoja ni wanaongea nini?
 
Akitoka hapo awagomee na wafanyakazi asiwaongezee mishahara, afu aje pia kwenye katiba mpya aigomee na akitoka hapo aende kwenye report za CAG azigomee, si ndio mleta mada?
Huyo kasahau kuangusha namba ya simu hapo.
 
Chini wamekaa Jana Bungeni,

Mjadala wamefanya na waziri husika na mkuu wa mkoa ambae ni mwakilishi wa Rais

Eeh sasa kifanyike nini tena?

Au tusiende makazini tukae uwanja wa taifa tuongee? Ndio unavyotaka?
Jambo hili la madai ya marekebisho ya kodi ngazi ya mwisho lilikuwa kwa waziri mkuu waliyoahidiwa hayajatekelezwa, ni sawa tena kurudi kwa waziri au mkuu wa mkoa???
 
Sasa mnataka kurudi wapi?
Mnadhania PM alichokuja kuongea alitunga yeye mwenyewe?

Yale ndio majibu ya serikali hata kama mkienda mbinguni
 
Sio kurudi ndio maana hawajafungua, aende mwenye maamuzi..umeelewa?
 
Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF

Me naona nimeseme neno moja tu

Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi

Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?

Kuwadekeza hawa kutaibua migomo mingi sana ya kila sehemu

Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kazi sasa kila mtu agome?

Jana usiku tumevuka kigamboni kwa sh elf 5, because usiku pantoni haikuwepo mpaka saa kumi alfajiri kwaiyo na Sisi tugome?

Mheshimiwa kaa kimya kabisa waache na wasifungue tena

Tena kama inawezekana tuvunje maduka yote tujenge stend ya mikoani pale
Ombi lako Rais Samia kamwe hawezi Kulisikiliza kwani kuelekea 2025 anawahitaji hawa Wagomaji kuliko Mnafiki na Chawa wa Kujipendekeza Kwake Wewe.
 
Sio kurudi ndio maana hawajafungua, aende mwenye maamuzi..umeelewa?

Mwenye maamuzi ndio kawatuma hao wawakilishi wake so hata yy akija neno lake ni Hilo Hilo
 
Kwenye finance bill yetu naomba aliesoma akaielewa anielemishe mpango mkakati uilopo kuongeza pato la nchi effectively kupitia

1. Hifadhi za kitalii
2. Madini
3. Gesi
4. Maziwa
5. Bahari
6. Makamaa ya mawe
7. Misitu
8. Ardhi iliyopo hasa fertile land
9. Nchi kukaa sehemu ya kimkakati ina uwezo wa kuhudumia nchi 6 za land locked countries (Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Congo Na Malawi) kuzalisha matrilion ya shilingi.

Naomba kujua kama vina msukumo wa kutosha, tofauti na kukandamizia focus kwenye tozo na kodi kwa wananchi.
 
Migomo inapoteza pato kubwa la taifa ni vizuri serikali kukaa mezani na kuongea na wafanyabiashara na si kutumia ubabe usio na faida.
 
Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF

Me naona nimeseme neno moja tu

Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi

Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?

Kuwadekeza hawa kutaibua migomo mingi sana ya kila sehemu

Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kazi sasa kila mtu agome?

Jana usiku tumevuka kigamboni kwa sh elf 5, because usiku pantoni haikuwepo mpaka saa kumi alfajiri kwaiyo na Sisi tugome?

Mheshimiwa kaa kimya kabisa waache na wasifungue tena

Tena kama inawezekana tuvunje maduka yote tujenge stend ya mikoani pale
Umevuka kwa njia gani? Ilikua salama? Je hiyo bei ni sawa? Ambaye hana hiyo 5000 ulimvusha au ulimwacha alale hapo hapo mpaka alfajiri? Kwanini vivuko vyote vilale na abiria bado wapo? ninachojua usiku huo kinabaki kimoja kufanya kazi.

Sema usikilizwe, vunjeni maduka nchi zima jengeni stand za mikoa 😅
 
Kama Kuna wanaume wanawaza hivi.
Suala la 50*50 lipewe nguvu ili tupate nguvu kazi ya kike kufidia mapengo ya baadhi ya wanaume wajinga
 
Back
Top Bottom