Rais Samia achana na wafanyabiashara wa Kariakoo, wasikupe presha!

Rais Samia achana na wafanyabiashara wa Kariakoo, wasikupe presha!

Tahila wewe , akikaa kimya itakuwa vizuri wataitaitishq mgomo nchi zima halafu hayo mavi8 ya misafara yake yakianza kukosa mafuta atawaomba akutane nao bila kupenda.

Mafuta yanatoka kariakoo?
Kwamba kariakoo wakifunga inchi inasimama?

Wafunge basi tuone
 
Hapo umetumia mabega kufikiri

Wacha wafunge miaka yote

Tena watoe mizigo Yao wakaweke makwao

Ile Ardhi ni ya serikali

Tunataka kubadilisha matumizi ya Eneo

Waache ujinga

RC ameenda, waziri kaongea, bungeni wameongea so wanataka nini?
 
Hakuna kiongozi anataka wanainchi wake wapate shida
Kiongozi sio mzazi wako kuwa yupo tayari apoteza upate. Ushawahi kusikia mawaziri wakigoma kuwa kazi haina maslahi? Mara ya mwisho kusikia wabunge wamegoma kuingia bungeni sababu ya maslahi ni lini?
 
Kiongozi sio mzazi wako kuwa yupo tayari apoteza upate. Ushawahi kusikia mawaziri wakigoma kuwa kazi haina maslahi? Mara ya mwisho kusikia wabunge wamegoma kuingia bungeni sababu ya maslahi ni lini?

Katika watanzania milion 60 hao uliotaja ni wangapi?

Why unasema wabunge na mawaziri why ujasema madereva wa serikali?

Au wafagizi na wafanya usafi?

Usiendeshwe na mambo ya wivu ya watu kuwa wabunge au mawaziri

Hayo ni mambo ya Bahati Tu

Kama ww ulivyo mzima na mwingine Yuko ICU mhimbili
 
Hakuna bahati wala wivu. Kila mtu anafanya sehemu yake na ina umuhimu. Hao wote unaowataja wanawategemea wafanyabiashara walipe kodi ndo mishahara itoke.
 
Kuna kitu najiuliza sana ..
Hivi hawa wafanya biashara wanajua wafanyakazi zigo la kodi wanalobeba...!??
 
Kuna kitu najiuliza sana ..
Hivi hawa wafanya biashara wanajua wafanyakazi zigo la kodi wanalobeba...!??
Hayatuhusu , lakini wanakula kwa urefu wa kamba zao . Kila ripoti ya C.A.G imejaa madudu tu .
 
Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF

Me naona nimeseme neno moja Tu

Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi

Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?

Kuwadekeza hawa kutaibua migomo mingi sana ya kila sehemu

Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kazi sasa kila mtu agome?

Jana usiku tumevuka kigamboni kwa sh elf 5, because usiku pantoni haikuwepo mpaka saa kumi alfajiri kwaiyo na Sisi tugome?

Mheshimiwa kaa kimya kabisa waache na wasifungue tena

Tena kama inawezekana tuvunje maduka yote tujenge stend ya mikoani pale
Huijui dunia wewe ,nchi haiendeshwi unavyofikili, binadam tunategemeana kama ambayo wanyama walio katika mbuga zetu wanategemeana , ushauri wako hauna maana yoyote
 
Hawa watu wanakera, au ww hauna changamoto kwenye Eneo lako?

So na ww utagoma? Kila mtu agome?

Wakidekezwa hawa kesho wanakuja wafanyakazi wanataka more salary

No way
Kama hutaki kugoma, acha walioko tayari kugoma ili changamoto zao zifanyiwe kazi. Ww subiri utaonewa huruma kwenye hizo changamoto zako..
 
mama anakwenda kulitatua hili swala kikomavu uzuri hua hana papara
 
Huijui dunia wewe ,nchi haiendeshwi unavyofikili, binadam tunategemeana kama ambayo wanyama walio katika mbuga zetu wanategemeana , ushauri wako hauna maana yoyote

So ww unataka wafanyabiashara washinikize mambo Yao Kwa migomo

Kesho madr wagome

Kesho kutwa wavuvi wagome

So kila mtu akiona Jambo lake sio sawa anagoma

Au unatakaje?

Nakumpa mfano hai, Jana tumevuka Kwa elf tano kigamboni, sehemu ya kulipa Mia mbili kisa pantoni hamna usiku

Je na Sisi tugome?
 
Kama hutaki kugoma, acha walioko tayari kugoma ili changamoto zao zifanyiwe kazi. Ww subiri utaonewa huruma kwenye hizo changamoto zako..

Tindo serikali imeshaongea nao Jana Bungeni, mwakilishi wa Rais ameenda Jana na Leo

And bado wamegoma hawa sio wa kuwaendekeza?

Kesho watagoma wanataka jf ifungwe inawachafulia biashara zao
 
Kuna kitu najiuliza sana ..
Hivi hawa wafanya biashara wanajua wafanyakazi zigo la kodi wanalobeba...!??
Vaa viatu vya mfanyabiashara, pewa pesa yako yote ya mshahara upeleke mwisho wa mwezi PAYE ukichelewa lipa fine na ukinunua chochote chukua 18% uipe serikali ukichelewa dk 1 fine.
 
So ww unataka wafanyabiashara washinikize mambo Yao Kwa migomo

Kesho madr wagome

Kesho kutwa wavuvi wagome

So kila mtu akiona Jambo lake sio sawa anagoma

Au unatakaje?

Nakumpa mfano hai, Jana tumevuka Kwa elf tano kigamboni, sehemu ya kulipa Mia mbili kisa pantoni hamna usiku

Je na Sisi tugome?
Ubabe haukuwai shinda popote ,tulipofika ili swala serikali isilibebe kimia kimia , linaitaji mjadala wa kitaifa ili tujue tunatoka vipi katika mkwamo huu , wafanyabiashara wana hoja zao , tukae kama taifa na kutoka na majibu
 
Hata wavuvi wanahoja, hata mahabusu wanahoja, hata wanafunzi wanahoja kila mtu anahoja

Ishu ni je serikali imekubali kukaa na kuwasikiliza?

Kama yes then why hawafungui maduka
 
Unajuua kama mlipa Kodi namba moja mwaka 2023 alitoka kariakoo tena mtaa wa vumbi au huuna takwimu mlipa Kodi namba moja katoka Ilala, namba mbili Ilala
Acha makasiriko
 
Back
Top Bottom