Rais Samia achana na wafanyabiashara wa Kariakoo, wasikupe presha!

Umesikia walivyosema leo asubuhi? wanataka mtoa maamuzi aseme sio anaowatuma, jana tulikuambia ukawa unajibu kama umekatwa kichwa!

Wakidekezwa watasumbua sana
 
Wenzio walipewa akili wakaweka kichwani wewe ukazifanya makalio ona sasa
 
siamini kama una akili timamu
 
kichaa namba moja ni wewe mkuu. unastahili kufanyiwa ya kenya
watu wana kero zao wewe unawakebehi

Nani Hana kero?

Kero za nyumbani kwako umemaliza?

Wazazi wako walimaliza kero zote ?

Kuna inchi duniani imeamaliza kero zote?

Serikali ingewaacha wagome mwisho wa siku wenyewe wangerudi kufungua maduka
 
Unamlipa Rais mshahara,then unajipa kazi ya kumshauri bure?

Afanye kazi yake tunamlipia mshahara wake on,mengine kumshauri bure ni ujinga unajitafutia,otherwise ulipwe
 
Unamlipa Rais mshahara,then unajipa kazi ya kumshauri bure?

Afanye kazi yake tunamlipia mshahara wake on,mengine kumshauri bure ni ujinga unajitafutia,otherwise ulipwe

Ndio maana anaitwa Rais wa Tanzania, means na Mimi nipo
 
Ndio maana anaitwa Rais wa Tanzania, means na Mimi nipo
Rais ni muajiriwa

Wewe na mimi ndio tunaomlipa mshahara na stahiki zake za ufanyakazi

Sisi ni maboss wake

Wewe kujipa kazi tena ya kumshauri wakati hiyo kazi tumeshampa atupe majawabu ni ukichaa.

Ushampa kazi,then unaifanya tena wewe wewe,maana yake huna akili sasa.
 
Na kazi yake anaifanya vizuri

Ushauri ni Jambo la kawaida Tu

Hata wewe unaweza kumshauri Mzee wako

Haimaanishi Kwa vile yeye ndio amekuleta duniani basi asiambiwe chochote

Na mambo hubadilika
 
Na kazi yake anaifanya vizuri

Ushauri ni Jambo la kawaida Tu

Hata wewe unaweza kumshauri Mzee wako

Haimaanishi Kwa vile yeye ndio amekuleta duniani basi asiambiwe chochote

Na mambo hubadilika
Wewe umemuajiri kwa kazi ya kufikiri na kuleta solutions ili wewe ufanye mambo mengine

Cha ajabu unarudi nyuma eti wewe ndio "mshauri"...kazi zako utafanya lini?

Stop this lamba matako politics!
 
Wewe umemuajiri kwa kazi ya kufikiri na kuleta solutions ili wewe ufanye mambo mengine

Cha ajabu unarudi nyuma eti wewe ndio "mshauri"...kazi zako utafanya lini?

Stop this lamba matako politics!

Namshauri achaane na wazee wa migomo isiyo na maana
 
Namshauri achaane na wazee wa migomo isiyo na maana
Hiyo kazi ya ushauri sasa ndio tuna tatizo nayo

Badala ujishauri mwenyewe maana huku tayari ushatoa kazi na mshahara unalipa

Migomo isiyo na maana kwako wewe sio kwa anaegoma

Maajabu unapangia wanaogoma anaegomewa cha kufanya
 
Rais alituma mwakili wake mkuu wa mkoa,

Then akatuma waziri wa secta husika

Kamati zikakaaa but still watu wanagoma

Eeh unataka serikali ifanye nn?

Let's say ww ni Rais ungefanya Jambo gani?

Yan Rais atoke ikulu aende kariakoo? No way
 
Wafanya biashara wa Kariakoo sijui sehemu ni wajanja au wakwepaji kodi wazuri sana, hivyo kelele zao ni vizuri kuziangalia kwa umakini mkubwa; Mimi nimewahi kikutana na mfanya biashara anasema bila aibu kuwa bei ninayokuuzia ni nimekupunguzia, ukweli sio, sababu bei hiyo atakayokuuzia utapata kwa bei rejareja. Wananchi msikubali kauli hizo la divyo acha nenda kwingine utapata kitu hicho kwa bei hiyo.
Hakuna m/ biashara atakuuzia kwa hasara
Serikalinavhooajidi tekelezeni ahadi lakini kelele zao zingine ni ujanja tu.
Kwanini wanapiga kelele baada ya kuanzia kuwafuatilia.
TRA acha rushwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…