Pre GE2025 Rais Samia Achangia Milioni 100 katika Ujenzi wa Kanisa la AICT

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
WhatsApp Image 2024-10-27 at 13.09.07_02be13b8.jpg
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu maendeleo na ustawi wa nchi.

Dkt. Biteko amesema hayo leo Oktoba 27, 2024 Jijini Dar es salaam wakati akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada maalum ya shukrani ya kuadhimisha miaka 50 ya Pastoreti ya AICT Magomeni.

“Mhe. Rais anakumbuka namna mnavyomshirikisha katika masuala mbalimbali yanayohusu kanisa na kwa kweli milango yake iko wazi anawakaribisha wakati wowote ili muweze kutoa maoni yenu ya namna ya tunavyoweza kuiongoza nchi yetu,” amesema Dkt. Biteko.
WhatsApp Image 2024-10-27 at 13.09.07_ed3757ec.jpg

WhatsApp Image 2024-10-27 at 13.09.06_2d812b09.jpg
Vilevile, Dkt. Biteko amesema maadhimisho ya jubilee ni kukumbuka wakati uliopita na kuangalia eneo gani lilifanyiwa kazi vizuri na lipi linahitaji kuboreshwa.

Amewahimiza waumini wa Kanisa hilo kujitoa kwa hali na mali katika kulijenga Kanisa bila kusubiri kesho “ Wito wangu kwetu tusiangalie leo tuangalie miaka 200 kanisa hili litakuwa wapi, tusisubiri kesho kwa kuwa hatuijui kesho itakuwaje. Fanya chochote unachoweza kufanya leo na kazi ya leo kisiwe kikwazo cha kazi ya kesho,” amesema Dkt. Biteko.

Fauka ya hayo, Dkt. Biteko ametoa wito kwa Kanisa hilo kuendeleza umoja miongoni mwa waumini wake na Watanzania na kusema kuwa wafuate misingi ya uanzilishwaji wake ambayo ni kujitawala, kujiendesha na kujieneza.

“ Hubirini upendo na msiruhusu mtu kutugawa wala kutubagua, Mungu ametupa nchi nzuri yenye rasilimali za kutosha, niwaombe Maaskofu na wachungaji wa Kanisa hili msivunjike moyo kusudi mliloitiwa na Mungu lisimamieni na waumini wa Kanisa hili tuwe sauti nzuri tuwasaidie viongozi wetu na tuwatie moyo,” amesisitiza Dkt. Biteko.
WhatsApp Image 2024-10-27 at 13.09.08_4f00089b.jpg
Akizungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, amelipongeza Kanisa la AICT kwa kuendelea kutoa hamasa kwa jamii na kuwakumbusha Watanzania kushiriki uchaguzi huo na kuchagua viongozi wenye sifa.

Akihubiri katika ibada hiyo, Askofu Mkuu wa AICT, Musa Magwesela amesema kuwa ibada hiyo ni muhimu kwa kuwa tangu kuanzishwa kwa Magomeni mwaka 1974 limekuwa na mchango muhimu katika kutangaza injili.

“Kuna sababu 14 za kuhubiri utukufu na maajabu ya bwana, Kanisa hili la Magomeni kwa mujibu wa Zaburi ya 96 tumetumia njia 12 kuhubiri jina la bwana, ikiwemo kutumia nyimbo,” amesema Askofu Magwesela

Askofu Magwesela ameongeza kuwa wakristo wamehimizwa kutenda matendo mema, kutumia vipaji na kutumia karama zao.

Aidha, amesema Kanisa linatambua michango ya watu mbalimbali waliyotoa wakati wakifanya kazi katika Kanisa hilo la Magomeni huku akitaja majina ya baadhi ya wachungaji waliohudumia kanisa hilo“ Wito wangu tuenzi michango ya waliohubiri utukufu na maajabu ya bwana,” amebainisha Askofu Magwesela.

Vilevile katika kuunga mkono jitihada za Rais Mhe. Dkt. Samia, Askofu Magwesela amesema kuwa Oktoba 26, 2024 Kanisa hilo limegawa mitungi 20 ya nishati safi ya kupikia kwa jamii inayozunguka Kanisa.

Sambamba na ibada hiyo, Kanisa hilo limeendesha harambee kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kanisa, ofisi na madarasa ya watoto, ambapo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 100.
 
Mkono mtupu haukambwi, Hongera SSH Kwa kusogeza madhabahu ya AICT Kwa mkono kamilifu,baraka zitakuwa Juu Yako.
 
Hivi hizi pesa huwa anazitoa wapi? Ni katika mshahara wake, posho ama kitu gani?!

Maana mara goli la mama, mara gari la shehe sasa hivi kaamua na kupooza kanisani!!

Maana hatujaambiwa kuwa ana shamba la mahindi anakotoa mipesa hii!
 
Safi sana
Sasa kuweka mzani sawa, awachangie na wasabato, Methodist, Moravian, Washia, wa simba, wa budha na wa Momon. Iandaliwe kama Billion 3 kwa ajili ya kufanikisha hili swala.
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu maendeleo na ustawi wa nchi.

Dkt. Biteko amesema hayo leo Oktoba 27, 2024 Jijini Dar es salaam wakati akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada maalum ya shukrani ya kuadhimisha miaka 50 ya Pastoreti ya AICT Magomeni.

“Mhe. Rais anakumbuka namna mnavyomshirikisha katika masuala mbalimbali yanayohusu kanisa na kwa kweli milango yake iko wazi anawakaribisha wakati wowote ili muweze kutoa maoni yenu ya namna ya tunavyoweza kuiongoza nchi yetu,” amesema Dkt. Biteko.
Vilevile, Dkt. Biteko amesema maadhimisho ya jubilee ni kukumbuka wakati uliopita na kuangalia eneo gani lilifanyiwa kazi vizuri na lipi linahitaji kuboreshwa.

Amewahimiza waumini wa Kanisa hilo kujitoa kwa hali na mali katika kulijenga Kanisa bila kusubiri kesho “ Wito wangu kwetu tusiangalie leo tuangalie miaka 200 kanisa hili litakuwa wapi, tusisubiri kesho kwa kuwa hatuijui kesho itakuwaje. Fanya chochote unachoweza kufanya leo na kazi ya leo kisiwe kikwazo cha kazi ya kesho,” amesema Dkt. Biteko.

Fauka ya hayo, Dkt. Biteko ametoa wito kwa Kanisa hilo kuendeleza umoja miongoni mwa waumini wake na Watanzania na kusema kuwa wafuate misingi ya uanzilishwaji wake ambayo ni kujitawala, kujiendesha na kujieneza.

“ Hubirini upendo na msiruhusu mtu kutugawa wala kutubagua, Mungu ametupa nchi nzuri yenye rasilimali za kutosha, niwaombe Maaskofu na wachungaji wa Kanisa hili msivunjike moyo kusudi mliloitiwa na Mungu lisimamieni na waumini wa Kanisa hili tuwe sauti nzuri tuwasaidie viongozi wetu na tuwatie moyo,” amesisitiza Dkt. Biteko.
Akizungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, amelipongeza Kanisa la AICT kwa kuendelea kutoa hamasa kwa jamii na kuwakumbusha Watanzania kushiriki uchaguzi huo na kuchagua viongozi wenye sifa.

Akihubiri katika ibada hiyo, Askofu Mkuu wa AICT, Musa Magwesela amesema kuwa ibada hiyo ni muhimu kwa kuwa tangu kuanzishwa kwa Magomeni mwaka 1974 limekuwa na mchango muhimu katika kutangaza injili.

“Kuna sababu 14 za kuhubiri utukufu na maajabu ya bwana, Kanisa hili la Magomeni kwa mujibu wa Zaburi ya 96 tumetumia njia 12 kuhubiri jina la bwana, ikiwemo kutumia nyimbo,” amesema Askofu Magwesela

Askofu Magwesela ameongeza kuwa wakristo wamehimizwa kutenda matendo mema, kutumia vipaji na kutumia karama zao.

Aidha, amesema Kanisa linatambua michango ya watu mbalimbali waliyotoa wakati wakifanya kazi katika Kanisa hilo la Magomeni huku akitaja majina ya baadhi ya wachungaji waliohudumia kanisa hilo“ Wito wangu tuenzi michango ya waliohubiri utukufu na maajabu ya bwana,” amebainisha Askofu Magwesela.

Vilevile katika kuunga mkono jitihada za Rais Mhe. Dkt. Samia, Askofu Magwesela amesema kuwa Oktoba 26, 2024 Kanisa hilo limegawa mitungi 20 ya nishati safi ya kupikia kwa jamii inayozunguka Kanisa.

Sambamba na ibada hiyo, Kanisa hilo limeendesha harambee kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kanisa, ofisi na madarasa ya watoto, ambapo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 100.
Pesa sabuni ya roho, mmelainishwa na kukubali kubandika picha ya Samia ndani ya kanisa, na ili itumike ndani ya kanisa utaratibu wake unahusu kuifanyia maombi na kuitakasa, je, hilo itafanyika!
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu maendeleo na ustawi wa nchi.

Dkt. Biteko amesema hayo Oktoba 27, 2024 Jijini Dar es salaam wakati akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada maalumu ya shukrani ya kuadhimisha miaka 50 ya Pastoreti ya AICT Magomeni.

“Mhe. Rais anakumbuka namna mnavyomshirikisha katika masuala mbalimbali yanayohusu kanisa na kwa kweli milango yake iko wazi anawakaribisha wakati wowote ili muweze kutoa maoni yenu ya namna ya tunavyoweza kuiongoza nchi yetu,” amesema Dkt. Biteko.

Vilevile, Dkt. Biteko amesema maadhimisho ya jubilee ni kukumbuka wakati uliopita na kuangalia eneo gani lilifanyiwa kazi vizuri na lipi linahitaji kuboreshwa, huku akiwahimiza waumini wa kanisa hilo kujitoa kwa hali na mali katika kulijenga Kanisa bila kusubiri kesho.

“Wito wangu kwetu tusiangalie leo tuangalie miaka 200 kanisa hili litakuwa wapi, tusisubiri kesho kwa kuwa hatuijui kesho itakuwaje. Fanya chochote unachoweza kufanya leo na kazi ya leo kisiwe kikwazo cha kazi ya kesho,” amesema Dkt. Biteko

Fauka ya hayo, Dkt. Biteko ametoa wito kwa kanisa hilo kuendeleza umoja miongoni mwa waumini wake na Watanzania na kusema kuwa wafuate misingi ya uanzilishwaji wake ambayo ni kujitawala, kujiendesha na kujieneza.

“Hubirini upendo na msiruhusu mtu kutugawa wala kutubagua, Mungu ametupa nchi nzuri yenye rasilimali za kutosha, niwaombe Maaskofu na wachungaji wa Kanisa hili msivunjike moyo, kusudi mliloitiwa na Mungu lisimamieni na waumini wa Kanisa hili tuwe sauti nzuri tuwasaidie viongozi wetu na tuwatie moyo,” amesisitiza Dkt. Biteko.

Akizungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, amelipongeza Kanisa la AICT kwa kuendelea kutoa hamasa kwa jamii na kuwakumbusha Watanzania kushiriki uchaguzi huo na kuchagua viongozi wenye sifa.

Akihubiri katika ibada hiyo, Askofu Mkuu wa AICT, Musa Magwesela amesema kuwa ibada hiyo ni muhimu kwa kuwa tangu kuanzishwa kwa Magomeni mwaka 1974 limekuwa na mchango muhimu katika kutangaza injili.

“Kuna sababu 14 za kuhubiri utukufu na maajabu ya bwana, Kanisa hili la Magomeni kwa mujibu wa Zaburi ya 96 tumetumia njia 12 kuhubiri jina la bwana, ikiwemo kutumia nyimbo,” amesema Askofu Magwesela

Askofu Magwesela ameongeza kuwa wakristo wamehimizwa kutenda matendo mema, kutumia vipaji na kutumia karama zao.

Aidha, amesema Kanisa linatambua michango ya watu mbalimbali waliyotoa wakati wakifanya kazi katika Kanisa hilo la Magomeni huku akitaja majina ya baadhi ya wachungaji waliohudumia kanisa hilo “Wito wangu tuenzi michango ya waliohubiri utukufu na maajabu ya bwana,” amebainisha Askofu Magwesela.

Vilevile katika kuunga mkono jitihada za Rais Dkt. Samia, Askofu Magwesela amesema kuwa Oktoba 26, 2024 Kanisa hilo limegawa mitungi 20 ya nishati safi ya kupikia kwa jamii inayozunguka Kanisa.

Sambamba na ibada hiyo, Kanisa hilo limeendesha harambee kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kanisa, ofisi na madarasa ya watoto, ambapo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha Shilingi milioni 100.

Chanzo cha habari hii na maneno haya ni hiki👎
Screenshot_20241027-172836_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Moderator naomba mnisaidie kurekebisha kwenye kichwa cha andiko hapo isomeke Aonyesha badala ya neno Aonyeshe
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu maendeleo na ustawi wa nchi.

Dkt. Biteko amesema hayo leo Oktoba 27, 2024 Jijini Dar es salaam wakati akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada maalum ya shukrani ya kuadhimisha miaka 50 ya Pastoreti ya AICT Magomeni.

“Mhe. Rais anakumbuka namna mnavyomshirikisha katika masuala mbalimbali yanayohusu kanisa na kwa kweli milango yake iko wazi anawakaribisha wakati wowote ili muweze kutoa maoni yenu ya namna ya tunavyoweza kuiongoza nchi yetu,” amesema Dkt. Biteko.
Vilevile, Dkt. Biteko amesema maadhimisho ya jubilee ni kukumbuka wakati uliopita na kuangalia eneo gani lilifanyiwa kazi vizuri na lipi linahitaji kuboreshwa.

Amewahimiza waumini wa Kanisa hilo kujitoa kwa hali na mali katika kulijenga Kanisa bila kusubiri kesho “ Wito wangu kwetu tusiangalie leo tuangalie miaka 200 kanisa hili litakuwa wapi, tusisubiri kesho kwa kuwa hatuijui kesho itakuwaje. Fanya chochote unachoweza kufanya leo na kazi ya leo kisiwe kikwazo cha kazi ya kesho,” amesema Dkt. Biteko.

Fauka ya hayo, Dkt. Biteko ametoa wito kwa Kanisa hilo kuendeleza umoja miongoni mwa waumini wake na Watanzania na kusema kuwa wafuate misingi ya uanzilishwaji wake ambayo ni kujitawala, kujiendesha na kujieneza.

“ Hubirini upendo na msiruhusu mtu kutugawa wala kutubagua, Mungu ametupa nchi nzuri yenye rasilimali za kutosha, niwaombe Maaskofu na wachungaji wa Kanisa hili msivunjike moyo kusudi mliloitiwa na Mungu lisimamieni na waumini wa Kanisa hili tuwe sauti nzuri tuwasaidie viongozi wetu na tuwatie moyo,” amesisitiza Dkt. Biteko.
Akizungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, amelipongeza Kanisa la AICT kwa kuendelea kutoa hamasa kwa jamii na kuwakumbusha Watanzania kushiriki uchaguzi huo na kuchagua viongozi wenye sifa.

Akihubiri katika ibada hiyo, Askofu Mkuu wa AICT, Musa Magwesela amesema kuwa ibada hiyo ni muhimu kwa kuwa tangu kuanzishwa kwa Magomeni mwaka 1974 limekuwa na mchango muhimu katika kutangaza injili.

“Kuna sababu 14 za kuhubiri utukufu na maajabu ya bwana, Kanisa hili la Magomeni kwa mujibu wa Zaburi ya 96 tumetumia njia 12 kuhubiri jina la bwana, ikiwemo kutumia nyimbo,” amesema Askofu Magwesela

Askofu Magwesela ameongeza kuwa wakristo wamehimizwa kutenda matendo mema, kutumia vipaji na kutumia karama zao.

Aidha, amesema Kanisa linatambua michango ya watu mbalimbali waliyotoa wakati wakifanya kazi katika Kanisa hilo la Magomeni huku akitaja majina ya baadhi ya wachungaji waliohudumia kanisa hilo“ Wito wangu tuenzi michango ya waliohubiri utukufu na maajabu ya bwana,” amebainisha Askofu Magwesela.

Vilevile katika kuunga mkono jitihada za Rais Mhe. Dkt. Samia, Askofu Magwesela amesema kuwa Oktoba 26, 2024 Kanisa hilo limegawa mitungi 20 ya nishati safi ya kupikia kwa jamii inayozunguka Kanisa.

Sambamba na ibada hiyo, Kanisa hilo limeendesha harambee kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kanisa, ofisi na madarasa ya watoto, ambapo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 100.

Uchaguzi tu katoa wapi pesa ! Ni za mshahara mbona hili swali linakuwa gumu
 
Rushwa hadi kwenye nyumba za ibada,kwa chaguzi hizi tutashuhudia kila aina ya uozo ili mradi kulazimisha kupendwa.
 
Mkishaanza kuingiza mambo yenu ya rushwa kwenye nyumba za ibada kwa kisingizio cha kuchangia, mtatuletea shida ya kiimani sisi waumini siku zijazo.
 
Back
Top Bottom