peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Asije akajisahau akateua akiwa Msumbiji na kuwaita kuapisha BulawayoNi mkutano wa wakuu wa nchi hakuna sababu ya kutumatuma wawakilishi, kama anayo nafasi hata ikitokea mikutao 1000 mwacheni akahudhurie ni sehemu ya majukumu yake ya msingi!
ALL THE BEST MADAM PRESIDENT!
Na itafika mpaka TarakeaNikiona SSH ameweza kuitekeleza ilani ya CCM 2020- 2025 basi SGR itaweza kutoka Dar - kigoma - mwanza.
Mkuu Sasa huu ni utani wa ngumi kabisaa huu yaani Chalamila kweliiππππMwendazake hapo asingeenda, angemtuma Chalamila amuwakilishe
Anaandaliwa safari ya dharura kwenda msumbiji Huko hazina na Bot wanafanya yao. Nimemkumbuka Luhanjo alikuwa anamuandalia JK safari za nje kila mwezi Huku nyumba Luhanjo anaendelea kuteua DED na RC na kupokea chake na kuweka mfukoni. Luhanjo hakuwalhi kwenda likizo Wala kwenda kwao.Asije akajisahau akateua akiwa Msumbiji na kuwaita kuapisha Bulawayo
Aweke lami barabara ya geita kwenda kahama tu kama atawezaNa itafika mpaka Tarakea
Zitapigwa snAnaandaliwa safari ya dharura kwenda msumbiji Huko hazina na Bot wanafanya yao. Nimemkumbuka Luhanjo alikuwa anamuandalia JK safari za nje kila mwezi Huku nyumba Luhanjo anaendelea kuteua DED na RC na kupokea chake na kuweka mfukoni. Luhanjo hakuwalhi kwenda likizo Wala kwenda kwao.
Yupo busy na teuzi + safariAweke lami barabara ya geita kwenda kahama tu kama ataweza
Kuna kukaimisha na kukasimisha. Unamaanisha kipi?Huyu mama hakaimishi? ndani ya miezi 3 ameshatoka zaidi ya mara 5
Gharama ukilinganisha na hali ya usalam kaskazin mwa msumbiji na kusini mwa Tz?Tuna angalia gharama mkuu
Itawekwa kwanza ya Mwanangwa, Missungwi---Kahama via Misasi.Aweke lami barabara ya geita kwenda kahama tu kama ataweza
Ni ndotoItawekwa kwanza ya Mwanangwa, Missungwi ---- Kahama via Misasi.
Siku 90 siku alizokaa nje hazizidi 7Huyu mama hakaimishi? ndani ya miezi 3 ameshatoka zaidi ya mara 5
π π π π π JF bana..Dahhh!!Mwendazake hapo asingeenda, angemtuma Chalamila amuwakilishe
Endelea kuota hivyohivyo, Kama hujui hata ziara ya juzijuzi hapa mkoani Mwanza Rais aliizungumzia hiyo barabara.Ni ndoto
Gharama alizokuwa anatumia mwendazake mbona zinalingangana tu mkuuTuna angalia gharama mkuu
Usiandike "marehemu"?Rekebisha,andika hayati.Jamaa wale wa MATAGA watanuna!ππππMarehemu alikuwa muoga
Nataka wanuneUsiandike "marehemu"?Rekebisha,andika hayati.Jamaa wale wa MATAGA watanuna![emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Huku kijijini kwetu hatuwezi kutamka "marehemu".Tunatamka "maliyemu"!ππππNataka wanune
Mungu fundi sanaHuku kijijini kwetu hatuwezi kutamka "marehemu".Tunatamka "maliyemu"![emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]