Rais Samia aenda Msumbiji kwa kikao cha dharura cha SADC

Nikiona SSH ameweza kuitekeleza ilani ya CCM 2020- 2025 basi SGR itaweza kutoka Dar - kigoma - mwanza.
 
Ni mkutano wa wakuu wa nchi hakuna sababu ya kutumatuma wawakilishi, kama anayo nafasi hata ikitokea mikutao 1000 mwacheni akahudhurie ni sehemu ya majukumu yake ya msingi!
ALL THE BEST MADAM PRESIDENT!
Asije akajisahau akateua akiwa Msumbiji na kuwaita kuapisha Bulawayo
 
Anaandaliwa safari ya dharura kwenda msumbiji Huko hazina na Bot wanafanya yao. Nimemkumbuka Luhanjo alikuwa anamuandalia JK safari za nje kila mwezi Huku nyumba Luhanjo anaendelea kuteua DED na RC na kupokea chake na kuweka mfukoni. Luhanjo hakuwalhi kwenda likizo Wala kwenda kwao.
 
Zitapigwa sn
 
Back
Top Bottom