Rais Samia aendelea kuifungua Tanzania, kuanza ziara ya kikazi Nchini India

Rais Samia aendelea kuifungua Tanzania, kuanza ziara ya kikazi Nchini India​


Atakaye niwekea kilichoifanya Tanzania kufungiwa, nani aliyoifungia[tusichoshanye, weka sheria iliotamka Tanzania imefungiwa]Tarehe au Siku ilipotangazwa, na kwanini au sababu gani ilifungiwa, nitaweka picha ya Vibwengo wakiendesha Lori.

Haya matamshi yakuwa Tanzania imefunguliwa yanatoka wapi, yanaashiria kitu gani na yana lengo la kutaka nini haswa?

Je, yapo matamshi kuwa Tanzania "imefungwa" au "kufungiwa" mahali popote pale?

e.g Gazeti la Serikali, Waraka wa Bunge, Hukumu ya Mahakama, tamko la Raisi au kitu chochote kile kinachofanana na hayo, kuashiria Tanzania imefungwa?

Kusema Raisi Samia aendelea kuifungua Tanzania ina maana gani haswa kama sio kunyanyasa Wananchi?

Naombeni jibu, tafadhali.
 
Nitajie Mwekezaji mkubwa aliyefunga Biashara.
Kama umeweza kuingia hapa jukwaani basi naamini huwezi kushindwa kupata taarifa za wawekezaji mbalimbali waliofunga Biashara zao kipindi cha Corona.
 
Una elimu gani?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania inashirikiana na India katika mambo mbalimbali sana .India pia limekuwa soko kubwa sana kwa baadhi ya mazao yetu yanayodhalishwa hapa nchini.
Mbona sijawahi kusikia Kiongozi yeyote kutoka bara lingine akija hapa nchini Na kufanya mikutano na wafanyabiashara wetu Wa ndani kwa nia ya kuwavutia kwao?! Tatizo ni nini?; Sisi tumeumbwa kuwavutia wawekezaji kutoka nje lkn sisi siyo wa kuvutiwa huko nje?
Halafu linakuja lipumbavu moja hapa JF kifua mbele kusifia tabia ya kunadinadi nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…