Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndungu zangu watanzania,
Rais Samia Amewateka watanzania,Amegusa mioyo ya watanzania, Amepanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania,Amewasha furaha katika mioyo ya wote, Watanzania Wana Tabasamu muda wote,wanacheka na kufurahi bila kujari itikadi za kisiasa.
Nchi Ina Tabasamu na kuchanua kila Kona ,amani kila eneo na usalama kila sehemu, Hakuna kushutumiana Wala kulaumiana,kila mtu anaona kuwa Tanzania Ni yetu sote na lolote lifanyikalo ni kwa Nia njema kwa Taifa letu,watu wanabishana kwa hoja na kukosoana kwa hoja na kuachana kwa amani baada ya mazungumzo.
Rais Samia kawaunganisha watanzania Kama zege lililokauka,Ni Samia kila mahali Ni mama kila mahali Ni Rais wetu kila Kona,Nchi inapendeza kwa furaha na vicheko, Nchi inasonga kwa amani,hakuna anayeachwa nyuma katika meza ya chakula Cha Taifa.
Rais Samia Ni mpakwa mafuta aliye pewa kibali na Mwenyezi MUNGU kututumikia watanzania, Mwenyezi MUNGU kampa Rais Samia Maarifa na Njia ya kuliongoza Taifa hili ndio sababu ya kuona umoja wa kitaifa ukiwa imara na madhubuti na kuwa na utulivu wakati wote.
IPO Siku watanzania kwa umoja wetu bila kujali itikadi zetu za kisiasa tutaandamana kila pembe ya Taifa Hili kumsindikiza Rais Samia kuchukua fomu ya kugombea Urais huku tukisukuma gari lake kwa mikono yetu na kuimba nyimbo za kumsifu kwa ujasiri,uhodari , ushupavu umadhubuti na uzalendo wake katika kuliongoza Taifa letu wakati wote.
Wabarikiwe Sanaa wazazi walio mzaa ,kumlea ,kumkuza na kumfundisha mama Samia utu na upendo kwa binadamu wote, Hakika Rais Samia alizaliwa Tanzania Kama zawadi kwetu watanzania katika kutuletea Tabasamu na furaha mioyoni mwetu na kujenga umoja wetu wa kitaifa ulio imara na madhubuti. Hatuna budi kumuunga mkono na kumtia moyo na kumpa faraja kwa kazi nguma na ya kizalendo anayoifanya katika kuijenga nchi yetu.
Tuendelee kumwombea Rais wetu Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania. Tuendelee kwa unyenyekevu mkubwa kumwomba Mwenyezi Mungu ili awe mlinzi wa maisha ya Rais wetu na kumlinda na kumpigania wakati wote.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627