Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndungu zangu watanzania,
Rais Samia Amewateka watanzania,Amegusa mioyo ya watanzania, Amepanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania,Amewasha furaha katika mioyo ya wote, Watanzania Wana Tabasamu muda wote,wanacheka na kufurahi bila kujari itikadi za kisiasa.
Nchi Ina Tabasamu na kuchanua kila Kona ,amani kila eneo na usalama kila sehemu, Hakuna kushutumiana Wala kulaumiana,kila mtu anaona kuwa Tanzania Ni yetu sote na lolote lifanyikalo ni kwa Nia njema kwa Taifa letu,watu wanabishana kwa hoja na kukosoana kwa hoja na kuachana kwa amani baada ya mazungumzo.
Rais Samia kawaunganisha watanzania Kama zege lililokauka,Ni Samia kila mahali Ni mama kila mahali Ni Rais wetu kila Kona,Nchi inapendeza kwa furaha na vicheko, Nchi inasonga kwa amani,hakuna anayeachwa nyuma katika meza ya chakula Cha Taifa.
Rais Samia Ni mpakwa mafuta aliye pewa kibali na Mwenyezi MUNGU kututumikia watanzania, Mwenyezi MUNGU kampa Rais Samia Maarifa na Njia ya kuliongoza Taifa hili ndio sababu ya kuona umoja wa kitaifa ukiwa imara na madhubuti na kuwa na utulivu wakati wote.
IPO Siku watanzania kwa umoja wetu bila kujali itikadi zetu za kisiasa tutaandamana kila pembe ya Taifa Hili kumsindikiza Rais Samia kuchukua fomu ya kugombea Urais huku tukisukuma gari lake kwa mikono yetu na kuimba nyimbo za kumsifu kwa ujasiri,uhodari , ushupavu umadhubuti na uzalendo wake katika kuliongoza Taifa letu wakati wote.
Wabarikiwe Sanaa wazazi walio mzaa ,kumlea ,kumkuza na kumfundisha mama Samia utu na upendo kwa binadamu wote, Hakika Rais Samia alizaliwa Tanzania Kama zawadi kwetu watanzania katika kutuletea Tabasamu na furaha mioyoni mwetu na kujenga umoja wetu wa kitaifa ulio imara na madhubuti. Hatuna budi kumuunga mkono na kumtia moyo na kumpa faraja kwa kazi nguma na ya kizalendo anayoifanya katika kuijenga nchi yetu.
Tuendelee kumwombea Rais wetu Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania. Tuendelee kwa unyenyekevu mkubwa kumwomba Mwenyezi Mungu ili awe mlinzi wa maisha ya Rais wetu na kumlinda na kumpigania wakati wote.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Huyu ni mpumbavu,mijitu ya namna hii niliwahi kuiona kipindi cha nyuma kidogo ,kumbe kizazi hiki cha wapumbavu na namna hiyo bado kipo.Ameupanda kutokana na matendo na kauli zake kwa kuongoza njia na kuwa mfano kimatendo na kimaneno katika kukupenda Taifa letu,Ndio sababu ya kuona watanzania bila kujali itikadi za vyama vyetu wakihubiri Aman na mshikamano miongoni mwetu,kila mtu analitanguliza mbele Taifa kabla ya maslahi yetu binafsi,Hii yote ni kutokana na Rais Samia kujenga uchumi unaomgusa kila mtu,kuimarisha na kusitawisha demokrasia hapa nchini,kusikiliza sauti za watu wote,kutenda haki kwa haki kwa watu wote.
Tuliza kichwa ndugu yangu ndio uje uandike Tena hapa maana naona umejaa mihemuko tu ,hoja hujibiwa kwaa hoja na siyo vihojaHuyu ni mpumbavu,mijitu ya namna hii niliwahi kuiona kipindi cha nyuma kidogo ,kumbe kizazi hiki cha wapumbavu na namna hiyo bado kipo.
Kilimo Ni Biashara,acha wakulima wafaidike na jasho lao baada ya kumpata mkombozi wao mh Rais mama Samia aliyekuja kuwafuta machozi baada ya kutambua kazi kubwa wanayoifanya katika kulilisha Taifa.Labda amepandikiza tabasamu kwenu nyie chawa. Nani wa kufurahi kwa kilo ya mchele 3,500?
Nadhani umekosea jina lako. We ni Lucas MSHAMBA! Naona unakomaa kuusaka uteuzi.Ndungu zangu watanzania,
Rais Samia Amewateka watanzania,Amegusa mioyo ya watanzania, Amepanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania,Amewasha furaha katika mioyo ya wote, Watanzania Wana Tabasamu muda wote,wanacheka na kufurahi bila kujari itikadi za kisiasa.
Nchi Ina Tabasamu na kuchanua kila Kona ,amani kila eneo na usalama kila sehemu, Hakuna kushutumiana Wala kulaumiana,kila mtu anaona kuwa Tanzania Ni yetu sote na lolote lifanyikalo ni kwa Nia njema kwa Taifa letu,watu wanabishana kwa hoja na kukosoana kwa hoja na kuachana kwa amani baada ya mazungumzo.
Rais Samia kawaunganisha watanzania Kama zege lililokauka,Ni Samia kila mahali Ni mama kila mahali Ni Rais wetu kila Kona,Nchi inapendeza kwa furaha na vicheko, Nchi inasonga kwa amani,hakuna anayeachwa nyuma katika meza ya chakula Cha Taifa.
Rais Samia Ni mpakwa mafuta aliye pewa kibali na Mwenyezi MUNGU kututumikia watanzania, Mwenyezi MUNGU kampa Rais Samia Maarifa na Njia ya kuliongoza Taifa hili ndio sababu ya kuona umoja wa kitaifa ukiwa imara na madhubuti na kuwa na utulivu wakati wote.
IPO Siku watanzania kwa umoja wetu bila kujali itikadi zetu za kisiasa tutaandamana kila pembe ya Taifa Hili kumsindikiza Rais Samia kuchukua fomu ya kugombea Urais huku tukisukuma gari lake kwa mikono yetu na kuimba nyimbo za kumsifu kwa ujasiri,uhodari , ushupavu umadhubuti na uzalendo wake katika kuliongoza Taifa letu wakati wote.
Wabarikiwe Sanaa wazazi walio mzaa ,kumlea ,kumkuza na kumfundisha mama Samia utu na upendo kwa binadamu wote, Hakika Rais Samia alizaliwa Tanzania Kama zawadi kwetu watanzania katika kutuletea Tabasamu na furaha mioyoni mwetu na kujenga umoja wetu wa kitaifa ulio imara na madhubuti. Hatuna budi kumuunga mkono na kumtia moyo na kumpa faraja kwa kazi nguma na ya kizalendo anayoifanya katika kuijenga nchi yetu.
Tuendelee kumwombea Rais wetu Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania. Tuendelee kwa unyenyekevu mkubwa kumwomba Mwenyezi Mungu ili awe mlinzi wa maisha ya Rais wetu na kumlinda na kumpigania wakati wote.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Sawa mkuu nashukuru kwa kubadilisha jina langu katika akili yako lakini katika uhalisia linabaki kuwa Lucas Hebel MwashambwaNadhani umekosea jina lako. We ni Lucas MSHAMBA! Naona unakomaa kuusaka uteuzi.
Wewe utakua wale wahuni dili zao sasa zinateleza tu. Pomoja na hii inflation wewe unasema watu wana tabasamu? Tabasamu gani? Gharama ya vyakula zimepanda zaidi ya asilimia 100 wewe huoni?Ndungu zangu watanzania,
Rais Samia Amewateka watanzania,Amegusa mioyo ya watanzania, Amepanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania,Amewasha furaha katika mioyo ya wote, Watanzania Wana Tabasamu muda wote,wanacheka na kufurahi bila kujari itikadi za kisiasa.
Nchi Ina Tabasamu na kuchanua kila Kona ,amani kila eneo na usalama kila sehemu, Hakuna kushutumiana Wala kulaumiana,kila mtu anaona kuwa Tanzania Ni yetu sote na lolote lifanyikalo ni kwa Nia njema kwa Taifa letu,watu wanabishana kwa hoja na kukosoana kwa hoja na kuachana kwa amani baada ya mazungumzo.
Rais Samia kawaunganisha watanzania Kama zege lililokauka,Ni Samia kila mahali Ni mama kila mahali Ni Rais wetu kila Kona,Nchi inapendeza kwa furaha na vicheko, Nchi inasonga kwa amani,hakuna anayeachwa nyuma katika meza ya chakula Cha Taifa.
Rais Samia Ni mpakwa mafuta aliye pewa kibali na Mwenyezi MUNGU kututumikia watanzania, Mwenyezi MUNGU kampa Rais Samia Maarifa na Njia ya kuliongoza Taifa hili ndio sababu ya kuona umoja wa kitaifa ukiwa imara na madhubuti na kuwa na utulivu wakati wote.
IPO Siku watanzania kwa umoja wetu bila kujali itikadi zetu za kisiasa tutaandamana kila pembe ya Taifa Hili kumsindikiza Rais Samia kuchukua fomu ya kugombea Urais huku tukisukuma gari lake kwa mikono yetu na kuimba nyimbo za kumsifu kwa ujasiri,uhodari , ushupavu umadhubuti na uzalendo wake katika kuliongoza Taifa letu wakati wote.
Wabarikiwe Sanaa wazazi walio mzaa ,kumlea ,kumkuza na kumfundisha mama Samia utu na upendo kwa binadamu wote, Hakika Rais Samia alizaliwa Tanzania Kama zawadi kwetu watanzania katika kutuletea Tabasamu na furaha mioyoni mwetu na kujenga umoja wetu wa kitaifa ulio imara na madhubuti. Hatuna budi kumuunga mkono na kumtia moyo na kumpa faraja kwa kazi nguma na ya kizalendo anayoifanya katika kuijenga nchi yetu.
Tuendelee kumwombea Rais wetu Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania. Tuendelee kwa unyenyekevu mkubwa kumwomba Mwenyezi Mungu ili awe mlinzi wa maisha ya Rais wetu na kumlinda na kumpigania wakati wote.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Kwa Bei ya mbolea iliyokuwepo msimu uliopita ulitaka mahindi au sembe yauzwe kwa shilingi ngapi? Tanzania ya Rais Samia inafanya vizuri Sana katika kukabiliana na suala la mfumuko wa beiWewe utakua wale wahuni fili zao sasa zinateleza tu. Pomoja na hii inflstion wewe unasema watu wana tabasamu? Tabasamu gani? Gharama ya vyakula zimepanda karibu kwa adilimia 100 wewe huoni?
Kilimo Ni Biashara,acha wakulima wafaidike na jasho lao baada ya kumpata mkombozi wao mh Rais mama Samia aliyekuja kuwafuta machozi baada ya kutambua kazi kubwa wanayoifanya katika kulilisha Taifa.