Rais Samia aendelea kupandikiza tabasamu katika mioyo ya Watanzania

Labda amepandikiza tabasamu kwenu nyie chawa. Nani wa kufurahi kwa kilo ya mchele 3,500?
 
Huyu ni mpumbavu,mijitu ya namna hii niliwahi kuiona kipindi cha nyuma kidogo ,kumbe kizazi hiki cha wapumbavu na namna hiyo bado kipo.
 
Huyu ni mpumbavu,mijitu ya namna hii niliwahi kuiona kipindi cha nyuma kidogo ,kumbe kizazi hiki cha wapumbavu na namna hiyo bado kipo.
Tuliza kichwa ndugu yangu ndio uje uandike Tena hapa maana naona umejaa mihemuko tu ,hoja hujibiwa kwaa hoja na siyo vihoja
 
Labda amepandikiza tabasamu kwenu nyie chawa. Nani wa kufurahi kwa kilo ya mchele 3,500?
Kilimo Ni Biashara,acha wakulima wafaidike na jasho lao baada ya kumpata mkombozi wao mh Rais mama Samia aliyekuja kuwafuta machozi baada ya kutambua kazi kubwa wanayoifanya katika kulilisha Taifa.
 
Nadhani umekosea jina lako. We ni Lucas MSHAMBA! Naona unakomaa kuusaka uteuzi.
 
Nadhani umekosea jina lako. We ni Lucas MSHAMBA! Naona unakomaa kuusaka uteuzi.
Sawa mkuu nashukuru kwa kubadilisha jina langu katika akili yako lakini katika uhalisia linabaki kuwa Lucas Hebel Mwashambwa
 
Wewe utakua wale wahuni dili zao sasa zinateleza tu. Pomoja na hii inflation wewe unasema watu wana tabasamu? Tabasamu gani? Gharama ya vyakula zimepanda zaidi ya asilimia 100 wewe huoni?
 
Wewe utakua wale wahuni fili zao sasa zinateleza tu. Pomoja na hii inflstion wewe unasema watu wana tabasamu? Tabasamu gani? Gharama ya vyakula zimepanda karibu kwa adilimia 100 wewe huoni?
Kwa Bei ya mbolea iliyokuwepo msimu uliopita ulitaka mahindi au sembe yauzwe kwa shilingi ngapi? Tanzania ya Rais Samia inafanya vizuri Sana katika kukabiliana na suala la mfumuko wa bei
 
Kilimo Ni Biashara,acha wakulima wafaidike na jasho lao baada ya kumpata mkombozi wao mh Rais mama Samia aliyekuja kuwafuta machozi baada ya kutambua kazi kubwa wanayoifanya katika kulilisha Taifa.

Kwani waliopandisha bei ya chakula ni wakulima, au walanguzi? Unakwama wapi chawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…