Rais Samia aendelea na ziara mkoani Mbeya

Rais Samia aendelea na ziara mkoani Mbeya

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
MHE. RAIS SAMIA ANAENDELEA NA ZIARA MKOANI MBEYA. LEO NI ZAMU YA CHUNYA, KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO.

Leo Jumamosi Agosti 06, 2022 Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anaingia siku ya Pili ya ziara yake Mkoani Mbeya aliyoianza Jana. Leo ni zamu ya Wilaya ya Chunya ambapo Rais Samia atazindua Miradi mbalimbali ya maendeleo.

Yote ni kuanzia Saa 4 asubuhi hii na utafuatilia Matangazo haya Mbashara kupitia Redio, Televisheni na Mitandao ya Kijamii ya Ikulu Tanzania, CCM na kadhalika.

#KaziInaendelea
#TunaImaninaRaisSamia
 
Wavaa kobazi wa zenjibia wanafurahia mwaka mpya wa dini ya kiarabu kuliko kuchapa kazi.
 
Back
Top Bottom