Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

Hebu tuwataje walioteuliwa na rais:-
Mbarawa
Chamriho
Polepole
Bashiru
Stergomena
Mulamula
Angela Kairuki
...
......
......
.....
.......
.ongezeeni na ninyi
Polepole mtoe, alafu ongezea hawa , jumla wanakua 10

Shamsi Vuai
Dorothy Gwajima
Prof.Shukrani Manya
Riziki Lulida
 
Kuteua na kutengua ni jadi yetu Tanzania.

MulaMula alikuwa anafuatilia sana swala la uraia pacha, nadhani hilo ni moja ya yaliyomponza ingawa yanaweza kuwapo mengine.
 
Bab ake alikuwa mshikaji wake na jiwe Sana ndio mnk jiwe kambeba juu kwa juu nae mam kaingia mzim mzima

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi mkuu. Yaani Jiwe alikuwa rafiki sana na Baba yake bashungwa. Hivyo baba yake alilipenyeza jina lake kwa jiwe enzi hizo yaani kiufupi ni connection kati ya Baba inno na jiwe ndio ilimbeba Na huyo inno akatoka usa, kisha akazugazuga hapo wizarani kuna kazi fulani alikuwa nayo hapo na kampuni fulani hivi , huku mke wake alikuwa maarufu kama Mama alaska, halafu kupitia connection ya baba yake jamaa akawa mbunge wa karagwe, kisha waziri. Ndio mpaka leo hii.






Achana na Connection. Ni kitu kingine kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
Mwigulu yupo?
Mama, mama mamaaaa sikia kilio chetu, muondoe mwigulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…