Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Halafu??? Vilaza mpo wengi sanaAcha kukosoa!!! Mbona na wewe umeandika ALAFU badala ya halafu kilaza wahed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu??? Vilaza mpo wengi sanaAcha kukosoa!!! Mbona na wewe umeandika ALAFU badala ya halafu kilaza wahed
Ok
Polepole mtoe, alafu ongezea hawa , jumla wanakua 10Hebu tuwataje walioteuliwa na rais:-
Mbarawa
Chamriho
Polepole
Bashiru
Stergomena
Mulamula
Angela Kairuki
...
......
......
.....
.......
.ongezeeni na ninyi
Kuteua na kutengua ni jadi yetu Tanzania.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Aidha, Mhe. Tax anachukua nafasi ya Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Awali Mhe. Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Mawaziri wote hao walioteuliwa wataapishwa tarehe 03 Oktoba, 2022 saa 3:00 asubuhi Ikulu Jijini Dares Salaam.
View attachment 2375256
Upo sahihi mkuu. Yaani Jiwe alikuwa rafiki sana na Baba yake bashungwa. Hivyo baba yake alilipenyeza jina lake kwa jiwe enzi hizo yaani kiufupi ni connection kati ya Baba inno na jiwe ndio ilimbeba Na huyo inno akatoka usa, kisha akazugazuga hapo wizarani kuna kazi fulani alikuwa nayo hapo na kampuni fulani hivi , huku mke wake alikuwa maarufu kama Mama alaska, halafu kupitia connection ya baba yake jamaa akawa mbunge wa karagwe, kisha waziri. Ndio mpaka leo hii.Bab ake alikuwa mshikaji wake na jiwe Sana ndio mnk jiwe kambeba juu kwa juu nae mam kaingia mzim mzima
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Aidha, Mhe. Tax anachukua nafasi ya Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Awali Mhe. Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Mawaziri wote hao walioteuliwa wataapishwa tarehe 03 Oktoba, 2022 saa 3:00 asubuhi Ikulu Jijini Dares Salaam.
View attachment 2375256
Diplomasia inaendana na uhusika wa nchi na watu wakeMama Mula Mula mwanadiplomasia nguli kapumzishwa
😂Huyu Bashungwa ndo ulinzi ? Haya
Taste za maza anazijua mwenyeweIla hapo kwa anjela tumepigwa 😂😂😂
Mimi nahisi zile tetesi kwamba baba riz1 anacontrol kila kitu, nahisi ni kweli. Maana huwa anapenda kurecycle sana 😂😂Taste za maza anazijua mwenyewe
Sasa mbona kama unalia ?Hivi yule mzee aliyekua katibu mkuu TAMISEMI enzi za JPM, nafikiri jina lake ni Joseph Nyamhanga, akasimamia miradi kibao ambayo ndiyo inayozinduliwa sasa, mbona kama wamempotezea,
Kweli tenda wema nenda zako
Mwigulu yupo?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Aidha, Mhe. Tax anachukua nafasi ya Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Awali Mhe. Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Mawaziri wote hao walioteuliwa wataapishwa tarehe 03 Oktoba, 2022 saa 3:00 asubuhi Ikulu Jijini Dares Salaam.
View attachment 2375256
Hapo ulinzi mhhhh.Na kaz zote zile
Bashungwa waziri wa ulinz mhh kumekucha
Wanapeana zamu ya kulamba asali 😂Ukisikia haya mabadiliko unaweza fikri serikali IPO serious kuachieve jambo Fulani., kumbe ni hakuna lolote LA maana zaidi ya kuzinguana tu.