Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Atamuondoa je wakati tozo ni matakwa yake?Huyu mvaa tai ya bendera kamuachaje licha ya kelele za watozwa tozo? Basi sawa, acha Ile kauli ya Hichilema wa kule Zambia ijisimike vyema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atamuondoa je wakati tozo ni matakwa yake?Huyu mvaa tai ya bendera kamuachaje licha ya kelele za watozwa tozo? Basi sawa, acha Ile kauli ya Hichilema wa kule Zambia ijisimike vyema!
Mganga wa Dk. Mwigulu Nchemba si wa mchezo mchezo kwani Kaupiga mwingi kwa Ndumba na Mama Kamsahau kabisa Kumtumbua.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Aidha, Mhe. Tax anachukua nafasi ya Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Awali Mhe. Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Mawaziri wote hao walioteuliwa wataapishwa tarehe 03 Oktoba, 2022 saa 3:00 asubuhi Ikulu Jijini Dares Salaam.
View attachment 2375256
Swali la kujiuliza ni, who is Bashungwa? Kwa nini aliaminiwa tangu enzi za mwendazake hadi kwa mama anazidi kuaminiwa? Mkuu MALCOM LUMUMBA msaada tafadhali..Hapo pa Bashungwa...mmmh!!!
Labda mwadilifuSwali la kujiuliza ni, who is Bashungwa? Kwa nini aliaminiwa tangu enzi za mwendazake hadi kwa mama anazidi kuaminiwa? Mkuu MALCOM LUMUMBA msaada tafadhali..
Uteuzi wa mama ni wa hovyo hovyo sana.sjui ni kwanini ila tangu enzi za jpm sielewi mantiki ya hizi teuzi za miezi sita sita. ukikaa ukitazama kwa umakini zimekaa kama nafasi ya kumtega mtu kimahaba kisha mkichukizana umuweke pemebni upate marafiki wengine wa kuwatega
Kwani iliiuwaje?Hapo ndio ujue Magufuli alikuwa Mwamba haswa. Hakuwahi kumkubali huyu Mama Mulamula.
Kuna kitu niliandika alafu nikafutaAnaenda kusoma magazeti kule maana wizara itaongozwa na cdf
Sio balaza ni baraza wewe kilaza. Alafu unasema baraza halipo sawa wewe Kama nan?
Kupanda yutong na kutomzuia mpiga pichaMula mula kakosana na mama wapi tena
Acha kukosoa!!! Mbona na wewe umeandika ALAFU badala ya halafu kilaza wahedSio balaza ni baraza wewe kilaza. Alafu unasema baraza halipo sawa wewe Kama nan?
Hivi mbunge akiteuliwa si anatakiwa kula kwanza kiapo cha ubunge?
Halafu, hadi sasa idadi ya wabunge wa kuteuliwa imefikia ngapi? Ukijumlisha wale wa JPM + 19 (Halima mdee et al)
Je, Mulamula anaendelea kuwa mbunge na kupokea posho za ubunge au anarudi kwenye nafasi yake ya hapo awali kabla ya uteuzi?
Inawezekana pia ameandika "out of talent" yaaani yupo gifted kama Messi kwenye soccer.Haaahaa mkuu kwa hiyo heading itakuwa umesoma MASCOM.