Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Unaeza kuta huo ndio ukawa mlango wa kutokeaInaonekana bashungwa sio wa kisport sport...inaonekana system inamuelewa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaeza kuta huo ndio ukawa mlango wa kutokeaInaonekana bashungwa sio wa kisport sport...inaonekana system inamuelewa sana
Kiapo ni bungeni Dodoma tu na ni ndani ya bungeNi sahihi kabisa. Lazima kwanza ale kiapo cha kuwa Mbunge.
Hilo litawezekana, atakula kiapo katika ofisi ndogo za Bunge Dar es Salaam kisha kuwahi katika uapisho wa kuwa Waziri.
Kwahiyo malamula amebadilishiwa kazi kapewa ipi?Mimi naona ni kawaida tu ni swala la kubadilishana majukumu.
Na sio kwenye gereji ya bunge kama walivyoapishwa wale covid19.Kiapo ni bungeni Dodoma tu na ni ndani ya bunge
Utendaji ofisini hauhitaji midomomidomoYaani bashungwa Domo Zito ndio WU?
Hkn wizara rahis Kama ulinzi. Kule hakuhitaj makelele kila Kitu kinafanywa na vyombo vya ulinzi, we kusimamia sera tu. Huko kampeleka mwanae Kula bata. Aache kukimbizana na wakuu wa idara Huku vs wakurugenzStergomena alikuwa anasifiwa sana imekuwaje? Mulamula sidhani kama siasa anaziweza ila kihoja ni Bashungwa kuwa waziri wa ulinzi.
Ningekua samia huyo kairuki angebadilishana na jafo. Jafo anaimudu sana TAMISEMI sema ndo hivyo rais akiona unakua maarufu kumzidi lazima akutoe hapoNawaza kwamba ni kweli Kairuki ataiweza wizara ya TAMISEMI??
Nchi hii naona inauhaba sana wa watu wanazunguka walewale wanatenguana na kuteuana tena walewale ni kazunguko tu
Jafo angefaa tatizo rais akiona unamzidi umaarufu anakutoa fasta.Kwa Mulamula nadhani alizidi kupoa sana na Siasa inataka mashamsham haswa ya awamu hizi tokea JPM.
Naona kama Mama Tax ulinzi palimfaa zaidi lakini Bashungwa atakuwa ana nyota kali sana au kapiga maji yale ya ziwa victoria sio kwa kuaminiwa huko.
Ila Tamisemi mi naona Kairuki japokuwa aliwahi kufanya kazi huko enzinza nyuma lakini viatu hamvimtoshi. Plae palimfaa sana mtu kama Jafo, Polepole.
Unaweza fananisha tamisemi na ulinzi?? Huku ulinzi ni Kula bata tu, Kazi hamna Kama tamisemi. Amewekwa sehemu Sahihi kulingana na uwezo na jinsi alivyoTulishasema hapa kuhusu Bushungwa kuwa TAMISEMI haiwezi na ninasema tena huko kwenye wizara ya ulinzi ndiyo hapawezi kabisaa.
Ukishakuwa mbunge wa kuteuliwa mteuzi wako hawezi kukuondoa labda akteue kwa nafasi nyingine nje ya bunge kama alivyofanya kwa PolepoleHakuwa na jipya zaidi ya kuchekacheka tu
Ubunge wake sijui anabaki nao au nao karejesha
Jafo 2015-2020 mbona alifeli pakubwa. Mi naona hiyo wizara irudishwe chini ya waziri mkuu. TAMISEMI chini ya Jafo ilionekana vile kwa sababu mjomba ndo alifanya kila kitu ( kama waziri mwenye dhamana) lakini chini ya mama mwenye kuhitaji ughatuzi wa madaraka hakuna atakaeiweza. Ko ikisharudi chini ya waziri mkuu ndo atawajibika sana kama alivyofanya mjomba.Jafo angefaa tatizo rais akiona unamzidi umaarufu anakutoa fasta.
Kila mmoja ana mtizamo wake mi binafsi utendaji wa jafo niliukubali awe chini ya OWM au ORJafo 2015-2020 mbona alifeli pakubwa. Mi naona hiyo wizara irudishwe chini ya waziri mkuu. TAMISEMI chini ya Jafo ilionekana vile kwa sababu mjomba ndo alifanya kila kitu ( kama waziri mwenye dhamana) lakini chini ya mama mwenye kuhitaji ughatuzi wa madaraka hakuna atakaeiweza. Ko ikisharudi chini ya waziri mkuu ndo atawajibika sana kama alivyofanya mjomba.
Mulamula kakosea wapi?Kairuki ataweza kweli Tamisemi ?
Ha ha ha..wabongoKazinguana na shoga yake
Ila bado anaendelea kuaminiwa.. I see!Bado namuonaga mvivu na Hana exposure ya Kaz anazopewamnk kila wizara inamshinda
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
You-ulimi ya ng'ambo haiwezi kumuacha salama!Mula Mula amewekwa bench?