Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Kule kumpandisha bus,
Mula mula kakosana na mama wapi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mula mula kakosana na mama wapi tena
Mula mula kakosana na mama wapi tena
Hamna kitu Cha namna hiyoNingekua samia huyo kairuki angebadilishana na jafo. Jafo anaimudu sana TAMISEMI sema ndo hivyo rais akiona unakua maarufu kumzidi lazima akutoe hapo
Kidogo nitapike
Hahaha, wabongo bwanaKule kumpandisha bus,
Wewe ndiyo kilaza. Hilo neno unadhani linatakiwa kuandikwaje? Neno sahihi ni HALAFU siyo ALAFU kilaza weweHalafu??? Vilaza mpo wengi sana
Kabudi hivyo wizara ilifaa sana maana hata wazungu walianza kutuheshimu.Hiyo wizara angeweka mwanaume tu sema anaogopa bure tu.
Hakuna kitu kama hicho Raisi akiamua anaweza kumtengea waziri yoyote muda wowote alijisikia bila kushauriana na mtu yoyote katiba imempa nguvu Raisi, ata leo anaweza kumteua Makonda kuwa mbunge na kumpa uwaziri au anaweza kunichagua mimi kuwa mkuu wa mkoa na hakuna atakaye hoji.Bashungwa anatafutiwa sababu atemwe mazima
Mzee mkubwa hebu fafanua kidogo hapo kwenye uraia pacha.Kuteua na kutengua ni jadi yetu Tanzania.
MulaMula alikuwa anafuatilia sana swala la uraia pacha, nadhani hilo ni moja ya yaliyomponza ingawa yanaweza kuwapo mengine.
au ni ile video ya kinywaji kule kwa Nyusi . kiddingMula mula kakosana na mama wapi tena
🤣🤣 yani unamuita Cr7 unamuweka Center back ajifunze mbinu mpyaStergomena alikuwa anasifiwa sana imekuwaje? Mulamula sidhani kama siasa anaziweza ila kihoja ni Bashungwa kuwa waziri wa ulinzi.
Haya mabadiko huwa yanafanywa sijawahi kuona chochote chamaanaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Aidha, Mhe. Tax anachukua nafasi ya Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Awali Mhe. Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Mawaziri wote hao walioteuliwa wataapishwa tarehe 03 Oktoba, 2022 saa 3:00 asubuhi Ikulu Jijini Dares Salaam.
View attachment 2375256
Kama kuna mtu mwenye bahati nchi hii ni bashungwaStergomena alikuwa anasifiwa sana imekuwaje? Mulamula sidhani kama siasa anaziweza ila kihoja ni Bashungwa kuwa waziri wa ulinzi.
Usikute anaandaliwa kuwa PM ajayeBashungwa anatafutiwa sababu atemwe mazima
Badala ya kumtumia mwizi Mwigulu, anamtambua mwanamme mwenzake. Huenda Mulamula alikuwa hansifii kama wenzakeRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Aidha, Mhe. Tax anachukua nafasi ya Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Awali Mhe. Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Mawaziri wote hao walioteuliwa wataapishwa tarehe 03 Oktoba, 2022 saa 3:00 asubuhi Ikulu Jijini Dares Salaam.
View attachment 2375256
Unafiki.Kwani kosa la Mwigulu Nchemba ni lipi?