Magufuli alikuwa anaogopa watu wenye akiliHapo ndio ujue Magufuli alikuwa Mwamba haswa. Hakuwahi kumkubali huyu Mama Mulamula.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli alikuwa anaogopa watu wenye akiliHapo ndio ujue Magufuli alikuwa Mwamba haswa. Hakuwahi kumkubali huyu Mama Mulamula.
Kafanya nini Tamisemi?Nachompenda Bashungwa ni kuwahe is very humble alaf sio mtu wa kupayuka payuka
We jamaa, kwani mbona raisi ni mwanamke. Huwa siwaelewi wanaume wanaolalamika wanawake kuwa viongozi wakati wanaume wengi siku hizi ni mchele mchele wengi hufikiria ngono tu, wengine wanakuwa na ushoga, wengine wanalawiti, wengine waizi tu na mapanya road, wengine kukesha kwenye masupu ya pweza na wengine kuzalisha na kuacha masingle mama mtaani yaani kila mahsli ni vurugu za wanaume. Wacha wanawake wachukue nafasi mlizoshindwa kusimamia. Kaeni kwa kutulia mnyolewe dizaini yenu!Bashungwa !!
Wizara ya Ulinzi, ikashikwaje na Mwanamke ??? Daaahhh
Mimi naona ni kawaida tu ni swala la kubadilishana majukumu.
Kanunua mjengo wa 1.7mil USD huko MarylandMula mula kakosana na mama wapi tena
Ya ngoswe muachie ngoswe, hata leo hii ikitokea la kutokea mama akaanguka chali, hizi sifa zote anazopewa zitageuka na kuwa fimbo za kumchapia.Kwa hiyo hajamuona mtu yeyote wa kuimudu TAMISEMI ndani ya bunge hadi akamchukue mtu wa nje?
BTW: Kipindi huyo Mulamula anateuliwa alipambwa humu na akina Kabudi wakaonekana walikuwa amateurs tu kwenye nafasi ile.
Kulikoni mwanadiplomasia mbobevu katemwa ilhali "diplomasia yetu imeimalika kuliko wakati wowote".😁
Hongera kwa kuwa TAMISEMI boss. Endelea kuchapa kazi.Acha unafiki ata km unataka kijinafasi serikalini
Nipo hapa huwezi kupata kwa unafiki wako
Achana nalo kama hujaelewa.Kwani iliiuwaje?
Sijaelewa mantiki ya kumuingiza Magu hapa
Solution ni kumuondoa kwenye uwaziri pekee ama anatakiwa achunguzwe na kushtakiwa kama kweli tuhuma ni za kweli.Kanunua mjengo wa 1.7mil USD huko Maryland
Na Mama?Magufuli alikuwa anaogopa watu wenye akili
Swali la kujiuliza ni, who is Bashungwa? Kwa nini aliaminiwa tangu enzi za mwendazake hadi kwa mama anazidi kuaminiwa? Mkuu MALCOM LUMUMBA msaada tafadhali..
Kump bashungwa hiyo wizara ni wazi rais hajitambui...Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Aidha, Mhe. Tax anachukua nafasi ya Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Awali Mhe. Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Mawaziri wote hao walioteuliwa wataapishwa tarehe 03 Oktoba, 2022 saa 3:00 asubuhi Ikulu Jijini Dares Salaam.
View attachment 2375256
Siku nilipomuona Dorothy Gwajima kaanza kuvaa kiremba/ushungi na wanawake wengi kuanzia wakuu wa wilaya nk kuanza kuvaa hii code, nikawaza hivi: "......Mulamula asipojitune kuendana na mdundo wa ngoma hii ataliwa kichwa....." Hahaha mawazo yangu yametimia!Mula mula kakosana na mama wapi tena
Ana miaka 77 sawa na RailaMama Mula Mula mwanadiplomasia nguli kapumzishwa